Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,638
- 7,146
Bana chuma
Wakuu nawasalimu wote.
Kwanza kabisa poleni kwa majukumu naamini wote mnapambana ili kuhakikisha hili taifa linasonga mbele.
Pili, nipende kutoa shukrani zangu za dhati kwa wote walionishauli.
Ni Juzi tu nilileta uzi hapa nikiwa nalalamika kuwa kuna mpenzi wangu namhudumia kila kitu lakini yeye hataki kunipa haki ya wapendao.
Ndugu wanajukwaa ushauri wenu nimejaribu kuutumia na nimeona matunda ya ushauri wenu. Kuna wengine walinambia msimtafute, ni kweli jana asubuhi sijamtafuta, cha kushangaza mchana akanitumia sms nikamshaushia. Usiku amenitafuta nikaendelea kubana vyuma.
Cha kushangaza leo asubuhi na mapema amenifuata kazini kwangu analia, ananibembeleza anasema turudiane.
Wanajukwaa msichoke kunishauri, mimi msimamo ni kwamba tuachane, lakini analia.
Naomba mtazamo wenu wakuu kuhusu hili suala, ukizingatia nimetumia gharama kubwa kumhudumia ndani ya wiki moja halafu sijaramba kitu.
Niendelee kubana vyuma?.
Mwambie kama anataka mrudiane akupe kipapa kwanzaMkuu sijalainika, nimemwambia tuachane.
Hahaa Mr capslock sijapata tabu kukumbuka post yako ile.Mkuu sijalainika, nimemwambia tuachane.
Mkuu hawa wanawake wanaumiza sana, hasahasa ukiwanyenyekea sana.Endelea kubana vyuma kwa heshima ya wanaume wote tulioathirika kama wewe. Lakini si muda muafaka wa kupanda mti mwingine maana huko utaishia kufeki mapenzi.
[emoji2] [emoji2]Hahaa Mr capslock sijapata tabu kukumbuka post yako ile.
Pima ngoma kama plain fokoa chemchem mkuu, ni uzembe na hasara kumuacha hujafukunyua, piga mashine halafu endelea kuweka sanction hizohizo kama N.korea.
Brother huionei huruma hela yako uliyoitoa inaenda hivyohivyo?
HAPANA MKUUU ,,NAKUMBUKA MIMI NMMOJA NILOKUSHAURI UTULIE USIMTAFUTE WALA USIMUOMBE.Wakuu nawasalimu wote,
Kwanza kabisa poleni kwa majukumu naamini wote mnapambana ili kuhakikisha hili taifa linasonga mbele.
Pili, nipende kutoa shukrani zangu za dhati kwa wote walionishauli.
Ni Juzi tu nilileta uzi hapa nikiwa nalalamika kuwa kuna mpenzi wangu namhudumia kila kitu lakini yeye hataki kunipa haki ya wapendao.
Huu hapa; Mahitaji yake nampa lakini yeye hataki kunipa
Ndugu wanajukwaa ushauri wenu nimejaribu kuutumia na nimeona matunda ya ushauri wenu. Kuna wengine walinambia msimtafute, ni kweli jana asubuhi sijamtafuta, cha kushangaza mchana akanitumia SMS nikamshaushia. Usiku amenitafuta nikaendelea kubana vyuma.
Cha kushangaza leo asubuhi na mapema amenifuata kazini kwangu analia, ananibembeleza anasema turudiane.
Wanajukwaa msichoke kunishauri, mimi msimamo ni kwamba tuachane, lakini analia.
Naomba mtazamo wenu wakuu kuhusu hili suala, ukizingatia nimetumia gharama kubwa kumhudumia ndani ya wiki moja halafu sijalamba kitu.
Niendelee kubana vyuma?.
Kamkojoleshe kwanzaMkuu sijalainika, nimemwambia tuachane.