Mahojiano ya Peter Msigwa ndani ya Dakika 45 ITV

Mahojiano ya Peter Msigwa ndani ya Dakika 45 ITV

sam mahela kapata mtu wa saizi yake, yaani anafuraha isiyopimika
 
Wapimzani wako active sana kuliko sisi tunabwabwaja na hatujui tunacho kitetea......Makamu wa Rais
 
Huyu msigwa hewa KABISA,upinzani gani huu wa kupinga kila kitu.
 
Unazungumziaje mh raisi kupunguza safari za nje?
Msigwa majibu ni zeroo!
 
Du Dr. Slaa pengo lake ni kubwa sana hawa watu wenye stress za maisha hawana mawazo mapya kabisa yaani JPM apuuze huu upuuzi. Jamaa arudi kanisani akahubiri manake labda kukariri na kudurufu anamudu Zaidi.Sera mbadala za nje hana kabisa.
 
huyu ndiye alitegemewa kuwa waziri wa mambo ya nje kama sasa ukawa ndio ingetakiwa kuunda serikali yake....
 
Sam mahela alitaka mchomekea upuuzi kisha asimpe nafasi ya kujibu. Msigwa kamrudisha na kumpangua. Zinaonyesha jinsi upinzani wanahitaji kwenda extra mile km trump.
 
msigwa is good, ujue humu JF kuna vi la za wengi hatujuani hivyo uwe very selective kubishana na mtu! Angalia sentense construction utaona tu!
Hawa Kutegemea style waliyompa Sam mahela ime bounce. Ndio maana inabidi wao ndio wawe busy kumchafua.
 
huyu ndiye alitegemewa kuwa waziri wa mambo ya nje kama sasa ukawa ndio ingetakiwa kuunda serikali yake....
Msigwa anaulizwa anaonaje kuimalika kwa uhusiano wetu na Rwanda anajibu rais kapewa ng'ombe..

Mkapa alisema watu wamepewa freedom ila hawawezi kufanya analysis kazi yao ni kufanya destruction pekee ikibidi wadhibitiwe alikuwa sahihi sana
 
Sikuwai kujua Msigwa ni empty kichwani namna hii..
Next time mtahitaji mpiga shule zaidi mahela. Kazi ya ku amplify mafanikio ya malaika yaliyo fanya mahela hajaweza ilinda kwa vichwa kuanzia kwa Lema leo Msigwa. Kagera shuga ni aibu.
 
The interview is not as good as the one with Lema, best interview ever.
 
Back
Top Bottom