Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,157
- 10,655
Mko wengi sana.... Zitto is talented, young, gifted but not trustworthy....Zitto ni jiwe lililowashinda washi. Kaskazini yote makamanda mmeungana kumshambulia kwa chuki zenu za kikanda, kidini na kikabila. Ila huwa siku zote haki ya mtu haipotei hata ikiwa mission atashindwa kuikamilisha wapo kina Zito wengine watazaliwa na watapigania kuisimamisha haki na kuondoa dhulma chadema mnayofanya. Ni ishu ya muda tu.
Ni mole and has to go....
Huwezi kuwa mnafiki na bado ukataka watu wakuheshimu