Mahitaji yake nampa lakini yeye hataki kunipa

Mahitaji yake nampa lakini yeye hataki kunipa

Na akija kwangu namtimua pia kudaadeki zake, tunafunga balozi zote hakuna pa kutokea na asylum hakuna kumpatia
Aseee wadau mkiipata na mimi mnitumie ili tuzidishe vikwazo. Kwa hisani yenu na washirika wenu
Kweli aiseeeeee
Ila jamaaa bado haja ni PM namba ya huyo deme....... nadhan Mkuu wa kwanza atakuwa amepewa namba amekaaa nazo..
 
We jamaa vipi? Unataka kuacha pension yako hivi hivi? Hakikisha umepata pension na stahiki zako zote muhimu baada ya hapo piga Sanctions za maana then mwishoni mteme mazima ili awe na adabu kwa mwanaume atakayefuatia. Wanaume lazima tutengenezeane njia, sisi sote ni ndugu ati.
 
Wakuu nawasalimu wote,

Kwanza kabisa poleni kwa majukumu naamini wote mnapambana ili kuhakikisha hili taifa linasonga mbele.

Pili, nipende kutoa shukrani zangu za dhati kwa wote walionishauli.

Ni Juzi tu nilileta uzi hapa nikiwa nalalamika kuwa kuna mpenzi wangu namhudumia kila kitu lakini yeye hataki kunipa haki ya wapendao.

Huu hapa; Mahitaji yake nampa lakini yeye hataki kunipa

Ndugu wanajukwaa ushauri wenu nimejaribu kuutumia na nimeona matunda ya ushauri wenu. Kuna wengine walinambia msimtafute, ni kweli jana asubuhi sijamtafuta, cha kushangaza mchana akanitumia SMS nikamshaushia. Usiku amenitafuta nikaendelea kubana vyuma.

Cha kushangaza leo asubuhi na mapema amenifuata kazini kwangu analia, ananibembeleza anasema turudiane.

Wanajukwaa msichoke kunishauri, mimi msimamo ni kwamba tuachane, lakini analia.

Naomba mtazamo wenu wakuu kuhusu hili suala, ukizingatia nimetumia gharama kubwa kumhudumia ndani ya wiki moja halafu sijalamba kitu.

Niendelee kubana vyuma?.
KUMBE MAZUZU BADO MPO!
 
hivi wanaume w jf mko wapi mbona mtaan siwaon ,ofisin siwaoni sijui mnaishi wapi yaan? we nawe huna dogo wiki tu umelipa kodi mchele Mara saloon Mara matumizi .hauoni kama wew ndo unamakosa hapo au? maan alikuona mshamba sana.ila pole jikaze ndo uanaume huo mkuu.
Mapenzi upofu dada angu..... Kuna wengine wanahonga gari au nyumba.
 
We jamaa vipi? Unataka kuacha pension yako hivi hivi? Hakikisha umepata pension na stahiki zako zote muhimu baada ya hapo piga Sanctions za maana then mwishoni mteme mazima ili awe na adabu kwa mwanaume atakayefuatia. Wanaume lazima tutengenezeane njia, sisi sote ni ndugu ati.
Asante boss nimekuelewa.
 
Mazwazwa wenzio waje
Haya we mjanja.... Lakini naamini kuna namna nyingi za kulia, mi nalia kwa sauti wengine wanalia kimya kimya.... Kwahiyo inategemea upo upande gani.

Jambo la kuzingatia ni kwamba wanaume wote tunalizwa, yawezekana tu unajiona mjanja kwa kuwa hujakutana na wa kukuliza lakini ipo siku utalia tu.
 
Sijawahi kuhonga mzee alieniumba ana ushahidi juu ya hili. ..........,
 
We jamaa vipi? Unataka kuacha pension yako hivi hivi? Hakikisha umepata pension na stahiki zako zote muhimu baada ya hapo piga Sanctions za maana then mwishoni mteme mazima ili awe na adabu kwa mwanaume atakayefuatia. Wanaume lazima tutengenezeane njia, sisi sote ni ndugu ati.
Kweli mkuu.... Si sote ndugu,
 
we ni kijana au maana unaonekana bado una ulimbukeni
 
Back
Top Bottom