Mahitaji yake nampa lakini yeye hataki kunipa

Capslock

JF-Expert Member
May 1, 2016
3,066
4,729
Habari wanabodi,

Aisee kati ya siku ambazo ni mbaya kwangu basi ni leo. Leo ningekuwa Dar basi ningeenda mitaa ya Sinza ili nipate huduma.

Ni wiki sasa imepita tangu nianzishe uhusiano na binti fulani hapa mtaani, lakini tatizo kubwa la huyu binti yeye anataka nitimize mahitaji yake lakini yeye anabana. Hii ni haki jamani?

Juzi amelalamika hana kodi ya nyumba, nikaamua kumlipia hiyo kodi. Isitoshe tangia tuingie kwenye uhusiano mahitaji yote nampa mfano chakula, hela ya saluni natoa, lakini bado tu ananibania.

Sasa leo aliniahidi kwamba tungeonana, lakini na penyewe kaishia kunidanganya tu, hata usingizi sipati.

Nipeni angalau neno la faraja nipoze machungu ya leo.

======

Wakuu nawasalimu wote,

Kwanza kabisa poleni kwa majukumu naamini wote mnapambana ili kuhakikisha hili taifa linasonga mbele.

Pili, nipende kutoa shukrani zangu za dhati kwa wote walionishauli.

Ni Juzi tu nilileta uzi hapa nikiwa nalalamika kuwa kuna mpenzi wangu namhudumia kila kitu lakini yeye hataki kunipa haki ya wapendao.

Huu hapa; Mahitaji yake nampa lakini yeye hataki kunipa

Ndugu wanajukwaa ushauri wenu nimejaribu kuutumia na nimeona matunda ya ushauri wenu. Kuna wengine walinambia msimtafute, ni kweli jana asubuhi sijamtafuta, cha kushangaza mchana akanitumia SMS nikamshaushia. Usiku amenitafuta nikaendelea kubana vyuma.

Cha kushangaza leo asubuhi na mapema amenifuata kazini kwangu analia, ananibembeleza anasema turudiane.

Wanajukwaa msichoke kunishauri, mimi msimamo ni kwamba tuachane, lakini analia.

Naomba mtazamo wenu wakuu kuhusu hili suala, ukizingatia nimetumia gharama kubwa kumhudumia ndani ya wiki moja halafu sijalamba kitu.

Niendelee kubana vyuma?.

=====

Wanajukwaa wanawasalimu kwa mara nyingine.

Hongereni na Poleni kwa mihangaiko ya kila siku ili kuhakikisha gurudumu la maendeleo linasonga mbele.

Nashukru sana kwa ushauri wenu mzuri. Ni juzi juzi nilileta uzi hapa nikiwa nalalamika kwamba kuna dada namhudumia lakini yeye hataki kunipa haki ya wapendanao.

Lakini pia sikukawia nikaleta uzi wa mrejesho jinsi mambo yalivyokuwa.

Kuna watu walinishauri kwa kuwa nimetumia gharama kubwa kumhudumia nisimuache tu angalau nimgegede ili nipoze machungu ya gharama. Wengine walinishauri nikimbie zinaa.

USHAURI NILIOCHUKUA:

Samahani nitakaowakwaza kwa uamzi niliochukua, natambua kuwa kila mtu ana mtazamo tofauti kwa kila jambo. Kwahiyo yawezekana kwa uamzi niliochukua kuna watu wengine watakwazika "SAMAHANI SANA".

Siku hizi kuna msemo wa kubana vyuma, Basi nami niliamua kubana vyuma kwa huyu dada, ikiwemo vikwazo vya kiuchumi na kijamii.

Huyu dada mwishowe aliamua kutii amri, ndipo nilipomwambia hitaji langu na akakubali na jana nikajilia mzigo.

My take:

Hawa wanawake wanatia stress balaa unaweza ukajikuta unashindwa kufanya mambo yako kisa mwanamke. Kwa sasa sitaki kupenda tena na huyu tunaachana.

Shukrani ziwaendee wote walionishauri na wanajukwaa wote kwa ujumla.

Jumapili njema, ndugu zangu.
 
Huyo demu inaonesha hakupendi, yupo kimaslahi zaidi..kakufanya zoba/bwege na muda sio mrefu utapigwa chini...Kwa hiyo jiongeze...Usuke au Unyoe
 
Habari wanabodi!.

Aisee kati ya siku ambazo ni mbaya kwangu basi ni leo. Leo ningekuwa dar basi ningeenda mitaa ya Sinza ili nipate huduma.

Ni wiki sasa imepita tangu nianzishe uhusiano na binti fulani hapa mtaani, lakini tatizo kubwa la huyu binti yeye anataka nitimize mahitaji yake lakini yeye anabana. Hii ni haki Jamani?

Juzi amelalamika hana Kodi ya nyumba, nikaamua kumlipia hiyo kodi. Isitoshe tangia tuingie kwenye uhusiano mahitaji yote nampa mfano chakula, hela ya saluni natoa. Lakini bado tu ananibania Jamanii!

Sasa leo aliniahidi kwamba tungeonana, lakini na penyewe kaishia kunidanganya tu, hata usingizi sipati.

Jamani nipeni angalau neno la faraja nipoze machungu ya leo.
"We unachunwa mi namega kisela" by Mchizi Mox.
 
uzinzi ni dhambi. Oa
 
Yaani umekuwa sehemu ya kuchota pesa mgegedo hapo ukute anauomba kwa jamaa mwingine.

Cha kukushauri mkuu tafuta demu mwingine mkali( kama una uwezo wa kuhonga ni kugusa tu) halafu muoneshee kuwa wewe sio boya.

Jino kwa jino tu,kwani nini?
 
Mkuu ivi kuna chimbo gani hapa mwanza kama zile chimbo za dsm? angalau nikapunguze stress.
Hahaa kumbe upo mwanza, mwanza chimbo nyingi tu kwanza upo wapi muda huu?

Ili nikueleze kulingana na ukaribu wa hiyo huduma.
 
Yaani umekuwa sehemu ya kuchota pesa mgegedo hapo ukute anauomba kwa jamaa mwingine.

Cha kukushauri mkuu tafuta demu mwingine mkali( kama una uwezo wa kuhonga ni kugusa tu) halafu muoneshee kuwa wewe sio boya.

Jino kwa jino tu,kwani nini?
Asante sana kwa ushauri.
 
Back
Top Bottom