PostGE2025 Mahitaji ya nyakati, harakati za Gen Z vimewafubaza wasanii

PostGE2025 Mahitaji ya nyakati, harakati za Gen Z vimewafubaza wasanii

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Safi!

Wajifunze empathy kwa lazima, hata kama hawataki.

Wangeweza kuiunga mkono CCM bila kujifanya wao ni makatibu wa uenezi na hamasa wa chama. Na mbaya zaidi kwa yaliyofanyika 29-02/10 mtu yeyote anayejali utu angejiweka pembeni mwa hili jinamizi.

They are too african to understand this.

CCM imekosa mvuto, hivyo inataka boaster ya wasanii, na wasanii wanatafuta pesa, bila kujua jamii ina mwelekeo gani, kuna kipindi ikuwa kama sifa hivi kujiambatanisha na CCM. Kama wana mapenzi ya kweli na CCM sasa inabidi waonyeshe!
 
Mchekeshaji Mkojani amewaomba vijana kwenda kutazama kazi zake YouTube apata hata fedha ya unga.

"Gen Z legezeni kidogo, unga nyumbani umeisha. Twendeni YouTube Gen Z" - Mkojani kupitia Instagram.
1764737553724.jpg
 
Ni kipindi kigumu na kibaya kwa wasanii wa Tanganyika.. Hawasikiki tena na kazi zao haziuziki wala kushabikiwa tena.

Hata zile drama zao zilizokuwa zinawapa viewers na kiki kwasasa zinaonekana ni upuuzi mtupu
Hakuna trendings tena mitandaoni
Hakuna 'new subscribers'
Hakuna interviews tena
Hakuna majigambo na kutambiana tena!
Hawasikiki hawaonekani wamepotea kabisa
Haya ni matokeo hasi ya kushabikia utawala dhalimu na kuwasahau waliowafikisha hapo

Hakuna nyimbo za mapenzi tena wala kusifiana na kukandiana.. Nyimbo zinazobamba kwasasa ni nyimbo za ukombozi, nyimbo za hamasa za mabadiliko, mijadala ya kutafuta haki nk

Kuna kizazi kipya cha wasaniii kitazaliwa baada ya hapa na hili litakuwa funzo kubwa kwa wasanii waliopo..

Kwa wenye akili na wanaojua kujiongeza na kwenda na mahitaji ya nyakati huu ni wakati wao mzuri wa kufanya jambo.. Wakibaki hapo walipo watapotea milele

View attachment 3507694
Upepo utaisha watarudi kawaida
 
Back
Top Bottom