Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,869
- 828,403
Ni kipindi kigumu na kibaya kwa wasanii wa Tanganyika.. Hawasikiki tena na kazi zao haziuziki wala kushabikiwa tena.
Hata zile drama zao zilizokuwa zinawapa viewers na kiki kwasasa zinaonekana ni upuuzi mtupu
Hakuna trendings tena mitandaoni
Hakuna 'new subscribers'
Hakuna interviews tena
Hakuna majigambo na kutambiana tena!
Hawasikiki hawaonekani wamepotea kabisa
Haya ni matokeo hasi ya kushabikia utawala dhalimu na kuwasahau waliowafikisha hapo
Hakuna nyimbo za mapenzi tena wala kusifiana na kukandiana.. Nyimbo zinazobamba kwasasa ni nyimbo za ukombozi, nyimbo za hamasa za mabadiliko, mijadala ya kutafuta haki nk
Kuna kizazi kipya cha wasaniii kitazaliwa baada ya hapa na hili litakuwa funzo kubwa kwa wasanii waliopo..
Kwa wenye akili na wanaojua kujiongeza na kwenda na mahitaji ya nyakati huu ni wakati wao mzuri wa kufanya jambo.. Wakibaki hapo walipo watapotea milele