Mahojiano na Kafulila yafutwa Clouds TV

Aliye buni ka msemo haka "Ni maelekezo kutoka juu" shikamoo kwa heshima zote.
Kwa maana kana waumiza sana wenye mawazo mbadala ktk serikali yetu.
Shikamoo pia wale walio juu bila maelekezo yetu sijui ni kwa kiasi gani hawa wapinzani wangekuwa wanazichukua tatu muhimu ktk haya mapambano baridi.
 
Bora wamemuokoa, maana 2010-2015 alikuwa na kinga ya ubunge, ukiongea bila ushahidi tu ni shida haswa kwa raia wa kawaida.
 
Kafulila bana,azungumzie uchumi facebook na Jf atawapata Tanapa
Heko clouds kwa kumyima fursa tumbili ya kutaka kujipatia ujiko wa kisiasa ilhali ameshakufa kisiasa
 
Binafsi ntakuwa mtu wa mwisho kuamini kwamba huu haukuwa mpango mkakati wa Kituo kupitia kwa uongozi wake. Na hii inaweza kuwa ni ishara tosha kukujulisha kuwa Kituo hiki kinatumika vibaya na kundi la watu wachache Wenye malengo yao maalumu
 
Huyu ndil kwsha habar yake na hv chama chao ca nccr magaun kilivokosa mwelekeo mmmh huku kunaitwa kufa kisiasa.
 
Nawapongeza Clouds kwa kutovumilia matapeli
We ni zaidi ya bwege....yaani mtu aliyepiganiaa ung---- na unyonyaji wanaoufanya IPTL leo unamuita tapeli,watu Kama nyie mnatakiwa kuchimbiwa shimo na kuzikwa mkiwa hai

OVA
 
Binafsi ntakuwa mtu wa mwisho kuamini kwamba huu haukuwa mpango mkakati wa Kituo kupitia kwa uongozi wake. Na hii inaweza kuwa ni ishara tosha kukujulisha kuwa Kituo hiki kinatumika vibaya na kundi la watu wachache Wenye malengo yao maalumu
RADIO HIYO NILISHAACHAGA KUISIKILIZA WAO PRO CCM TU

OVA
 
Nasikia sahivi Kafulila anatunzwa na demuwake baada ya kupigwa chini na wala migebuka
 
360 kipindi pendwa cha mtukufu Raisi naona Ruge kaona angeruhusu basi wangemtibulia siku yake mtukufu raisi wetu
Pia mkumbuke kuwa kuna nafasi ya kazi ya UKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MKINGA inahitaji kujazwa
 
Hivi Kafulila ni tishio kiasi hicho kweli?

Mtu aliyekataliwa na watu wake wenyewe awe threat kwa nani?

Yaani wakutafute wao halafu wakuhujumu halafu tena wakupangie tarehe nyingine!!
Kama alivyokataliwa G.Ambo kura za maoni ati?.
 
Hivi Kafulila ni mchumi? Kama sio mchumi anapata wapi mandate ya kuzungumzia hali ya uchumi nchini? Naomba kujuzwa
 
Anaandika Davidi Kafulila

Kipindi clouds360 nilichoalikwa leo kuanzia saa mbili unusu asubuhi kwajili ya kujadili masuala yanayoendelea nchini kama nilivokuwa nimewajulisha jana ambacho kilikuwa kikitangazwa tangu jana kimefutwa nikiwa studio tayari kwa maelekezo toka juu!


Poleni mliokuwa mkisubiri kunifuatilia!

David Kafulila.
Sasa kama imefikia mahali hata watu wanakatazwa kutoa maoni yanayo husu nchi yao narudia maoni tu! Then where is the freedom of speech which is clearly stipulated in the constitution? kwa hiyo wa TZ haturuhusiwi kuzungumzia maoni yetu kwa ajili ya nchi yetu? Jamani hii ni nchi yetu sote tusiwabague wa TZ wanao jisikia kutoa maoni kwa ajili ya nchi yao kwani hamna mwenye haki miliki ya mawazo ya wa TZ zaidi ya MUNGU
 
Back
Top Bottom