Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Safi sana Clouds. Hatuwezi kuruhusu ujinga urushwe wakati tuna mambo ya msingi ya kusikiliza!
Anaandika Davidi Kafulila
Kipindi clouds360 nilichoalikwa leo kuanzia saa mbili unusu asubuhi kwajili ya kujadili masuala yanayoendelea nchini kama nilivokuwa nimewajulisha jana ambacho kilikuwa kikitangazwa tangu jana kimefutwa nikiwa studio tayari kwa maelekezo toka juu!
Poleni mliokuwa mkisubiri kunifuatilia!
David Kafulila.
Sasa kama alialikwa ikawaje tena akasitishiwa mazungumzo wakati kashafika studio?Mkuu, ungekua ndio wewe umepigiwa simu ya mwaliko kwenda ungefanyaje?
Usiilaumu clouds mkuu! Mbona Kafulila kasha sema kuna maelekezo mengine ambayo yametoka nje ya mfumo wa clouds media!Wamemkatali sana Kafulila, hawana huruma hawa clouds! Hivi hawajui kuwa mwenzao haonekani mjengoni Dodoma hivyo akiongea na media kama hivyo inamsaidia na yeye kuonekana kwa wananchi! wamemkatili sana Kafulila sasa aende wapi ili angalau na yeye uwepo wake ujulikane
Unamaanisha nini sasa?ZE NDINDINDIMember
#1
Yesterday at 9:30 AM
Joined: Sep 19, 2016
Messages: 61
Likes Received: 82
Trophy Points: 25
Ukijibiwa usisahau kuni taghivi huyu aliyeko juu huwaga ni nani
nataka nijue tuu hayo maagizo anatoa nani mana aliye juu simjui mkuuUkijibiwa usisahau kuni tag
anaweza kuwa muhanga wa studio! !Ukijibiwa usisahau kuni tag
hahaha wewHuyo lazima wamuogope maana mwanzoni walidhani ni tumbili baadaye wakagundua ni chui dume