Kulipwa usidhani mshahara dogo unapikiwa chakula sina waleza mko nyuma sana.Holy mother of God, I near had heart attack nimesoma sentence hii...... sikujua wewe ..... kumbe ni ajira yako kuwalala wadada na kukulipa kama kule mombasa na wataliii eish...nimepoteza mdua sana kujibizana na wewe hatuko level moja....
ndio kila mtu anatoa mawazo yake ila sasa naona we unashindwa jinsi ya kuwasilisha mawazo yako kwa kumlazimisha afuate imani yako ya mapenzi.. Afu kutoka na mwenzio mtarajiwa ni katika kufamiana zaid her likes and dislikes... Bro kuna kitu inaitwa fun! Muhim sana kwa mtarajiwa wako. Labda kama we ulimaanisha wale watoto wa kike nit...mb nkale..Hapana mimi si mshari hapa kila mtu anatoa mawazo yake.
Please usiweke dini hapa, hakuna dini inaruhusu ukalishe gf wako nje au mke mtarajiwa...hebu nipe kitabu gani kimeruhusu.
.... ukiniazima tochi mchana haitanisaidia ....= hizo gharama unazoa-anza naye uwe tayari baadae kumuacha atafunwe na wengine pindi utakapokumbwa na economic crunch.....unajitutumua mpaka twenty to fifty....tchao
OK nadhani hapa tunanza kuja kwenye point, hapa sikatai kabisa nilipo weka highlighted.ndio kila mtu anatoa mawazo yake ila sasa naona we unashindwa jinsi ya kuwasilisha mawazo yako kwa kumlazimisha afuate imani yako ya mapenzi.. Afu kutoka na mwenzio mtarajiwa ni katika kufamiana zaid her likes and dislikes... Bro kuna kitu inaitwa fun! Muhim sana kwa mtarajiwa wako. Labda kama we ulimaanisha wale watoto wa kike nit...mb nkale..
Fazaa, unaonekana unajali sana watu wanavo fikiria kuhusu maisha yako na maisha ya mpenzi wakoSwali je kwanini uende naye sehemu ambazo zinaweza kuleta bad picture upande wake, kama mungu hajajalia akawa mke wako...si ndo hapo wengine wana anza kuzulia ma binti za watu kama wameisha lala nao wakati sio kweli.
Kumbuka kuoana ni majaliwa, sa kama mungu hakujalia si kuna wengine wata anza kumtangazia mke wako mtarajiwa kama alikuwa hawara yako, au nasema uwongo...unaweza kumharibia sifa zake wakati ni binti katulia.
Kupanga mambo si lazima muende mkale nje, mnaweza kukutana private mkamaliza deal zenu kimya kimya.
Utani tuweke pembeni hapa; Nani hapa anakubali kuona dada yake anaenda kulishwa na mtu sio mme wake, kwenye ma restaurant au ma hotelini.
OK nadhani hapa tunanza kuja kwenye point, hapa sikatai kabisa nilipo weka highlighted.
Swali je kwanini uende naye sehemu ambazo zinaweza kuleta bad picture upande wake, kama mungu hajajalia akawa mke wako...si ndo hapo wengine wana anza kuzulia ma binti za watu kama wameisha lala nao wakati sio kweli.
Kumbuka kuoana ni majaliwa, sa kama mungu hakujalia si kuna wengine wata anza kumtangazia mke wako mtarajiwa kama alikuwa hawara yako, au nasema uwongo...unaweza kumharibia sifa zake wakati ni binti katulia.
Kupanga mambo si lazima muende mkale nje, mnaweza kukutana private mkamaliza deal zenu kimya kimya.
Utani tuweke pembeni hapa; Nani hapa anakubali kuona dada yake anaenda kulishwa na mtu sio mme wake, kwenye ma restaurant au ma hotelini.
Hebu nikae chini niisome hii sredi kwa umakini kabla ya kutoa ushauri.
Nshangaa watu wengine wanajifanya expert katika mambo ya wanawakebaadhi ya watu humu,punguzeni munkari
nenda pale kona bar kwa bonge ....
Ha ha haaaa uko makini
Na asiye jali nani, wewe kama hujali wengine wana jali...wewe hujali kuona dada yako anatoka na mtu sie mme wake, wengine wanajali...Kweli kabisa heshima ya mwanamke ni ku stand for what she believes in, lakini sio kila siku anacho believes kinakuwa kiko sawa, siku zote lazima awe careful.Fazaa, unaonekana unajali sana watu wanavo fikiria kuhusu maisha yako na maisha ya mpenzi wako
Kuna thread nilisema nikipigiwa sim na mtu nisie mpenda nitaiacha tu ilie bila kupokea
ukasema: si watu watakushangaa kwa nini hupokei sim wakati unaitwa.
Faham ya kwamba huwezi kuwaridhisha binadam wote kwa pamoja.
Ikiwa wewe na mwenzio mmeridhika kwenda kula out, kwa nini uhangaike na watu wanavo chukulia?
Mimi sister akinambia kaalikwa na mpenzi wake (ambae haja propose kua mume), kwa nini nichukie?
Heshima ya mwanamke sio kumaliza deals kimya kimya, heshima ya mwanamke ni to stand for what she believes in.
nenda pale kona bar kwa bonge ....
halafu ooh,wanaume wa kibongo sio romantic.kumbe mkitaka mnaweza
Mimi naona sehemu nzuri kumpeleka mke mtarajiwa wangu kama nataka kuongeza mke ni kwa wazazi wake, nakumchukua jumla jumla sio kumpotezea wakati wake kumshindilia vyakula sio fresh apate kuharibu figa yake.Wewe sehemu zipi unaona ni sawa kumpeleka mtarajiwa wako?