Mahojiano ya Peter Msigwa ndani ya Dakika 45 ITV

Mtu anaulizwa kwakukosa msaada wa pesa za MCC tanzania kama nchi imeathirika kiasi gani?
Mbunge anatia porojo!naamini hata akiulizwa pesa za mcc zilikua ni kiasi gani atakua hajui hii ni aibu kwa CDM
 
Sam mahela amekuwa muoga sana. Kwanini mtangazaji anabishana na mtu anaemhoji. Mwandishi anatetea tetea maovu. Mwandishi anasifia ovyo bila kufuata utaratibu wa waandishi. Sam mahela ameniangusha sana kwenye hii interview. Sam mahela anaonyesha mlengo wa kisiasa kwenye hii interview.
 
Back
Top Bottom