Mahitaji yake nampa lakini yeye hataki kunipa

Mahitaji yake nampa lakini yeye hataki kunipa

Kwa nini umuache baada ya kupewa unachotaka...

Wanawake natural wameumbwa ni watu wa kudekadeka...

Wengine kudeka kwao wanaona ni usumbufu,wengine wanaona sawa...

Cc: mahondaw
 
Aiseee......
Sometimes kuzaliwa mwanamke ni shida zaidi. So yani umetongoza ndani ya week, umehudumia ndani ya week, ukataka mzigo akabana Mara akaachia. Then unamwacha....

Is this what she deserves?

Eti anapenda pesa?? Alikulazimisha au ni mbwembwe zako? Usingekuwepo unadhani mambo yasingekwenda?
 
Ndio mana nimetanguliza neno "SAMAHANI". Nilijua tu kuna watu watakwazika kwa uamzi niliochukua.

Ili huu ulimwengu uende lazima kuwe na kitu kinaitwa "Mutual benifits".

Haiwezekani nikutongeze siku moja tu halafu wewe siku hiyohiyo unaanza kunililia shida zako nami nikiomba siku hiyohiyo utanilaumu?.Ukiwa na subira nami ntakuwa na subira pia.

Wanawake inatakiwa mjifunze kitu sio kukaa kulaumu wanaume.

Anyway kama utanilaumu kwa uamzi niliochukua its ok!.

Back
Top Bottom