Mahesabu ya Zitto na wapambe wake yamekwenda kombo -- namsikitikia sana!

Zitto ni jiwe lililowashinda washi. Kaskazini yote makamanda mmeungana kumshambulia kwa chuki zenu za kikanda, kidini na kikabila. Ila huwa siku zote haki ya mtu haipotei hata ikiwa mission atashindwa kuikamilisha wapo kina Zito wengine watazaliwa na watapigania kuisimamisha haki na kuondoa dhulma chadema mnayofanya. Ni ishu ya muda tu.
Mko wengi sana.... Zitto is talented, young, gifted but not trustworthy....

Ni mole and has to go....

Huwezi kuwa mnafiki na bado ukataka watu wakuheshimu
 
Chadema follows the laws of the jungle it is the struggle for existence, survival for the fittest!.
he who laughs last, laughs most!.
he who cries last, cry most!.
Pasco
 
CCM Mbona mnalia sana Zitto abakie Chadema, kwani nyie hamumuhitaji?
mkuu usihangaike na magamba,hawa ni wanafiki na wasaliti kama Zitto.Waache,haya ndio madhara ya akili ndogo kutawala akili kubwa(mch,.Msigwa).Wanatamani zzk arudi,kama zzk walianza kumtilia mashaka na mienendo yake toka 2008 KAMA SIO 2009 ZITTO HANA SIRI YOYOTE NA HAWEZI KUFANYA LOLOTE YAAN+ KUJIBU MAPIGO HATA AKIFUKUZWA LEO HII.
 
Aminia kamanda, hata Mbowe ujue alikataa shangingi la kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni, tena kwa mbwembwe na dereva wa gari hilo kibarua kilisimama kwa muda....! hebu fanya kautafiti kadoogo kama hivi kweli mhishimiwa huyu alilikataa lileshangingi kweli ama amelirudia!, vipi kuhusu dereva wake analipwa na nani? ni hayo tu mkuu!!
 
Nikweli kabisa huyo ZZK amesambaza watu mikoan kushawishi watu watoe matamko mi mwenyewe ni mewaona Adam chaguran na Habibu mchange maeneo ya igoma mwanza hotel ya Hill front .wamefanikiwa kujujua watu ambao hawamo kwenye chama wAmetoa matamshi ya ungo chadema ni mpango wa mungu kukomboa nchi hii wanafiki wote wanajichambua inakuja kushika dola2015 Itakuwa haina wanafik wote wameshaumbuka
 
Zitto ni jiwe lililowashinda washi. Kaskazini yote makamanda mmeungana kumshambulia kwa chuki zenu za kikanda, kidini na kikabila. Ila huwa siku zote haki ya mtu haipotei hata ikiwa mission atashindwa kuikamilisha wapo kina Zito wengine watazaliwa na watapigania kuisimamisha haki na kuondoa dhulma chadema mnayofanya. Ni ishu ya muda tu.

Fanyeni kwanza kazi ya kumaliza dhulma ndani ya CCM ili angalau wanyonge wapate japo panadol waendapo katika zahanati na hospitali za vijiji na na majiji ya nchi hii iliyolaaniwa kwa CCM kuendelea kutawala.
 
Unafiki wa zitto kabwe kwenye siasa ya Tanzania mbaya sana baada ya kusimamishwa vyeo chadema kwa sasa anatapatapa kutunga matamko ya kuonyesha anaungwa mkono na wafuasi walio wengi mpango huu unaratibiwa na Grayson Nyakarungu,Habib Mchange,Mtela Mwampamba na Juliana Shonza baada ya vijana hawa walishajiunga CCM wengine wakiwa hawaeleweki mpaka leo pindi kamati kuu ya chadema ilipotoa tamko vijana hawa waliandaa Press conference ya Zitto kwenda kujibu tuhuma za kamati kuu mbele ya vyombo vya habari huku wakishangaza watu mtu kama Mtela Mwampamba mfuasi wa UVCCM anawezaje kuchagua watu wa kuingia kwenye press conference ya Zitto Kabwe??? Pamoja na hilo ikumbukwe baada ya mpango wa group la MP7 ulivyogundulika chadema na kupelekea Shonza na Mtela Mwampamba kuvuliwa uanachama ni Zitto huyu huyu alikana kuwafaham kisha akasema maneno haya "vijana simamieni misingi ya chama na sio watu katika chama" imekuwaje yule aliyemkana hamjui leo anachagua watu wa kuingia kwenye press conference yake huku akiwa mwanachama hai wa CCM?? Grayson Nyakarungu huyu kwa sasa anazunguka nchini kurubuni vijana watoe matamko hasa wa vyuo vikuu kwa mgongo wa CHASO kupinga maamuzi ya kamati kuu huku wakishirikiana na Adam Chagulani pamoja na Habib mchange wanaenda kuwalipa vijana

R.I.P MM(Zitto Kabwe) Dhambi ya usaliti ikutafune hadi ikufilisi wewe na familia yako(baba yako,mama yako,mchumba wako,mtoto wako,kaka,dada na wadogo zako pamoja na ukoo wako na wale wote wanao kusuport) katika kazi yako ya kumsaliti mtanzania aliye kuamini na kukuthamini ili uje umkombe kutoka mikoni mwa mafisadi na walaghai wa nchi.
Kwani umeshindwa kuwafikiria japo hata kidogo,kwa wale waliopoteza maisha,kazi,na hata na wale ambao wanaishi maisha magumu kaajili ya kuishabikia chadema kupitia wewe? Eti kwanini umeamua kumuangusha mtanzania kwa vipande vya pesa kuliko kuwathamini watanzania waliokuamini?
 
unafiki wa zitto kabwe kwenye siasa ya tanzania mbaya sana baada ya kusimamishwa vyeo chadema kwa sasa anatapatapa kutunga matamko ya kuonyesha anaungwa mkono na wafuasi walio wengi mpango huu unaratibiwa na grayson nyakarungu,habib mchange,mtela mwampamba na juliana shonza baada ya vijana hawa walishajiunga ccm wengine wakiwa hawaeleweki mpaka leo pindi kamati kuu ya chadema ilipotoa tamko vijana hawa waliandaa press conference ya zitto kwenda kujibu tuhuma za kamati kuu mbele ya vyombo vya habari huku wakishangaza watu mtu kama mtela mwampamba mfuasi wa uvccm anawezaje kuchagua watu wa kuingia kwenye press conference ya zitto kabwe??? Pamoja na hilo ikumbukwe baada ya mpango wa group la mp7 ulivyogundulika chadema na kupelekea shonza na mtela mwampamba kuvuliwa uanachama ni zitto huyu huyu alikana kuwafaham kisha akasema maneno haya "vijana simamieni misingi ya chama na sio watu katika chama" imekuwaje yule aliyemkana hamjui leo anachagua watu wa kuingia kwenye press conference yake huku akiwa mwanachama hai wa ccm?? Grayson nyakarungu huyu kwa sasa anazunguka nchini kurubuni vijana watoe matamko hasa wa vyuo vikuu kwa mgongo wa chaso kupinga maamuzi ya kamati kuu huku wakishirikiana na adam chagulani pamoja na habib mchange wanaenda kuwalipa vijana na kuwalisha tamko walitoe kwenye vyombo vya habari kumnusuru zitto huu ni unafiki mkubwa na hauta mnusuru zitto hakuna aliye maarufu kuliko chama fungu walilotoa ccm la kumnusuru zitto litawaumbua tena inastajabisha sana ccm kuumia sana kwa kusimamishwa zitto wakati kama chama pinzania ingekuwa ni furaha kwao kwa kuwa vurugu hizi ndio kuimarika kwa ccm??? Nini kinachowauma hapa ccm???

mkuu kali kulko sijaiona apo edt heading hangover ikiisha naona mapambano kati ya wapenda demokrasia vs wahafidhina chadema yamepamba moto..hivi lema amepewa adhabu gan kwa kumpga mwgamba tofali mbele ya mbowe na kileo kapewa adhabu gani kwa kumchafua zto kuptia blog yake.. .nazan hayo maswali ndio kali kulko au cz lema na kileo wanatoka jran ya ule mlma mrefu kule kwa mwkt wa maisha wa cdm mr.mbowe
 
Huyu mtu njaa tu,unacheza mzee Tyson sura kama nyani! Pole sana msaliti,na bado,mwenzio kapigwa chini uticha.
 
Unafiki wa zitto kabwe kwenye siasa ya Tanzania mbaya sana baada ya kusimamishwa vyeo chadema kwa sasa anatapatapa kutunga matamko ya kuonyesha anaungwa mkono na wafuasi walio wengi mpango huu unaratibiwa na Grayson Nyakarungu,Habib Mchange,Mtela Mwampamba na Juliana Shonza baada ya vijana hawa walishajiunga CCM wengine wakiwa hawaeleweki mpaka leo pindi kamati kuu ya chadema ilipotoa tamko vijana hawa waliandaa Press conference ya Zitto kwenda kujibu tuhuma za kamati kuu mbele ya vyombo vya habari huku wakishangaza watu mtu kama Mtela Mwampamba mfuasi wa UVCCM anawezaje kuchagua watu wa kuingia kwenye press conference ya Zitto Kabwe??? Pamoja na hilo ikumbukwe baada ya mpango wa group la MP7 ulivyogundulika chadema na kupelekea Shonza na Mtela Mwampamba kuvuliwa uanachama ni Zitto huyu huyu alikana kuwafaham kisha akasema maneno haya "vijana simamieni misingi ya chama na sio watu katika chama" imekuwaje yule aliyemkana hamjui leo anachagua watu wa kuingia kwenye press conference yake huku akiwa mwanachama hai wa CCM?? Grayson Nyakarungu huyu kwa sasa anazunguka nchini kurubuni vijana watoe matamko hasa wa vyuo vikuu kwa mgongo wa CHASO kupinga maamuzi ya kamati kuu huku wakishirikiana na Adam Chagulani pamoja na Habib mchange wanaenda kuwalipa vijana

R.I.P MM(Zitto Kabwe) Dhambi ya usaliti ikutafune hadi ikufilisi wewe na familia yako(baba yako,mama yako,mchumba wako,mtoto wako,kaka,dada na wadogo zako pamoja na ukoo wako na wale wote wanao kusuport) katika kazi yako ya kumsaliti mtanzania aliye kuamini na kukuthamini ili uje umkombe kutoka mikoni mwa mafisadi na walaghai wa nchi.
Kwani umeshindwa kuwafikiria japo hata kidogo,kwa wale waliopoteza maisha,kazi,na hata na wale ambao wanaishi maisha magumu kaajili ya kuishabikia chadema kupitia wewe? Eti kwanini umeamua kumuangusha mtanzania kwa vipande vya pesa kuliko kuwathamini watanzania waliokuamini?

ALAANIWE ZITO AU UKOO WA WANAOKULA RUZUKU INAYOTOKANA NA KODI ZETU
 
nakuja

Haya tunayatarajia kitambo na ccm hawa na miteja wao misukule nakwambia hawana lao.

ZAIDI MI BINAFSI NAWAPA mafisadi ccm POLE NYINGI SANA.

POLENI SANA mafisadi kwani njia zenu mbinu zenu ni fupi sana kwa Watanzania wa leo.
 
Last edited by a moderator:
Fanyeni kwanza kazi ya kumaliza dhulma ndani ya CCM ili angalau wanyonge wapate japo panadol waendapo katika zahanati na hospitali za vijiji na na majiji ya nchi hii iliyolaaniwa kwa CCM kuendelea kutawala.

Dhulma ya Ccm haiwezi kufanyiwa mbadala bali ni kupambana ndani ya chama ima kama unataka kuiondoa Ccm madarakani uwe msafi.
 
Kazi ipo eti unajivunia elimu uliyonayo sasa si ujivunie na unafiki wako unaokuzalilisha kila kona kwa sasa?

Ww kweli mwehu maana unaandika ushuzi den unajijibu ww mwenyewe kweli akili yako kama mpira wa kiume
 
Aminia kamanda, hata Mbowe ujue alikataa shangingi la kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni, tena kwa mbwembwe na dereva wa gari hilo kibarua kilisimama kwa muda....! hebu fanya kautafiti kadoogo kama hivi kweli mhishimiwa huyu alilikataa lileshangingi kweli ama amelirudia!, vipi kuhusu dereva wake analipwa na nani? ni hayo tu mkuu!!

This is immaterial here. Msaliti has to go! Mgalagale, mjibiringite, mcheze Nsusumia uchi, jamaa yenu haponi. Mark my words.
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom