Hawacheki wanaserebuka sana hadi bwana harusi anaona aibu yeye inabidi atizame chini.
Wanaona aibu kisa? Kwani wakati wanatangaza ndoa hawakujua wapenzi wao ni waserebukaji? Hamna mawasiliano kati yao hata washibdwe kuwekeana mipaka kama ni muhimu/lazima?
Alafu na nyie kwa umbea. . .eti wanaona aibu mpaka wanatazama chini!!Unajuaje hawa-avoid kuangalia ili wasiharibu muonekano wa suruali?Msijifanye mnajua sana kila kitu wengine wanachohisi ndani ya nafsi zao.
Hivi kuolewa ni bahati?? Kwanini iwe ni bahati?
Kweli ni bahati wengi hawaolewi au kuoa
Fikra nyingine. . .GIZA kweli.Mwanaume kuacha kuoa ni maamuzi yake lakini kwa wanawake sio maamuzi yao bali hawakupata bahati ya kuolewa. Wanawake siku hizi kuolewa imekuwa taabu sana kwa tabia yao waliyoianzisha
Wanaona aibu kisa? Kwani wakati wanatangaza ndoa hawakujua wapenzi wao ni waserebukaji? Hamna mawasiliano kati yao hata washibdwe kuwekeana mipaka kama ni muhimu/lazima?
Alafu na nyie kwa umbea. . .eti wanaona aibu mpaka wanatazama chini!!Unajuaje hawa-avoid kuangalia ili wasiharibu muonekano wa suruali?Msijifanye mnajua sana kila kitu wengine wanachohisi ndani ya nafsi zao.
Wadada kuolewa ni zali siku hizi...
Zamani wakati wa harusi, bibi harusi alikuwa hawezi hata kumtizama padri au mchungaji anapofungisha ndoa! Mda mwingi alikuwa kainama kitu kilichotafsiriwa kuwa alikuwa na aibu aibu na heshima kwa mumewe! Siku hizi mambo tofauti kabisa,! Utakuta bibi harusi katoa macho, muda wote anacheka, achilia mbali wengine kuserebuka ukumbuni mpaka jasho kuwatoka! Kifupi, wengi wao wanakuwa hawana utulivu kama tuliozoe kuuona, kinyume chake mwanaume ndo huonyesha utulivu! Jamani, hii husababishwa na nini?? Wadada mnaotarajia kuolewa, jaribuni kutulia siku ya harusi, msituache na mishangao!
Hizi analysis zingine sijui huwa mnazitoa wapi...

DigKuolewa ni aibu ama furaha??[/QUOTE said:Yote Majibu.
na ukizingatia waoaji mwenyewe hawapo.Wadada kuolewa ni zali siku hizi...