Mahari na nafasi yake katika ndoa... Je, utamaduni huu umepitwa na wakati?

Weka CV yake kwanza.
Inawezekana hiyo 6m ni bei ya promoshen halafu wewe unalalamika.
 
Sijui basis ya milioni sita ni nini? Wahi Lushoto ukajikamatie Mbugu watashika adabu wakwe zako!
 
Kaka usijali hiyo ni biashara, Wazazi wamemuweka mtoto wao sokoni mwenye uwezo atanunua tuu. Hii kali Millioni sita! naona hawakutaki ila wanaona noma kukuambia live, kwa hiyo dawa ni dau kubwa tuu ukimbie mwenyewe.
 
Back
Top Bottom