Mahojiano na Kafulila yafutwa Clouds TV

Mahojiano na Kafulila yafutwa Clouds TV

Wamemkatali sana Kafulila, hawana huruma hawa clouds! Hivi hawajui kuwa mwenzao haonekani mjengoni Dodoma hivyo akiongea na media kama hivyo inamsaidia na yeye kuonekana kwa wananchi! wamemkatili sana Kafulila sasa aende wapi ili angalau na yeye uwepo wake ujulikane
 
By the way mimi nimeongea na Kija Yunus..producer wa icho kipindi.. nasikia yeye ndo alomleta Mh Kafulila, lakini hakuwa amteoa taarifa kwa program manager wa cloudtstv.. afu yule program manager akapost kwenye group la clouds kuhoji kwanini wagen kabla ya kuja taarifa hazitolewi sikuiz... nasikia Ruge akamind..akauliza kama form za wageni wa siku iyo yupo Kafulila akaambiwa hajaandikwa.

Akapiga simu kwa Kija Yunus...nasikia akamchana sana.. ila kija akamwambia alimpigia sim program manager na ruge wote hawakupokea jana yake. Kilichotokea ile crew ya 360 ikapanick..kija akmfuata kafulila wakaingia ofisn kwa program manager alivyotoka akaondoka. Kija anasema yeye ndo analetaga wageni. Issue ya kafulila kusema maelekezo ya juu ni ruge uyo...ila nasikia Ruge alivyofika ofisin akamwambia kija kuwa hakusema kafulila asifanye interview ila alikasirika taratibu hazikufuatwa.

Kafulila aliambiwa kesho alhamis aje kwenye show waaihirishe ya leo akasema anasafiri.

Hiyo ndo story ilivyokuwa.
hii TV inastahili kuhoji mashoga na wauza mbunye tu
 
Kafulila hana mvuto,bora wangemleta mkinga.
Awamu hii haturudii makosa ya kikwete kufufua watu waliokufa kisiasa kama Mbatia
 
Boss Ruge atakaimu nafasi Gambo kule Arusha hamtaamini macho yenu!
Mkuu mimi si mpenzi sana wa clouds na drama zake ila nahofia kama huyo Ruge anaweza kukosa million nne kwa mwezi haya jumlisha na posho tufanye 5.5m, nahisi haikosi pia, labda ubunge ili aendelee kuropoka na kulinda masilahi yake
cc
Mhariri
Content Quality Controller
 
Wamemkatali sana Kafulila, hawana huruma hawa clouds! Hivi hawajui kuwa mwenzao haonekani mjengoni Dodoma hivyo akiongea na media kama hivyo inamsaidia na yeye kuonekana kwa wananchi! wamemkatili sana Kafulila sasa aende wapi ili angalau na yeye uwepo wake ujulikane
Kwani kwa sheria ya sasa hata angekua bungeni angeonwa na nani
 
Nani asiewajua clouds... labda fisi
Hiyo si ndo TBC saivi.....

Mwinyi: nchi inaendeshwa kama gari bovu
 
Kwani Kafulilah ndiyo nani? Msitake kumpa kikii za buree kila media house ina taratibu zake msitake kukuza mambo bhana kama utaratibu haukufutwa lazima ufuatwe na siyo kwa Kafulilah tu bali kwa yeyote yule.
 
Kwani Kafulilah ndiyo nani? Msitake kumpa kikii za buree kila media house ina taratibu zake msitake kukuza mambo bhana kama utaratibu haukufutwa lazima ufuatwe na siyo kwa Kafulilah tu bali kwa yeyote yule.
WAULIZE WALE WEZI WA IPTL

OVA
 
Nendeni kwenye mafiesta mkapigana mapicha ...clouds hamna jipya zaidi ya uccm
 
Nmeona nmeshambuliwa... sikiliza mimi nilichofanya ni kutafuta story ya upande wa pili.. je ni nini kilitokea na source ikawa ni Kija na bahati nzuri amesema Kafulila anaujua ukweli wote. Mimi nadhan hata kituo chochote cha habar ingekuwa itv au azam bado taratibu zisipofuatwa lazma wangechukua hatua
 
Hahahaaa, mleteni manfongo Kesho, msilete ujinga! Huyo profesa mishahara hewa mbona kahojiwa asubuhi tena huku taarifa hatukujua mpaka hiyo leo asubuhi! kuna mkono wa mtu,
Usiseme profesa, sema 'bwana yule'!
 
Back
Top Bottom