Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,576
- 12,371
Kipindi kinarudiwa lini?
Sam mahela amekuwa muoga sana. Kwanini mtangazaji anabishana na mtu anaemhoji. Mwandishi anatetea tetea maovu. Mwandishi anasifia ovyo bila kufuata utaratibu wa waandishi. Sam mahela ameniangusha sana kwenye hii interview. Sam mahela anaonyesha mlengo wa kisiasa kwenye hii interview.
Huyu sam kwenye ukurasa wake wa fb ni mkosoaji mkubwa wa serikali na watu wengi wanamuunga mkono lkn leo mnaona hafai bado uhuru wa maoni haupo kati ya wanasiasa na wananchi..Nadhani huyu Sam Mahela ajasoma uandishi wa habari, na kama amesoma ajabobea kwenye eneo hili. Kazi ya mwandishi wa habari ni kubalance story. Angemuacha Msigwa aseme yake, and then amualike Mahige nae aje aseme yake. Tatizo lake ni uoga, alikuwa anaonekana kuwa na uoga wa baadhi ya maneno ya Msigwa. Na hili ndilo tatizo la waandishi wa habari wa aina ya Sam Mahela.
Juhudi alizokuwa nazo kafulila, Wenje, Lembeli na Opulukwa matokeo yake sijui unasemaje.Kushindwa uchaguzi kwa mwana Ccm aliyewahi kuingia bungeni ni ishara ya kushindwa wewe mwehu. Kashindwa kwa vile wananchi waliona michango yake ya hovyo, ma mambo mengi ya hovyo. Huo uhovyo wa kujieleza bungeni hauwezi achwa linapokuja suala diplomasia.
Big Sam leo hakuwa na mbwembwe tena za kusema ..."kutokana umuhimu wa wizara hii kwa maslahi ya umma na wata zamani wengi kuomba kipindi kirudiwe, kipindi hiki mita rudisha tena".Kipindi kinarudiwa lini?
Hata zitto, shivji , Kitila mkumbo, lipumba na wengine hukosoa serikali sana ili kakubali ka. Ila hupotea siku wana hitajika sana kufanya mabadiliko.Huyu sam kwenye ukurasa wake wa fb ni mkosoaji mkubwa wa serikali na watu wengi wanamuunga mkono lkn leo mnaona hafai bado uhuru wa maoni haupo kati ya wanasiasa na wananchi..
Umeandika upuuzi sana. Inachojitetea si uwe mkweli kwa nafsi yako tuu. Hapa jf thread nyingi makini zimefutwa, thread ambazo km zongekuwepo mpange kuwa na heshima. Yote ni ktk kulinda Ccm.Juhudi alizokuwa nazo kafulila, Wenje, Lembeli na Opulukwa matokeo yake sijui unasemaje.
Hayo maandishi mekundu kutokana na Mod4 wa huu mtandao yanaruhusiwa kutumiwa na vijana wa chadema tu na wengine wakitumia maneno kama hayo hupata adhabu hongereni sana. Kwa kuwa lengo ni kuwaongoa watanzania tutakabiliana nanyi kwenye hili limtandao lenu ili msiendelee kupotosha umma