Mahojiano ya Peter Msigwa ndani ya Dakika 45 ITV

Mahojiano ya Peter Msigwa ndani ya Dakika 45 ITV

Nimemkubali sana Msigwa kwenye suala la ecomic diplomacy. Amelidadavua vizuri sana. Na nadhan serikali ilichukulie hili seriously. Balozi kisiwe cheo cha hisani au cha walioshindwa uchaguxi, wapelekwe watu waliobobea ktk hayo mambo.
sijaelewa mantiki ya msigwa, nchi ina mabalozi 32 tu na JPM kateua balozi mmoja tu Dr. Migiro, hao anaowasema msigwa ni akina nani? anasema mabalozi 70 hawajarudi nchini kwa kukosa pesa, uongo wa mchana kweupe, balozi aliyerudi wa mwisho ni Batilda Burian aliyekuwa japan hao anaowasema msingwa ni akina nani atutajie,
 
Nimemkubali sana Msigwa kwenye suala la ecomic diplomacy. Amelidadavua vizuri sana. Na nadhan serikali ilichukulie hili seriously. Balozi kisiwe cheo cha hisani au cha walioshindwa uchaguxi, wapelekwe watu waliobobea ktk hayo mambo.
msigwa yeye diplomasia kasomea wapi? au ndio kima haoni la kwake
 
msigwa yeye diplomasia kasomea wapi? au ndio kima haoni la kwake
Kwani hao walioshindwa diplomadia ktk Ccm wamesomea wapi?

Km ulitaka asome huko bora kaonyesha ilivyo vyuo vya hovyo. Vya kulea ujinga na propaganda.

By the way mbona mmeumia sana leo km Msigwa kashindwa mnavyolilia iwe?
 
huu uzi inaonekana ni wa either kumsifia msigwa ama kumponda msigwa,nadhani tungezungumzia zaidi hoja alizozizungumzia kama zina msingi kwa maslahi ya taifa,tukumbuke huyu ingekuwa leo ukawa ipo madarakani angekuwa ndo waziri wao wa mambo ya nje kama sio naibu waziri..
Ni zaidi ya hapo. Ulichoona ni kiasi cha mipaka yako kimitazamo. Km unataka kuwa neutral ktk issue isiyo na neutral lazima upate shida.

Hayo maslahi ya taifa yamechuliwa ktk pande mbili. Upande mmoja unataka yanga meza ila unapiga kelele kuyatetea, na mwingine unayatetea kwa vitendo. Hakuna maslahi ya taifa katikati. Hakuna pa political correctness.
 
Sam Mahela, wiki ijayo tuletee Dr.Mahiga nae tumsikilize tuweze kupima hoja zipi zenye mashiko.

Hawachelewi kuzuia hivyo vituo vya runinga kufanya majadiliano na upinzani, Utaskia huo sio uwanja wa siasa hivyo kituo chochote.,.... Ha ha ha ha! Mil.7
 
Hawachelewi kuzuia hivyo vituo vya runinga kufanya majadiliano na upinzani, Utaskia huo sio uwanja wa siasa hivyo kituo chochote.,.... Ha ha ha ha! Mil.7
Haha..watapata kazi haswa. Kwani ndio chimbo lao jipya. Sasa hivi Sam mahela huwapa Ccm round ya pili ili acheze ule mchezo "umelala nacho" ktk mahojiano ukaribu hilo, na kwa Ccm husema kwa sababu ya umuhimu wa hiyo wizara na watu kuomba mahojiano yatarudia. Ukawa kwa Lema Hawakulala nacho, kwa Msigwa pia, sasa Ata rudisha mawaziri wa hizo wizara Mwishoni na kuwapa maswali ya kutengenezewa huku aki wapa space wasilale nacho na hata kuongea mbovu mbovu kwa namna ya kuwa fanya wapinzani hawajui na sio kujibu hoja.
 
Kweli zzk anatofauti na wabunge wote wa upinzani,Msigwa anaongea muda wote lakini hana takwimu,yeye anaongea tu.

Ulihitaji takwimu za nini labda? Maana kama nitakwimu tulishadanganywa sana na mwanatakwimu wenu kwa kujifanya anajua kila kitu.... mfano ziwa tanganyika lina samaki wangapi? Sato ni mirioni kumi sabini na saba erfu na tano wakati dagaa ni mirioni semanini na isirini na nusu, na mayai yao ni trilion sita na robooo!..... Weeee! Na huku hukuoji ulitaka uhoji hapa! Elimu ni ya bure sasa hivi tafuta sare za shule ndo zinauzwa usome!
 
Amka sasa ujitambue
Sam mahela amekuwa muoga sana. Kwanini mtangazaji anabishana na mtu anaemhoji. Mwandishi anatetea tetea maovu. Mwandishi anasifia ovyo bila kufuata utaratibu wa waandishi. Sam mahela ameniangusha sana kwenye hii interview. Sam mahela anaonyesha mlengo wa kisiasa kwenye hii interview.
 
Amka sasa ujitambue

Ukitumbuliwa hutakiwi kuhoji mzee! Hiyo ndo muarobaini wao,Mahela ni kijana mdogo anasaka hela maana anazitaka hela za mzee Mengi mahela. Kwanza kwakutetemeka kwake ni msamaha tosha maama sidhani kama atarudia!
 
Sam mahela amekuwa muoga sana. Kwanini mtangazaji anabishana na mtu anaemhoji. Mwandishi anatetea tetea maovu. Mwandishi anasifia ovyo bila kufuata utaratibu wa waandishi. Sam mahela ameniangusha sana kwenye hii interview. Sam mahela anaonyesha mlengo wa kisiasa kwenye hii interview.
Mi long time ali dhani fanya nimdharau sana. Mungu anisamehe km nilikosea ila nikifika hiki jinsi yake ktk hii time ya watu kudai ku gundua jinsi zao halisi. Huyu jamaa na mwili wake mkubwa alikuwa akireport matukio ya uchaguzi km vile watu wanataka mpora(kijinga taswira mbaya kwa walinda kura) alikuwa akifika ruka km wanamtekenya wakijidai eti wanampora, Masako km alikuwa anakereka na kujaribu mtuuliza toka studio.

Ktk issue ya maigizo ya kagera sugar, siku 100 za mkuu, yote ni ili kupitisha agenda fulani fulani zilizobuma vibaya, alipomhoji Lema na kuona ulevi na wa bunge wa Ccm ni issue akalazimisha counter ya bangi kwa Lema kwa niaba ya Ccm nayo ikabuma. Hiyo ya bhangi ni uzushi wa Ccm km ya viroba ili kutaka wananchi wapuuze hoja nzito zinazoizidi Ccm.
 
Next time mtahitaji mpiga shule zaidi mahela. Kazi ya ku amplify mafanikio ya malaika yaliyo fanya mahela hajaweza ilinda kwa vichwa kuanzia kwa Lema leo Msigwa. Kagera shuga ni aibu.
Mkuu hebu andika tena. Sijakupata.
 
Sam mahela amekuwa muoga sana. Kwanini mtangazaji anabishana na mtu anaemhoji. Mwandishi anatetea tetea maovu. Mwandishi anasifia ovyo bila kufuata utaratibu wa waandishi. Sam mahela ameniangusha sana kwenye hii interview. Sam mahela anaonyesha mlengo wa kisiasa kwenye hii interview.
Anaogopa kung'olewa kucha na meno bila ganzi
 
Daa huyu kweli ni mchungaji,kuhusu siasa ni mwepesi sana
mimi nilisha delete siku ile alipopambana na Humphrey Polepole, hapo ndipo nilipojua huyu jamaa ni chenga, maana alipoelemewa akatupa issue husika akaleta personal attack
 
Anasema Mabalozi wetu ni watu walioshindwa chaguzi.wameshindwa ku-deliver hivyo wanakuwa dumped huko
Hakili hana. Kwani ukishindwa uchaguzi na uwezo wa mtu huwa umeondolewa? Watu huchagua kwa mapenzi na chuki zao. Hivi vitu havihusiani na uwezo wa mtu katika kutumikia nchi. Kama hiki umekileta ili tumshangae mjinga huyu sawa. Ila kama umeleta tuiunge mkono. Basi nawe upo kundi hilo la wajinga.
 
Kushindwa uchaguzi kwa mwana Ccm aliyewahi kuingia bungeni ni ishara ya kushindwa wewe mwehu. Kashindwa kwa vile wananchi waliona michango yake ya hovyo, ma mambo mengi ya hovyo. Huo uhovyo wa kujieleza bungeni hauwezi achwa linapokuja suala diplomasia.
 
Back
Top Bottom