Mahesabu ya Zitto na wapambe wake yamekwenda kombo -- namsikitikia sana!

E

Erwin Rommel

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2013
Messages
428
Likes
2
Points
35
Age
34
E

Erwin Rommel

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2013
428 2 35
[FONT=&quot] [/FONT]
[FONT=&quot]Leo ni takriban siku ya 12 tangu Zitto na wenzake wavuliwe uongozi Chadema kutokana na usaliti walioukiri.

Hadi leo sijaona mtikisiko wowote (nasema mtikisiko) kwa chama hicho nchini kuhusu kupinga hatua hii ya kamati kuu ya CDM, zaidi ya kelele na matusi humu JF, kelele ambazo naamini kwamba kwa asilimia kubwa zatoka CCM., pamoja na kutoka kwa akina Fyonza na wasaliti wenzake.

Support kubwa anayopata Zitto ni katika magazeti ya Uhuru, Habari Leo na Daily News, kitu ambacho ilimpaswa kujiuliza vipi?[/FONT][FONT=&quot][/FONT]

[FONT=&quot]
Nilitarajia katika siku hizo 11 yafuatayo yangetokea:[/FONT][FONT=&quot][/FONT]
[FONT=&quot]1.[/FONT][FONT=&quot] [/FONT][FONT=&quot]Maandamano makubwa ya wana CDM - hata katika asilimia 40 ya mikoa yote (au aslimia 40 ya wilaya zote) kumsupport Zitto. Hilo halijatokea., na pia Zitto ajiulize kwa nini.

[/FONT][FONT=&quot][/FONT]
[FONT=&quot]2.[/FONT][FONT=&quot] [/FONT][FONT=&quot]Mlolongo wa kujiuzulu kwa viongozi wakuu wa CDM – hata kwa silimia 20 tu (kamati kuu, wenyeviti mikoa etc). Hilo pia halijatokea na Zitto inapaswa ajiulize kwa nini.
[/FONT][FONT=&quot][/FONT]
[FONT=&quot]Ama kweli Zitto kwishney – mahesabu yake yamemuumbua sana! Na wanaomtetea CCM wamepatikana kwa hili kwani ‘watu wao’ katika CDM wametimuliwa na ndiyo maana wanasononeka sana.[/FONT][FONT=&quot][/FONT]

___
 
Ronal Reagan

Ronal Reagan

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
4,837
Likes
1,559
Points
280
Ronal Reagan

Ronal Reagan

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
4,837 1,559 280
Makamanda msimpe air time huyo. Let's move on please.

Sasa tujikite kwenye mambo mengine muhimu ya Kitaifa kisha baada ya muda waliiopewa kwisha ndipo turudi ulingoni.
 
C

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Messages
12,381
Likes
4,026
Points
280
Age
59
C

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2011
12,381 4,026 280
[FONT=&amp]Leo ni takriban siku ya 12 tangu Zitto na wenzake wavuliwe uongozi Chadema kutokana na usaliti walioukiri.

Hadi leo sijaona mtikisiko wowote (nasema mtikisiko) kwa chama hicho nchini kuhusu kupinga hatua hii ya kamati kuu ya CDM, zaidi ya kelele na matusi humu JF, kelele ambazo naamini kwamba kwa asilimia kubwa zatoka CCM., pamoja na kutoka kwa akina Fyonza na wasaliti wenzake.

Support kubwa anayopata Zitto ni katika magazeti ya Uhuru, Habari Leo na Daily News, kitu ambacho ilimpaswa kujiuliza vipi?[/FONT]

[FONT=&amp]
Nilitarajia katika siku hizo 11 yafuatayo yangetokea:[/FONT]
[FONT=&amp]1.[/FONT][FONT=&amp]Maandamano makubwa ya wana CDM - hata katika asilimia 40 ya mikoa yote (au aslimia 40 ya wilaya zote) kumsupport Zitto. Hilo halijatokea., na pia Zitto ajiulize kwa nini.

[/FONT]
[FONT=&amp]2.[/FONT][FONT=&amp]Mlolongo wa kujiuzulu kwa viongozi wakuu wa CDM – hata kwa silimia 20 tu (kamati kuu, wenyeviti mikoa etc). Hilo pia halijatokea na Zitto inapaswa ajiulize kwa nini.
[/FONT]
[FONT=&amp]Ama kweli Zitto kwishney – mahesabu yake yamemuumbua sana! Na wanaomtetea CCM wamepatikana kwa hili kwani ‘watu wao' katika CDM wametimuliwa na ndiyo maana wanasononeka sana.[/FONT]

___
Uhuru, mzalendo is understandable, sasa daily news, habari leo (magazeti ya serikali) wapi na wapi na CDM/Zitto. Kweli njaa mbaya ya wahariri wa magazeti haya!
 
Rweye

Rweye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Messages
16,245
Likes
4,024
Points
280
Rweye

Rweye

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2011
16,245 4,024 280
Wamebakia wahiriri makanjanja walionunuliwa kama nyama za buchani ndo wamebaki kujifaragua na habari za kumpa sifa za kijinga
 
V

vunjajungu

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Messages
578
Likes
3
Points
35
V

vunjajungu

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2011
578 3 35
Leo nimefarijika sana baada ya kumkuta kamanda mmoja katika kijiji fulani karibu na msoga amekaa na wazee kama 30 na akina mama kadhaa
anawapa elimu ya uraia!kabla nilijua shughuli za chama zimesimama kutokana na hili saga.
 
Songoro

Songoro

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2009
Messages
4,129
Likes
51
Points
0
Songoro

Songoro

JF-Expert Member
Joined May 27, 2009
4,129 51 0
Huna haja ya kukimbilia Kuchamba wakati hujamaliza Kunya, Ngoma ndo kwanza imeanza, Kuimarika au kuyumba kwa Chama hakupimwi kwa watu kujiuzulu au wingi wa Thread, Hata Mbowe anatamani watu wa Zitto wajiuzulu au wajitokeze kupinga hadharani ili wafukuzwe sasa PENGINE wameshauriwa wabakie Chamani hakuna Anaeweza kutabiri matokeo ya Mpambano, Uamuz wa kuwatimua wanaomkosoa/kumpinga Mbowe ni ushindi Mkubwa sana kwa CCM japo ni ngumu kuamini kwa sasa, Maana hata mikoani kila kiongoz anajipendekeza kwa Mbowe ili asiitwe Msaliti ila huwez kujua Dhamira na nafsi zao kwa Mbowe, Hata kama mnadhani mmeshinda msiwa Undermine sana kwa kiwango hicho !!
 
N

N'tembela

Member
Joined
Nov 22, 2013
Messages
47
Likes
0
Points
0
Age
38
N

N'tembela

Member
Joined Nov 22, 2013
47 0 0
Ukibaraka unanzia kwa mtu mwenyewe na ndio maana wanaoshababia ni wenzake. Huyo ni kama mrema. Na huo ni uwehu inabidi abadilike.
 
Yericko Nyerere

Yericko Nyerere

Verified Member
Joined
Dec 22, 2010
Messages
16,629
Likes
5,609
Points
280
Yericko Nyerere

Yericko Nyerere

Verified Member
Joined Dec 22, 2010
16,629 5,609 280
Kama chama kwa umoja wetu bila kujali dini, kabila, kanda, rangi wala jinsia tumekaa tukapanga namna ya kuikabili ccm iliyokuwa tayari imepenyeza mamluki wake wakiongozwa na Zitto,

Tulijiandaa sana kwaumoja wetu na sasa tunayafutahia matunda ya ushindi kimkakati,

Nawahakikishieni wanachadema kuwa kwakutumia ummoja wetu kama tulivyowashinda sasa hivi basi na 2015 tutashinda kwakishindo kulikomboa taifa letu.
 
E

Erwin Rommel

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2013
Messages
428
Likes
2
Points
35
Age
34
E

Erwin Rommel

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2013
428 2 35
Wamebakia wahiriri makanjanja walionunuliwa kama nyama za buchani ndo wamebaki kujifaragua na habari za kumpa sifa za kijinga
Sure! Na matamko yanayotolewa na masaliti wachache wengine waliobaki katika CDM wenye tamaa za fedha. Mara utasikia tamko la mwenyekiti wa matawi wa mkoa, mara mwenyekiti wa majani wa wailaya, ili mradi ni kuweweseka tu kuona mtu wao kwisha!

Ngoma imeisha Zitto! Orodha yako ya vigogo wa CCM wenye fedha Uswisi kaichome moto - makamanda wetu watapata orodha yao na kuimwaga hadharani kama walivyofanya Mwembe Yanga 2007.

Isitoshe hiyo orodha yako kumbe ulishinikizwa na mafisadi wa CCM kubadilisha mada -- eti sasa ina vigogo wote wenye fedha katika mabenki nje na nyumba huko nje -- ili tu eti umuingize Mbowe humo!

Ile orodha ya awali ya vigogo wa serikali ya CCM waliofunguliwa akaunti Uswisi na makampuni ya uchimbaji gesi na mafuta na kuwekewa mabilioni iko wapi? Acha kutumiwa wewe!!!
 
T

TRANQUILITIST

Member
Joined
Oct 28, 2012
Messages
84
Likes
2
Points
15
Age
35
T

TRANQUILITIST

Member
Joined Oct 28, 2012
84 2 15
Ni upepo tu unavuma ambao Zitoo atapotea nao ghafla kama Mrema A.
 
Vmark.

Vmark.

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Messages
1,356
Likes
17
Points
0
Vmark.

Vmark.

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2011
1,356 17 0
Siku nikipata taarifa ya kufukuzwa kwake rasmi nitaenda kuadhimishia xmass Canada.
 
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
6,791
Likes
1,039
Points
280
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
6,791 1,039 280
WATAJIHUDHURU SANA maana wamepatikana, CDM itabaki kuwa imara kama ilivyobaini mbinu zao
 
P

politiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2010
Messages
2,374
Likes
191
Points
160
P

politiki

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2010
2,374 191 160
Kama chama kwa umoja wetu bila kujali dini, kabila, kanda, rangi wala jinsia tumekaa tukapanga namna ya kuikabili ccm iliyokuwa tayari imepenyeza mamluki wake wakiongozwa na Zitto,

Tulijiandaa sana kwaumoja wetu na sasa tunayafutahia matunda ya ushindi kimkakati,

Nawahakikishieni wanachadema kuwa kwakutumia ummoja wetu kama tulivyowashinda sasa hivi basi na 2015 tutashinda kwakishindo kulikomboa taifa letu.
kaka ujasikia leo TAMKO la M-KITI WA MATAWI YOTE YA CDM MWANZA alivyosema ???
i went back online to look for such position i cpuldn't it find it, can i get your intake on this please ??
 
SHEIKH FARID

SHEIKH FARID

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Messages
281
Likes
1
Points
0
Age
40
SHEIKH FARID

SHEIKH FARID

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2013
281 1 0
Kama chama kwa umoja wetu bila kujali dini, kabila, kanda, rangi wala jinsia tumekaa tukapanga namna ya kuikabili ccm iliyokuwa tayari imepenyeza mamluki wake wakiongozwa na Zitto,

Tulijiandaa sana kwaumoja wetu na sasa tunayafutahia matunda ya ushindi kimkakati,

Nawahakikishieni wanachadema kuwa kwakutumia ummoja wetu kama tulivyowashinda sasa hivi basi na 2015 tutashinda kwakishindo kulikomboa taifa letu.
Tunasubiri siku 14 ziishe
 
kahtaan

kahtaan

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2009
Messages
17,224
Likes
2,218
Points
280
kahtaan

kahtaan

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2009
17,224 2,218 280
Kama chama kwa umoja wetu bila kujali dini, kabila, kanda, rangi wala jinsia tumekaa tukapanga namna ya kuikabili ccm iliyokuwa tayari imepenyeza mamluki wake wakiongozwa na Zitto,

Tulijiandaa sana kwaumoja wetu na sasa tunayafutahia matunda ya ushindi kimkakati,

Nawahakikishieni wanachadema kuwa kwakutumia ummoja wetu kama tulivyowashinda sasa hivi basi na 2015 tutashinda kwakishindo kulikomboa taifa letu.
Hizo zinaitwa ndoto za alinacha.
Huo umoja sasa hivi hamna.! Sembuse 2015?
Nyie mtapiga chini vibaya mno. Na aibu itawakuta 2015.
Mnashindwa ku organise mambo ndani ya chama chenu, mnapigana majungu na kuleteana unafiki mumo kwa mumo.
Leo hii unaleta hadithi za umoja??

We ndio wakuja kweli wewe!

Cc Ritz
 
Last edited by a moderator:
MUSSA ALLAN

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Messages
18,948
Likes
7,599
Points
280
MUSSA ALLAN

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2013
18,948 7,599 280
Zitto utamuua Padri babu kwa presha. ona vifaranga wake wanavyohangaika huku.
 
Last edited by a moderator:
H

Honolulu

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Messages
5,650
Likes
35
Points
145
H

Honolulu

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2012
5,650 35 145
Zitto na ujanja wake wote anakubali kurubuniwa na kuolewa na Mwigulu Nchemba. Ama kweli fedha fedheha!
 
Forum statistics

Threads 1,274,623
Members 490,740
Posts 30,518,389