Mahojiano ya Peter Msigwa ndani ya Dakika 45 ITV

Mahojiano ya Peter Msigwa ndani ya Dakika 45 ITV

Mtu anaulizwa kwakukosa msaada wa pesa za MCC tanzania kama nchi imeathirika kiasi gani?
Mbunge anatia porojo!naamini hata akiulizwa pesa za mcc zilikua ni kiasi gani atakua hajui hii ni aibu kwa CDM
jibu wewe basi tukuskie
 
Huyu mchungaji haeleweki kabisa yeye ni kupnga kila kitu , anaongea stor za mtaani .
 
Sam mahela alitaka mchomekea upuuzi kisha asimpe nafasi ya kujibu. Msigwa kamrudisha na kumpangua. Zinaonyesha jinsi upinzani wanahitaji kwenda extra mile km trump.
Nafikiri kwa ujibu wako navyouona utakuwa product ya SAUT kipindi kinaanza. Maana kumtetea empty head kama msigwa inabidi ujichunguze
 
yaani hili jamaa leo limempa mahela credit kweli, kichwani litupuuuuu!
Sio mtupu kaka..upinzani umeishiwa hoja..yaani rais ameenda beyond their expections..ukitaka kujua hilo refer case ya Charlz kitwanga..hadi pumzi ya kuongelea lugumi imewakata.
 
Huyu mchungaji haeleweki kabisa yeye ni kupnga kila kitu , anaongea stor za mtaani .
Utaelewaje wakati mmekula hasara? Kamwambia mahela kabisa asimnyime nafasi ya kujibu kwani itakuwa kamuonea. Sam mahela km kawaida yake hana sana tofauti na lipumba.
 
IVI YULE MBUNGE WA MTERA CJUI ANAITWA NANI ANGEKUWA KWNY DK 45 ZA LEO ANGEJIBU NNI KAMA SIO KUSIFIA LUMUMBA
 
tuache utani msigwa yuko vizuri licha ya mtangazaji kumvurugia vurugia...
 
msigwa is good, ujue humu JF kuna vi la za wengi hatujuani hivyo uwe very selective kubishana na mtu! Angalia sentense construction utaona tu!
Tumia lugha moja ueleweke kwa ufasaha. Usitoe vibanzi vya wenzako.....
 
Sam mahela, anatafuta kick kwa mheshimiwa anauliza maswali, anataka yajibiwe kama anavyotaka yeye totaly not fair. Msigwa kajitahid kumpangua, na kumrudisha kwenye line.
 
Sio mtupu kaka..upinzani umeishiwa hoja..yaani rais ameenda beyond their expections..ukitaka kujua hilo refer case ya Charlz kitwanga..hadi pumzi ya kuongelea lugumi imewakata.
Haha..lumumbaa. lugumi nayo ilihitaji pumzi? Km imeishasemwa ndio hivyo tena. Mpira upo kwa mkuu wenu ajikanyage. Mliomba kimya kalala mjue, very soon atalambishwa hizo.

Hii akili hata nyongeza soko la haifai.
 
Sam Mahela, wiki ijayo tuletee Dr.Mahiga nae tumsikilize tuweze kupima hoja zipi zenye mashiko.
 
Sam yuko vizur sana hawez ruhusu upotoshaji . kwanza hawa ufipa ni wakengeukaji. Hatuwaamin tena tuwakatae
 
Sam mahela, anatafuta kick kwa mheshimiwa anauliza maswali, anataka yajibiwe kama anavyotaka yeye totaly not fair. Msigwa kajitahid kumpangua, na kumrudisha kwenye line.
Sam mahela ungemwona alivyokuwa an a report uchaguzi. Alikuwa hadi anamchosha Masako. Watu walikuwa wakishangilia au wakionyesha hasira zao. Sam alikuwa ana act km wanataka mpora, km wanamgusa makalio. Km wanamtekenya vile. Bahati mbaya hana bahati na Ccm , hata ktk documentary za sanaa.
 
sentence - huwa sijali sana maana ukikosea spelling neno linakuwa highlighted hivyo utaona tu unaamua kusend
..wewe ndio umeandika kuwa mwandiko tu unaweza kukupa taswira ya mwandishi.
 
Mtu anaulizwa kwakukosa msaada wa pesa za MCC tanzania kama nchi imeathirika kiasi gani?
Mbunge anatia porojo!naamini hata akiulizwa pesa za mcc zilikua ni kiasi gani atakua hajui hii ni aibu kwa CDM
nlikuwa namsikiliza, yaani porojo nyingi, halafu kihuni sana.
 
Back
Top Bottom