Mahitaji yake nampa lakini yeye hataki kunipa

Mkuu nikiendelea nae stress zitaniandama. Anapenda hela balaa
sasa hv atapunguza, nawe inabd uwe muwazi kwake, siku nyingine akiomba humpi ila una mpa majibu matamu matamu,,,,, afu kosa ulilokosea tangu mwanzo unavyomtokea inaonesha ulimzoesha sana pesa nae sasa yupo addicted
 
Kha! Nilisoma ule uzi wako wa mrejesho wa kwanza, kuna jamaa wanafunguka. Kweli kuna experts katika kuweka vikwazo na hii nchi ikwatumia vizuri, hakika itafika mbali...
 
sasa hv atapunguza, nawe inabd uwe muwazi kwake, siku nyingine akiomba humpi ila una mpa majibu matamu matamu,,,,, afu kosa ulilokosea tangu mwanzo unavyomtokea inaonesha ulimzoesha sana pesa nae sasa yupo addicted
Mkuu asante kwa ushauri.
 
kwahiyo Embe umeshatungua[emoji23][emoji23]...
Mzigo hauna viwango nini?
[emoji2]

Huyu mtoto mambo anayajua balaa sema tu inaonekana anapenda sana pesa, na kwa hali hii ni dhahiri kabisa sitapiga hatua yoyote ya kimaendeleo.
 
Okay Kama unamarengo nae ni vema ukaendelea kumshape vile unataka mwanamke wako aweje ukiwa tomb*tomb* utazoa laana na mamikosi ya mabinti zama zimebadilika izi...kuwa na mwenzi mmoja inatosha usimwache Kama unamarengo ya kufika nae mbali....
 
Kaka zetu mna tabu.
mademu wengine Chapwa ilale sio mnalialia
Mwanammke mzuri huolewa sio hao
 
Asante kwa ushauri boss.

Wahenga walisema "Za kuambiwa changanya na zako". Ntajaribu boss
 
Kaka zetu mna tabu.
mademu wengine Chapwa ilale sio mnalialia
Mwanammke mzuri huolewa sio hao
Wakati mwingine tunajaribu kurusha ndoano kwa hawa tusiishie kuwaita shemeji. Lakini tunachokutana nacho ni machozi.
 
Back
Top Bottom