PostGE2025 Mahitaji ya nyakati, harakati za Gen Z vimewafubaza wasanii

PostGE2025 Mahitaji ya nyakati, harakati za Gen Z vimewafubaza wasanii

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwa sasa watanzania wamejua kuwa nguvu ya serikali IPO mikononi mwa wananchi wenyewe... TANZANIA imeishangaza dunia pale tulipoungana kupiga vita udini.
Hao wasanii wa TANZANIA hawajui hatima Yao baada ya Dec 9
Waombe malengo ya d9 yatimie yasipotimia wamekwisha mazima maana wataonekana wao ndo sababu watu kufeli
 
TIKTOK iligeuka njia rahisi ya wasanii ku-push muziki wao kwa bajeti ndogo sana.

Leo TIKTOK ni uwanja wa siasa na mikakati ya vuguvugu la harakati na mageuzi.

Wanunuaji wakubwa wa kazi za sanaa ni Gen Z ambao kwasasa wapo busy sana hawana huo muda wakusikiliza muziki wao.🤔🤔
1764403196370.jpg
 
nmeshangaa Ali kiba ametoa nyimbo siku hizi pita kwenye comment zake ni aibu tupu gen z sio poa aisee kumbe everything is possible banna
 
Safi!

Wajifunze empathy kwa lazima, hata kama hawataki.

Wangeweza kuiunga mkono CCM bila kujifanya wao ni makatibu wa uenezi na hamasa wa chama. Na mbaya zaidi kwa yaliyofanyika 29-02/10 mtu yeyote anayejali utu angejiweka pembeni mwa hili jinamizi.

They are too african to understand this.
💯
 
Back
Top Bottom