Jiongeze tyuu apoo hakupendii huyooHabari wanabodi!.
Aisee kati ya siku ambazo ni mbaya kwangu basi ni leo. Leo ningekuwa dar basi ningeenda mitaa ya Sinza ili nipate huduma.
Ni wiki sasa imepita tangu nianzishe uhusiano na binti fulani hapa mtaani, lakini tatizo kubwa la huyu binti yeye anataka nitimize mahitaji yake lakini yeye anabana. Hii ni haki Jamani?
Juzi amelalamika hana Kodi ya nyumba, nikaamua kumlipia hiyo kodi. Isitoshe tangia tuingie kwenye uhusiano mahitaji yote nampa mfano chakula, hela ya saluni natoa. Lakini bado tu ananibania Jamanii![emoji16]
Sasa leo aliniahidi kwamba tungeonana, lakini na penyewe kaishia kunidanganya tu, hata usingizi sipati.
Jamani nipeni angalau neno la faraja nipoze machungu ya leo.
Anakupenda huyo anakujaribu tuu ajue kama unampenda kweli au unataka kumpotezea mdaHabari wanabodi!.
Aisee kati ya siku ambazo ni mbaya kwangu basi ni leo. Leo ningekuwa dar basi ningeenda mitaa ya Sinza ili nipate huduma.
Ni wiki sasa imepita tangu nianzishe uhusiano na binti fulani hapa mtaani, lakini tatizo kubwa la huyu binti yeye anataka nitimize mahitaji yake lakini yeye anabana. Hii ni haki Jamani?
Juzi amelalamika hana Kodi ya nyumba, nikaamua kumlipia hiyo kodi. Isitoshe tangia tuingie kwenye uhusiano mahitaji yote nampa mfano chakula, hela ya saluni natoa. Lakini bado tu ananibania Jamanii![emoji16]
Sasa leo aliniahidi kwamba tungeonana, lakini na penyewe kaishia kunidanganya tu, hata usingizi sipati.
Jamani nipeni angalau neno la faraja nipoze machungu ya leo.
Yaani comments yako ingetosha thread hii Tu pasipo nyongezaPole mkuu
aiseeYaani comments yako ingetosha thread hii Tu pasipo nyongeza
Umemcheki dem pajani si ana tatoo, unadhani kamchora nani"We unachunwa mi namega kisela" by Mchizi Mox.
Hakupendi huyo , hiyo hali hata mm ilishawahi kunikuta , baada ya kuachana na yule binti miezi kadhaa baadae aliniambia ukweli kwamba hanipendiHabari wanabodi,
Aisee kati ya siku ambazo ni mbaya kwangu basi ni leo. Leo ningekuwa Dar basi ningeenda mitaa ya Sinza ili nipate huduma.
Ni wiki sasa imepita tangu nianzishe uhusiano na binti fulani hapa mtaani, lakini tatizo kubwa la huyu binti yeye anataka nitimize mahitaji yake lakini yeye anabana. Hii ni haki jamani?
Juzi amelalamika hana kodi ya nyumba, nikaamua kumlipia hiyo kodi. Isitoshe tangia tuingie kwenye uhusiano mahitaji yote nampa mfano chakula, hela ya saluni natoa, lakini bado tu ananibania.
Sasa leo aliniahidi kwamba tungeonana, lakini na penyewe kaishia kunidanganya tu, hata usingizi sipati.
Nipeni angalau neno la faraja nipoze machungu ya leo.
Kuchora kitu gani ,unaweza ukachora na bado usione ndaniUmemcheki dem pajani si ana tatoo, unadhani kamchora nani
Huna haki hapo coz huyo sio mke wako...Acha uzinzi...Hutoendelea kw maisha hayo.Nimelipia Kodi ya nyumba, chakula( nimenunua gunia moja la mchele kilo 100), Lakini yeye ana ndugu anakaa nao. Hela ya salon nampatia.... Jamani bado tu sisitahili kupata haki yangu?