Mahari na nafasi yake katika ndoa... Je, utamaduni huu umepitwa na wakati?

Desturi ya Utoaji Mahari ni ya Enzi na Enzi lakini kwa yule amabye nI msichana bado (Aiyemjua mwanaume-Bikra ) na sio kutoa mahari kwa Mwanamke (aliyefunguliwa /anayemjua mwanaume),
Sasa mtu Mtu katumika mbele, nyuma. Kapakatwa mpaka na vibabu, leo anaolewa. WATU WAZIMA WANAKA VIKAO KWA MIEZI MITATU, WANACHANGISHANA NA KUPANGA NAMNA MWANAMKE (Binti Aliyetumika) ATAKAVYO OLEWA!!! NI MATUMIZI MABAYA YA MUDA, FEDHA NA AKILI
 
Back
Top Bottom