Mahitaji yake nampa lakini yeye hataki kunipa

Mahitaji yake nampa lakini yeye hataki kunipa

endelea kumuwekea vikwazo . kaza sana vikwazo viwe vikali hasa vya kiuchumi na kijamii. mpaka mwishoni akitaka kuja kwako mpe masharti mwambie siku hiyo akija avae chupi ya pink au white ndo utafurah..mwambie hizo ndo rangi unazopenda. hapo atajua tu anakuja umle so akija mle.asipokuja nitumie namba yake ya simu niongee naye mawili matatu..
 
Bana vyuma. Kuhusu kuendelea kukaza, naomba mpigie BABA DAUDI atusaidie, amewezaje kukaza namna hii!
[emoji2] [emoji2]

Baba Daudi tena? Si nitaishia central.
 
endelea kumuwekea vikwazo . kaza sana vikwazo viwe vikali hasa vya kiuchumi na kijamii. mpaka mwishoni akitaka kuja kwako mpe masharti mwambie siku hiyo akija avae chupi ya pink au white ndo utafurah..mwambie hizo ndo rangi unazopenda. hapo atajua tu anakuja umle so akija mle.asipokuja nitumie namba yake ya simu niongee naye mawili matatu..
[emoji2]

Ntaweka vikwazo zaidi ya North Korea.
 
nitumie namba yake ili nami pia nimuwekee vikwazo..si unajua north korea na mataifa mengine yameiwekea vikwazo? so nitumie namba yake huyo dada akija kwangu pia nimwekee vikwazo arudi kwako... ni pm tafadhari.
[emoji2]

Ntaweka vikwazo zaidi ya North Korea.
 
Mkuu take care sometimes anakuonea huruma...kumbuka kuna gonjwa
 
Endelea kubana vyuma kwa heshima ya wanaume wote tulioathirika kama wewe. Lakini si muda muafaka wa kupanda mti mwingine maana huko utaishia kufeki mapenzi.
Kula like Mkuuu,[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Hapo nikubana vyuma tu hadi mwishoooo, mchawi atajurikana tu!
 
nitumie namba yake ili nami pia nimuwekee vikwazo..si unajua north korea na mataifa mengine yameiwekea vikwazo? so nitumie namba yake huyo dada akija kwangu pia nimwekee vikwazo arudi kwako... ni pm tafadhari.
Mkuu aki kuPM hiyo # uni PM na mmi......
Aiseeee hawa shenzi ndo tunaowataka, TuMgonge sanctions zakufa mtu...

Jamaa nimshamshauri afunge na ubalozi kabsa.......
 
AMEBANA NGENGE........ HA HA HA......................
 
Wakuu nawasalimu wote,

Kwanza kabisa poleni kwa majukumu naamini wote mnapambana ili kuhakikisha hili taifa linasonga mbele.

Pili, nipende kutoa shukrani zangu za dhati kwa wote walionishauli.

Ni Juzi tu nilileta uzi hapa nikiwa nalalamika kuwa kuna mpenzi wangu namhudumia kila kitu lakini yeye hataki kunipa haki ya wapendao.

Huu hapa; Mahitaji yake nampa lakini yeye hataki kunipa

Ndugu wanajukwaa ushauri wenu nimejaribu kuutumia na nimeona matunda ya ushauri wenu. Kuna wengine walinambia msimtafute, ni kweli jana asubuhi sijamtafuta, cha kushangaza mchana akanitumia SMS nikamshaushia. Usiku amenitafuta nikaendelea kubana vyuma.

Cha kushangaza leo asubuhi na mapema amenifuata kazini kwangu analia, ananibembeleza anasema turudiane.

Wanajukwaa msichoke kunishauri, mimi msimamo ni kwamba tuachane, lakini analia.

Naomba mtazamo wenu wakuu kuhusu hili suala, ukizingatia nimetumia gharama kubwa kumhudumia ndani ya wiki moja halafu sijalamba kitu.

Niendelee kubana vyuma?.
Muwekee vikwazo vya uchumi mkuu mwenyewe atasalimu amri.
 
Mwanaume hamwambii mwanamke " tuachane" huo ni ukambale......

Mwambie sioni FAIDA ya haya mahusiano hivyo CHAPALAPA

hakuzaliwa umlee,
 
Kuna msemo fulani wanasema *Real men keep their word*

kama unabwaga bwaga, kama unapenda Chunwa vumilia tu Mkuu!
hivi kuna mtu hapendi kupewa tu? Machozi ni igizo dogo tu mbele ya danga[emoji23]
Duu bro sioni haja ya ww kuendelea nae either piga mambo then bwaga kufek kujiliza hiyo ni gia analengo lake na likitimia tu utaona manyoya bro
 
Huyo hana mapenzi na wewe, hata ukimkazia akupe atakuwa anakupa kwa sababu ya njaa zake tu, lakini baadaye atakuumiza. ACHANA NAYE KIUKWELIUKWELI
 
Back
Top Bottom