Mahojiano na Kafulila yafutwa Clouds TV

Mahojiano na Kafulila yafutwa Clouds TV

Serikali imekuwa na hofu kiasi hiki?
Nchi hii inaendeshwa kama gari bovu -Mwinyi
 
Bora wamemuokoa, maana 2010-2015 alikuwa na kinga ya ubunge, ukiongea bila ushahidi tu ni shida haswa kwa raia wa kawaida.
Duuuuh, elimu ni janga kwa taifa! Kinga ya kibunge mwisho menjengoni, ukishatoka nje ya ukumbi nayo inakata! Usikurupuke
 
Kafulila bana,azungumzie uchumi facebook na Jf atawapata Tanapa
Heko clouds kwa kumyima fursa tumbili ya kutaka kujipatia ujiko wa kisiasa ilhali ameshakufa kisiasa
So kutoa maoni ni mpaka uwe mwanasiasa? Je, amejipeleka mwenyewe au amealikwa!? Foolish
 
TV kipenzi cha magu, wanajua jamaa angegusia issue ya escrow dogo angetia watu pressure, halafu kuna watu bado wanaimani na jamaa. Mta subiri kama mlivyo subiri kwa mkwere.
 
Mnachotakiwa ni kumuombea tuuu,hayo mengine yote mnayosema ni uchocheziii
 
Ila ni kweli kipindi hiki nchi inaitaji sana utulivu, sasa Kafulila anamistress mingi angeweza kuongea vitu siyo kwanza akiponza 360 bule.
Mwenye njaa ana utulivu kweli? Hujapata mkopo chuoni una utulivu kweli? Huna chapaa kwa pochi una utulivu kweli? Labda kama una definition nyingine ya huo utulivu...
 
Little do they know kuwa kila mara wafanyapo hayo wanawaongezea tuu credit wapinzani na hii hufanya safari ya 2020 kuwa cheaper than we thought it to be before
 
"Mtu anayekwazwa na meseji za twitter, facebook na whatsapp hapaswi kuongoza nchi"( Hilary Clinton)
[emoji115]
Watu wakiingia kwenye tafakuri makini, ujumbe huu waweza kuwa tiba mbadala. Mungu ibariki Tanzania.
 
Thanks to dikteta uchwara asiyetaka kujaribiwa! Vyombo vya habari vimepoteza uhuru wake katika kujadili mustakabali wa nchi yetu.

Anaandika Davidi Kafulila

Kipindi clouds360 nilichoalikwa leo kuanzia saa mbili unusu asubuhi kwajili ya kujadili masuala yanayoendelea nchini kama nilivokuwa nimewajulisha jana ambacho kilikuwa kikitangazwa tangu jana kimefutwa nikiwa studio tayari kwa maelekezo toka juu!


Poleni mliokuwa mkisubiri kunifuatilia!

David Kafulila.
 
Sisi bado tunatawaliwa na mzungu ,

Pamoja na hayo sisi Tz tunacho wanachokihitaji wazungu.

Sasa tukijidai kunyamazisha wanahabari + demokrasia hakika hatutakwenda mahali zaidi ya kurudi nyuma.

Kuwa uwanja Wa vita hapa ni sekunde kama tusipokwenda vizuri na dunia ya Leo na hilo naliona wazi kwa sababu hatuna kiongozi mwenye maono, wigo mpana wa kifikra, kimtazamo ktk dunia hii ya leo
 
Tusiwaze mbali sana, fanya jambo hili kenya [emoji1139] utajua moto wake
 
mie hii tv na redio ya coulds nilishapiga marufuku hata familia yangu isitizame, sina hamu nao kabisa
 
Back
Top Bottom