johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,600
Tumbili ANATISHA!
Teh teh teh teh teh teh ..........Swadaktaaaaa..Huyo lazima wamuogope maana mwanzoni walidhani ni tumbili baadaye wakagundua ni chui dume
Huyo lazima wamuogope maana mwanzoni walidhani ni tumbili baadaye wakagundua ni chui dume
Umeona ee.popote patakapokuwa na uchaguzi mdogo wamuweke huyo dogo, iwe kusini, kaskazini, mashariki au magharibi.
Wamemkatali sana Kafulila, hawana huruma hawa clouds! Hivi hawajui kuwa mwenzao haonekani mjengoni Dodoma hivyo akiongea na media kama hivyo inamsaidia na yeye kuonekana kwa wananchi! wamemkatili sana Kafulila sasa aende wapi ili angalau na yeye uwepo wake ujulikane
Chezea tumbili wewe!Umeona ee.
Tumbili si mchezo ohooo
Nashindwa kuelewa kama kweli mtu unatenda yote kwa haki...hofu ya nini_hata kama ni kukosea kuwe ni ndani ya haki.
Nafikiri kuna madhambi mengi ndio maana wanaogopa hawa watu wa juu.
Hilo ndio swali na ndio kiini cha hu mjadara! Hujajiuliza kwanini anatajwa hadi na mtu aliyempa mwaliko Kafulila na pia jina la mtu aliyebatilisha Kafulila kuingia au kwenda hewani; soma tu ukiwa na fikra huru utaelewa, wa kulaumiwa sio Kafulila bali uongozi wa tvSasa kama alialikwa ikawaje tena akasitishiwa mazungumzo wakati kashafika studio?
Hii serikali inaogopa hata kivuli chake.Atukuchagua Tembo atuongoze tulichagua raisi by Butiku
Hukunielewa tu Ndugu, hata mi nashangazwa na kituo cha TV, ndio maana katika post ya mwanzo nimekejeri kituo cha tvHilo ndio swali na ndio kiini cha hu mjadara! Hujajiuliza kwanini anatajwa hadi na mtu aliyempa mwaliko Kafulila na pia jina la mtu aliyebatilisha Kafulila kuingia au kwenda hewani; soma tu ukiwa na fikra huru utaelewa, wa kulaumiwa sio Kafulila bali uongozi wa tv
Tupo pamoja mkuuHukunielewa tu Ndugu, hata mi nashangazwa na kituo cha TV, ndio maana katika post ya mwanzo nimekejeri kituo cha tv