MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 27,591
- 30,104
Sirikali!!!!Sirikali waoga kama kunguru wanaogopa kukosolewa wanaogopa kushauriwa wanatumia dola kubana uhuru wa habari
Hahaha kweli TANAPA
Wamefuga aisee
Sirikali!!!!Sirikali waoga kama kunguru wanaogopa kukosolewa wanaogopa kushauriwa wanatumia dola kubana uhuru wa habari
Kwani kafulila alijipeleka mwenyewe au alialikwa?wewe ndio tapeliNawapongeza Clouds kwa kutovumilia matapeli
We ni zaidi ya bwege....yaani mtu aliyepiganiaa ung---- na unyonyaji wanaoufanya IPTL leo unamuita tapeli,watu Kama nyie mnatakiwa kuchimbiwa shimo na kuzikwa mkiwa haiNawapongeza Clouds kwa kutovumilia matapeli
RADIO HIYO NILISHAACHAGA KUISIKILIZA WAO PRO CCM TUBinafsi ntakuwa mtu wa mwisho kuamini kwamba huu haukuwa mpango mkakati wa Kituo kupitia kwa uongozi wake. Na hii inaweza kuwa ni ishara tosha kukujulisha kuwa Kituo hiki kinatumika vibaya na kundi la watu wachache Wenye malengo yao maalumu
Hicho kipind huwa knatazamwa sana na mkulu,hvyo waliogopa kuwa ataacha kukishabikiaKwani clouds nayo inamilikuwa na uhuru media siku hizi?
Nasikia sahivi Kafulila anatunzwa na demuwake baada ya kupigwa chini na wala migebuka
Inawezekana kuna increment kutoka buku 7 mpaka 7500Nawapongeza Clouds kwa kutovumilia matapeli
Kama alivyokataliwa G.Ambo kura za maoni ati?.Hivi Kafulila ni tishio kiasi hicho kweli?
Mtu aliyekataliwa na watu wake wenyewe awe threat kwa nani?
Yaani wakutafute wao halafu wakuhujumu halafu tena wakupangie tarehe nyingine!!
Sasa kama imefikia mahali hata watu wanakatazwa kutoa maoni yanayo husu nchi yao narudia maoni tu! Then where is the freedom of speech which is clearly stipulated in the constitution? kwa hiyo wa TZ haturuhusiwi kuzungumzia maoni yetu kwa ajili ya nchi yetu? Jamani hii ni nchi yetu sote tusiwabague wa TZ wanao jisikia kutoa maoni kwa ajili ya nchi yao kwani hamna mwenye haki miliki ya mawazo ya wa TZ zaidi ya MUNGUAnaandika Davidi Kafulila
Kipindi clouds360 nilichoalikwa leo kuanzia saa mbili unusu asubuhi kwajili ya kujadili masuala yanayoendelea nchini kama nilivokuwa nimewajulisha jana ambacho kilikuwa kikitangazwa tangu jana kimefutwa nikiwa studio tayari kwa maelekezo toka juu!
Poleni mliokuwa mkisubiri kunifuatilia!
David Kafulila.