Mkuuu vp, mrejesho wa kuongeza sanctions.......Wakuu nawasalimu wote,
Kwanza kabisa poleni kwa majukumu naamini wote mnapambana ili kuhakikisha hili taifa linasonga mbele.
Pili, nipende kutoa shukrani zangu za dhati kwa wote walionishauli.
Ni Juzi tu nilileta uzi hapa nikiwa nalalamika kuwa kuna mpenzi wangu namhudumia kila kitu lakini yeye hataki kunipa haki ya wapendao.
Huu hapa; Mahitaji yake nampa lakini yeye hataki kunipa
Ndugu wanajukwaa ushauri wenu nimejaribu kuutumia na nimeona matunda ya ushauri wenu. Kuna wengine walinambia msimtafute, ni kweli jana asubuhi sijamtafuta, cha kushangaza mchana akanitumia SMS nikamshaushia. Usiku amenitafuta nikaendelea kubana vyuma.
Cha kushangaza leo asubuhi na mapema amenifuata kazini kwangu analia, ananibembeleza anasema turudiane.
Wanajukwaa msichoke kunishauri, mimi msimamo ni kwamba tuachane, lakini analia.
Naomba mtazamo wenu wakuu kuhusu hili suala, ukizingatia nimetumia gharama kubwa kumhudumia ndani ya wiki moja halafu sijalamba kitu.
Niendelee kubana vyuma?.
Haaaa unachangamkia fursamkuu mwenyewe kodi imeisha na niko mwanza huku jamna so huduma yako inahitajita au niku pm
mkuu lazima maan hazijirudiagi hizi fursaHaaaa unachangamkia fursa
Na kweli kabisa na komaa nae alipie ata ya Miaka 2mkuu lazima maan hazijirudiagi hizi fursa
sasa shida sufahamu ofisin kwake ningeenda nalia kabisaa maan inaonekena na mtoaji mzuri sanaNa kweli kabisa na komaa nae alipie ata ya Miaka 2
Laah! Na usawa huu!!!Nimelipia Kodi ya nyumba, chakula( nimenunua gunia moja la mchele kilo 100), Lakini yeye ana ndugu anakaa nao. Hela ya salon nampatia.... Jamani bado tu sisitahili kupata haki yangu?
Kudaaadeki! wewe ukisubiri maembe yakomae na yaive vizuri, wenzako wanayaangusha hivyo hivyo mabichi na kuyala kwa chumviMpe muda kwan ukipanda mwembe silazima upatie huduma hili badae uje kula maembe dodo jikaze bhana
Ofisi yake ni pm na ongea nae kikubwasasa shida sufahamu ofisin kwake ningeenda nalia kabisaa maan inaonekena na mtoaji mzuri sana
Hahahahahaha ngoja nifanye hivo sasa hivi maan kodi ndo tatizoOfisi yake ni pm na ongea nae kikubwa
Apige fast kwanza au sio??? akili zenu hizi hahahahahahahaKwanza kula mzigo halafu sema na moyo wako kama uendelee nae au vp!
Na akija kwangu namtimua pia kudaadeki zake, tunafunga balozi zote hakuna pa kutokea na asylum hakuna kumpatiaMkuu aki kuPM hiyo # uni PM na mmi......
Aiseeee hawa shenzi ndo tunaowataka, TuMgonge sanctions zakufa mtu...
Jamaa nimshamshauri afunge na ubalozi kabsa.......