Msaada: Mahali gani pazuri kwenda outing hapa Dar kwa 50k?

Scolari

JF-Expert Member
Aug 25, 2017
1,694
2,295
Waungwana kwema?

Wale wa kataa ndoa endeleeni ninawatia moyo ili mtafute amani yenu na sisi tunaotaka kuoa tuwe makini kuchagua na wenye majukumu ya kitaifa tunawatia moyo

Ninaulizia sehemu nzuri ambayo ina hadhi ambapo ninaweza mpeleka manzi kwa ajili ya dinner kwa gharama isiyozidi 50000

Natanguliza shukrani
 
Mkuu Maeneo mazuri kwa Dar ni hizo hizo Hotel zetu za Serena, Golden Tulip, Calambez nk. Bei ya Vyakula iko juu sana.
Chips na Samaki au nyama inaanzia 38,000. Soda 7,000-10'000, Maji madogo 5,000 - 10,000. Wine unaanzia 70,000+
Kwa Pesa hiyo nenda Vibanda vya KFC au MaryBrown utapata msosi mzuri au nenda Coco Beach au Beach za Kigamboni ingawa nako utaku umekaa roho juu juu
 
Shukrani
 
Nimechekaa had machoziii.
 
Waungwana kwema?

Wale wa kataa ndoa endeleeni ninawatia moyo ili mtafute amani yenu na sisi tunaotaka kuoa tuwe makini kuchagua na wenye majukumu ya kitaifa tunawatia moyo

Ninaulizia sehemu nzuri ambayo ina hadhi ambapo ninaweza mpeleka manzi kwa ajili ya dinner kwa gharama isiyozidi 50000

Natanguliza shukrani
Bro kama unapajua tabata Kuna sehem flani ivi nyuma ya The great Pub. Ni sehem tulivu mno Mimi nilipapenda na bajeti hiyo inaruhusu panaitwa BP garden
 
Ninaulizia sehemu nzuri ambayo ina hadhi ambapo ninaweza mpeleka manzi kwa ajili ya dinner kwa gharama isiyozidi 50000

Natanguliza shukrani

Terrace Lounge ya Msasani Mall (usiende Dar Free Market mazingira mabovu)...

Golden Folk ya Mikocheni, nimeiweka hii kutokana na budget yako kuwa ndogo (wana tawi Sinza ila pana mbu kishenzi)...

Instabul Turkish Restaurant, Mlimani City...

BestBite ipo opp. na kituo cha zamani cha Oysterbay police br. ya Ally Hassan Mwinyi...

GrandRestaurant ipo Harbor View town...

KFC yeyote...(ila utakuwa limited kula kuku na chips tu)...

NB: Kuwa na pesa emergency hata 20k...
 
Terrace Lounge ya Msasani Mall (usiende Dar Free Market mazingira mabovu)...

Golden Folk ya Mikocheni, nimweiweka hii kutokana na budget yako kuwa ndogo (wana tawi Sinza ila pana mbu kishenzi)...

Instabul Turkish Restaurant, Mlimani City...

BestBite ipo opp. na kituo cha zamani cha Oysterbay police br. ya Ally Hassan Mwinyi...

GrandRestaurant ipo Harbor View town...

KFC yeyote...(ila utakuwa limited kula kuku na chips tu)...

NB: Kuwa na pesa emergency hata 20k...

Shukrani sana mkubwa
 
Back
Top Bottom