Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,305
Usije ukasoma sana ukamshinda mwalimu mkuu wa shule ya msingi, mwenyekiti wa kijiji au medical assistant wa dispendary ya kijiji. Watashindwa kupima umesoma hadi elimu gani.
Wakisikia fulani anasoma wanauliza, ameshasoma kama mwalimu mkuu? Wakijibiwa umemzidi wanashindwa kuelewa ni elimu gani unayosomea.
Hahahha, Kongosho hii chumvi shira sasa!
Sasa ikizidi ya Mwalimu Mkuu au Medical Assistant watashindwa kuthaminisha mahari au?
Manake wengine tunaona kama vigwezo vyengine tunapwaya, basi walau tuponee huko kwenye elimu.
Kumbe nako mnataka kutufanyia hiyana!
"Oyo duhu, wichubhula" hahahahaa
Nini hii? Au ndio nianze na mazoezi wa hii lugha kwa lazima?