Mahesabu ya Zitto na wapambe wake yamekwenda kombo -- namsikitikia sana!


POMPO

POMPO

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
6,691
Likes
17
Points
135
POMPO

POMPO

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
6,691 17 135
Mwanza wamewapiga marufuku mbowe na slaa mpaka wamrudishie zitto uongozi.. Wamepewa cku ine tu la sivyo maandamano yanakuja
Mkuu unaiongerea Mwanza ipi? Unaweza kunitajia mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa kwa wanamwanza? Ulimola?
 
Ng'wanapagi

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Messages
7,438
Likes
4,354
Points
280
Ng'wanapagi

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2013
7,438 4,354 280
[FONT=&quot] [/FONT]
[FONT=&quot]Leo ni takriban siku ya 12 tangu Zitto na wenzake wavuliwe uongozi Chadema kutokana na usaliti walioukiri.

Hadi leo sijaona mtikisiko wowote (nasema mtikisiko) kwa chama hicho nchini kuhusu kupinga hatua hii ya kamati kuu ya CDM, zaidi ya kelele na matusi humu JF, kelele ambazo naamini kwamba kwa asilimia kubwa zatoka CCM., pamoja na kutoka kwa akina Fyonza na wasaliti wenzake.

Support kubwa anayopata Zitto ni katika magazeti ya Uhuru, Habari Leo na Daily News, kitu ambacho ilimpaswa kujiuliza vipi?[/FONT][FONT=&quot][/FONT]

[FONT=&quot]
Nilitarajia katika siku hizo 11 yafuatayo yangetokea:[/FONT][FONT=&quot][/FONT]
[FONT=&quot]1.[/FONT][FONT=&quot] [/FONT][FONT=&quot]Maandamano makubwa ya wana CDM - hata katika asilimia 40 ya mikoa yote (au aslimia 40 ya wilaya zote) kumsupport Zitto. Hilo halijatokea., na pia Zitto ajiulize kwa nini.

[/FONT][FONT=&quot][/FONT]
[FONT=&quot]2.[/FONT][FONT=&quot] [/FONT][FONT=&quot]Mlolongo wa kujiuzulu kwa viongozi wakuu wa CDM – hata kwa silimia 20 tu (kamati kuu, wenyeviti mikoa etc). Hilo pia halijatokea na Zitto inapaswa ajiulize kwa nini.
[/FONT][FONT=&quot][/FONT]
[FONT=&quot]Ama kweli Zitto kwishney – mahesabu yake yamemuumbua sana! Na wanaomtetea CCM wamepatikana kwa hili kwani ‘watu wao’ katika CDM wametimuliwa na ndiyo maana wanasononeka sana.[/FONT][FONT=&quot][/FONT]

___
Umeanza kwa kukemea matusi halafu ukarudi kwenye matusi! FYONZA naamini ni Shonza,lakini huyu ni mzazi wa Juliana Shonza. Tuwatendee haki wazazi. "waheshimu baba na mama upate miaka mingi na heri duniani". Huyu dada makosa yake yasihusishwe na mzazi wake.
 
M

mchaichai

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Messages
648
Likes
0
Points
0
M

mchaichai

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2011
648 0 0
hiyo ni hatua ya kwanza bado! bado chama kitachukua hatua stahiki hivi karibuni hatutaki wanachama wanafiki wasio na uchungu wa nchi bali wa kwao na kakundi kenye maslahi binafsi. atanyooka na atajutia mikakati ya kuliangusha taifa na harakati za kujikomboa
 
mbuguni

mbuguni

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2013
Messages
553
Likes
17
Points
35
mbuguni

mbuguni

JF-Expert Member
Joined May 15, 2013
553 17 35
Kweli huyu zitto ni msaliti toka long na ni fisadi kama magamba wengne na ndo kapunguzaga zile kelele zake kwa magamba wenzake siku hizi..
 
amakyasya

amakyasya

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Messages
3,463
Likes
19
Points
0
amakyasya

amakyasya

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2013
3,463 19 0
Asilimia kubwa ya wanaolalamikia suala kuvuliwa uongozi ZITTO KABWE na wenzake kwa USALITI nia yao kubwa ni kuona chama hiki kinasambaratika katika ulimwengu wa siasa. Kwa bahati nzuri mbinu zao zinagundulika mapema kabla hata ya robo ya mipango yao kuanza kutekelezwa.
 
E

Erwin Rommel

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2013
Messages
426
Likes
2
Points
35
Age
34
E

Erwin Rommel

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2013
426 2 35
Mie nashangaa kwqa nini hafukuzwi haraka uanachama - akawe Mbunge wa Mahakama. Ni nyoka kabisa kuwa naye katika kundi lenye malengo mema. Kwanza hashangai makada wa CCM - Nape na Nchemba ndiyo wanamuonea huruma -- inawahusu nini wao. Si wanataka CDM ipasuke? Wanafiki tu!
 
amakyasya

amakyasya

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Messages
3,463
Likes
19
Points
0
amakyasya

amakyasya

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2013
3,463 19 0
Karibia wote ni mamluki na mapandikizi ya maccm
 
tunalazimika

tunalazimika

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Messages
1,100
Likes
4
Points
135
tunalazimika

tunalazimika

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2010
1,100 4 135
Asilimia kubwa ya wanaolalamikia suala kuvuliwa uongozi ZITTO KABWE na wenzake kwa USALITI nia yao kubwa ni kuona chama hiki kinasambaratika katika ulimwengu wa siasa. Kwa bahati nzuri mbinu zao zinagundulika mapema kabla hata ya robo ya mipango yao kuanza kutekelezwa.
hii si comment tu ambayo ungeweza kuiweka kwenye thread nyingi zilizomo humu-kwani kulikuw na haja hadi uanzishe thread yako? ama kweli.
 
M

MZAYONIST

Member
Joined
Nov 4, 2013
Messages
61
Likes
0
Points
0
Age
49
M

MZAYONIST

Member
Joined Nov 4, 2013
61 0 0
Asilimia kubwa ya wanaolalamikia suala kuvuliwa uongozi ZITTO KABWE na wenzake kwa USALITI nia yao kubwa ni kuona chama hiki kinasambaratika katika ulimwengu wa siasa. Kwa bahati nzuri mbinu zao zinagundulika mapema kabla hata ya robo ya mipango yao kuanza kutekelezwa.
Ndugu yangu umesema kweli tena unaona mbali utakuta hata wanachama wa ccm wanashabikia hapo ndipo utaona kuwa kuna njama chafu.watanzania tuamke
 

Forum statistics

Threads 1,262,285
Members 485,539
Posts 30,119,675