DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Shida mwanamke ni mwizi

Na cha ajabu hakukataa huo wizi

Yaani dollar karibu milioni 7 in total .... amechukua kwa signature za wizi

Huyu dada tamaa zilimzidi sana,mpaka kuiba pesa nyingi hivyo?

What a bad woman

Kiongoli ni watu wa wapi aisee?I know sio Mchagga kabisa,Mosha kiazi sana aisee,badala aoe kwao kuna wasichana wazuri na disciplined kaenda kuoa jambazi,yaani unafoji documaa unaiba madola mengi hivyo?

Huyo kama alivyosema haoni hatari kumuwekea sumu jamaa
Lazima alisaidiwa na hawara kufanya hivyo.
 
Unaweza kuta Huyo mwanamke hapo alipo hajaachwa kizembe, utakuta hapo mke wa Davis mosha ana nyumba za kupangisha dar, magari, na nyumba ya ghorofa, biashara mbalimbali na assets kama ardhi, ila utakuta mke hapo kwenye hio kesi anatafta ziada tu Nifah
Anayo magari anazo nyumba zipo kwa jina la mdogo wa mke anaitwa Steven yupo Kigamboni
 
Nifah umesoma vizuri kweli?

Kaiba dollar 500,000..kaja dollar sijui 950,000....total ni kama dollar milioni 7 hivi na zote hizo hajabisha,jibu lake kasema "sijibu hii hoja ya wizi hizi sababu nampenda petitioner na nimekaa nae miaka 28" hilo ndio jibu la huyo dada.

Tatizo huyo dada ni mwizi anaiba kwa kufoji documents,anakopa benki bila knowledge ya mwenye kampuni na hela anazihamishia kwenye account zake binafsi anazila

Huyo hafai tena na ni very wrong
Ujanja kapewa na Jamaa anaitwa Athuman kufakunoga huyo ndiyo mchepuko wa huyo mwanamke kwa sasa
 
Ninavyojua mimi ni kuwa chochote kinacho chumwa ndani ya ndoa ni cha wanandoa pasu kwa pasu. Siwezi kuamini kuwa katika miaka 28 ya ndoa hamna kilichoingizwa au kununuliwa. Kama kuna kampuni imeanzishwa basi mke anakuwa na mgao wake. Tabia za huyo mwanamke katika ndoa hiyo hazina uhusiano wowote na haki yake.

Mike Tyson alitakiwa kumlipa mtalaka wake Robin Givens mamilioni ya dola ingawa ndoa yao ilidumu muda mfupi na Robin aliolewa wakati Tyson tayari ana mapesa. Mambo kama haya ndio yanayowafanya matajiri wengi kuingia katika makubaliano ya prenup kabla ya ndoa ambamo stahili za kila mmoja ikitokea divorce zinawekwa wazi.

Hapa Hakimu inaonekana ameyumbishwa na hizo simulizi za kutoka nje ya ndoa, uchawi, jaribio la kumuua n.k. Haikupaswa kuwa hivyo. Alipaswa kuhakikisha kuwa mke anapata mgao wake kwa sababu tu wamekaa katika ndoa kwa miaka 28. Kwenye hili hakutenda haki.

Amandla....
Wanaomtetea Mosha wanajidanganya sana ...Baada ya ndoa mali akichumq hata kama mke angekuwa mama wa nyumbani mali zinamuhusu
 
Mtu yeyote anayetumia maneno "nitty gritty" katika hukumu anatia wasiwasi. Na kwani huyo mama alikuwa anajiita Davis Mosha mpaka Hakimu aone kuna umuhimu wa kumzuia kulitumia?

Amandla...
Dah!

Unajua nilidhani ni mimi tu niliyesoma hiyo hukumu na kuona dosari flani flani katika lugha iliyotumiwa lakini nikaamua kupita kimya kimya tu maana sikudhani kungekuwepo na watu ambao wangenielewa.

Wewe kuliona hilo kumenipa faraja kiasi flani.

Mwandishi wa hiyo hukumu, sijui kama ni hakimu au jaji, uandishi wake unaleta maswali!

Nilipoisoma hiyo hukumu nikavaa kofia yangu ya ualimu wa legal writing [mimi siyo mwalimu, ni mbeba maboksi tu] nikajisemea ingekuwa ni darasani, huyo hakimu ningempa D au C-.

Uandishi gani huo!!!
 
Huyu Jaji Msafiri ni mla rushwa mkubwa, Ukiwa na kesi anakwambia kesi yako namaliza miezi mitatu nipe milioni 6. Yaaani nimesoma tu nikasema hapa kuna shida sana. Msafiri hafai
Sasa hafai kwa lipi Yaani Jaji ulitaka apendelee kisa Ni maanamke, wanawake tunajidhalilisha Sana, Yaani Nancy alikiri kukimbia Nyumba yake mwenyewe, na Meseji za kutaka kuua zipo, Lakini Ushahidi wa wizi wa mabilioni upo na ndo Maana Nancy yeye kwa maandishi yake Instagram na Akaunti yake real na fake alikiri kuwa Mfanyabiashara Huyo Kwenye kampuni ana Madeni mengi, alibeza kampuni aliyokuwa anajua Siri zoote na ndo Maana mwanzoni alikubali Talaka na akaachana na kesi kwa Sababu alisema Kuna Madeni.
Leo Wewe unayetumia jina letu pendwa unasema HAKIMU mla rushwa Kweli, Wewe ndiye hakimu unaongozwa kwa Ushahidi na Ushahidi wa wizi, umalaya, uchawi, ushirikina, nk vyoote vilipelekwa mbele ya hakimu na hukumu ikatoka Sasa Rushwa hapo Ni nini? Au Nancy hajakupanga?

Au zile Bilion alizoiba bado zipo, alimjengea Nyumba Mpenzi wake Mtabibu Mitimingi, na uliishuhidia ilizinduliwa, ili waue Ushahidi haraka haraka alizindua Kiongozi Mkubwa wa jeshi la Polisi na Mtabibu akaoa haraka haraka, Lakini Ndugu Kafara za Afrikana Kwenye petrol Station ya Mfanyabiashara Huyo ukuziona Tembelea Akaunti ya @NigelBaby Instagram utaelewa mengi Mpaka sauti za Mipango ya kuua, wizi, na Ujinga.
 
Luckily huyu Mwanamke hajamuua tajiri yangu wa zamani Davis kwa sumu au kwa umafia.

Nje ya mada: Kwa wale tuliopata kufanya kazi na Davis kama bosi wetu, Davis ni mtu wa kipekee sana.
Sio ajabu yule jamaa ni Bilionea.
Davis ni mtu mpaka akufukuze kazi anakuwa amekuvumilia sana na amekuonya sana.
Davis hawezi kumfokea mfanyakazi wake hadharani hata kama amekosea kwa kiasi gani.

Davis anapenda watu. Davis akifika ofisini atamsalimia kila mtu kwa kumpa mkono hata mkata majani.

Davis huwezi mwambia shida ukiwa kama mfanyakazi wake (Sijui kwa watu wengine) asikusaidie kama lipo ndani ya uwezo wake.
Ni mtu mwenye hekma, busara na maarifa. He's truly blessed.

Sio ajabu aliweza mvumilia mwanamke wake akiwa "Mwizi" na "Mzinzi".

One of a kind billionaire.

Nakazia: Nipo nje ya mada.
Na ungana na wewe kabisa kabisa umesema kweli..Davis Mtu sana
 
Sasa hafai kwa lipi Yaani Jaji ulitaka apendelee kisa Ni maanamke, wanawake tunajidhalilisha Sana, Yaani Nancy alikiri kukimbia Nyumba yake mwenyewe, na Meseji za kutaka kuua zipo, Lakini Ushahidi wa wizi wa mabilioni upo na ndo Maana Nancy yeye kwa maandishi yake Instagram na Akaunti yake real na fake alikiri kuwa Mfanyabiashara Huyo Kwenye kampuni ana Madeni mengi, alibeza kampuni aliyokuwa anajua Siri zoote na ndo Maana mwanzoni alikubali Talaka na akaachana na kesi kwa Sababu alisema Kuna Madeni.
Leo Wewe unayetumia jina letu pendwa unasema HAKIMU mla rushwa Kweli, Wewe ndiye hakimu unaongozwa kwa Ushahidi na Ushahidi wa wizi, umalaya, uchawi, ushirikina, nk vyoote vilipelekwa mbele ya hakimu na hukumu ikatoka Sasa Rushwa hapo Ni nini? Au Nancy hajakupanga?

Au zile Bilion alizoiba bado zipo, alimjengea Nyumba Mpenzi wake Mtabibu Mitimingi, na uliishuhidia ilizinduliwa, ili waue Ushahidi haraka haraka alizindua Kiongozi Mkubwa wa jeshi la Polisi na Mtabibu akaoa haraka haraka, Lakini Ndugu Kafara za Afrikana Kwenye petrol Station ya Mfanyabiashara Huyo ukuziona Tembelea Akaunti ya @NigelBaby Instagram utaelewa mengi Mpaka sauti za Mipango ya kuua, wizi, na Ujinga.
Huyu @NigelBaby ni nani naona anatomboka kweli kweli
 
Huyu Jaji Msafiri ni mla rushwa mkubwa, Ukiwa na kesi anakwambia kesi yako namaliza miezi mitatu nipe milioni 6. Yaaani nimesoma tu nikasema hapa kuna shida sana. Msafiri hafai
Ni tu Huyo Nancy na washirika wake ambao Ni mashoga kina Husein, Wamemtukana huyo Mfanyabiashara matusi yote mnayoyajua, waliunda Akaunti real na fake kumtukana Lakini jamani kanyamaza.

Nancy na wahirika wake Walitukana yoote Mara ndugu zake Huyo Mfanyabiashara hasa Dada yake eti kafa na ukimwi Yaani Nancy alitukana kila Kona aliyesema alikuwa wifi take Kipenzi, Mara Nancy hakuishia hapi kasema ohhh Huyo Mfanyabiashara Kaua kaka yake ili apate Mali Tena akaiita Ni Mali za kafara Makampuni ya kafara.

Nancy akatangazia Dunia kuwa Mfanyabiashara huyo Alikuwa jambazi, kutwa nzima Instagram zaidi ya Mwaka anatukana anatukana Sasa alipoona Instagram wamedharau, yoote aitoshi Nancy kakimbilia jamii forum, Baba wa watu kanyamaza kimya, Hakuna siku ameongea machafu Kuhusu Nancy, lakini sisi chawa wake Huyo Mfanyabiashara Kipenzi Cha watu, Msaada wa yatima na wajane tunamjibu Nancy na tutaendelea kumjibu Nancy elewa hakuna huruma kwenye mtandao.

Nancy atachafuka kuliko anavyojiona, Mwanamke Ana majina 7 Kila sehemu, Mara Habiba, Nasra, Nancy, Hakuna mwanamke mwenye akili timamu aingie kwenye mtandao leo anaenda kudhalilisha mpka watoto wake, Mjiulize kwanini huyu Nancy yeye anataka Mali tu Hana Muda Hata na watoto wake, yeye Ni maliiiii aendelee kula bata na vibenten vyake, Swali hivi akipewa ataenda Wapi, anataka Mali ampe Nani?
 
Mfanyabiashara Davis Mosha ameacha na mke wake wa ndoa aliyeishi naye kwa miaka 28 amekwenda kufoji nyaraka za kampuni hukumu imetolewa mke hajapewa urithi hata pini.

Masikini ya Mungu Huyu Mkewe ndiye alikuwa muhasibu wa kampuni zote za huyu mfanyabiashara kwa miaka 20.

Majaji wetu hukumu kama hizi ni za ukandamizaji, mawakili tunaomba msaidie kama hii hukumu ni halali na mahakama zetu zinatoa haki nimeona uonevu mtupu humu Pesa imenunua haki.

Je hii ni sawa?

==========
MAAMUZI YA MAHAKAMA
  • Ndoa kati mlalamikaji na mlalamikiwa imevunjwa na talaka imetoka.
  • Hakuna mali zilizopatikana kwa pamoja kwenye ndoa.
  • Uangalizi wa mtoto Daniela Davis Mosha unakuwa chini ya mlalamikaji(Baba)
  • Mdaiwa anapewa ruhusa ya kuwa na mtoto kipindi cha likizo na siku yenye nafasi kwa mtoto
  • Mdaiwa amekatazwa kutumia jina la mlalamikaji Davis Mosha na amerejeshewa majina yake ya awali
  • Kila mmoja atabeba gharama za kesi

View attachment 2912748View attachment 2912749View attachment 2912750View attachment 2912751View attachment 2912752View attachment 2912753View attachment 2912754View attachment 2912755View attachment 2912756View attachment 2912757View attachment 2912758View attachment 2912759View attachment 2912760View attachment 2912761View attachment 2912762View attachment 2912763View attachment 2912764View attachment 2912765View attachment 2912766View attachment 2912767View attachment 2912768
Hapo Sasa linamjia WAZO la kumroga
 
Yupo na Othuman ndiyo anamfundisha mwanamke usumbufu wote
Huyo Nancy ni tapeli kwanza hajawahi kuwa muhasibu miaka 20, Mfanyabiashara huyo alimpa biashara yake ubungo ya beurauDechange, Nancy Akapata mwanaume mkongo wakafilisi duka loote mnakumbuka jamani au mmesahau, Akapelekwa headquarter ndiyo akawa anaiba kwa kwenda mbele na wafanyakazi wanajua akatolewa toka 2017.
Akapewa maduka ya delina Supermarket yaliyokuwa kwenye vituo vya Mafuta, Akawa halipi kodi, PUMA wakamfukuza na mpaka leo anadaiwa Milioni 70 ya kodi, Mtaji wote kachukua Mitimingi ambaye ni Mpenzi wake ni mganga amekuwa naye zaidi ya miaka 5 na staff wote wanajua sio siri na hata mama yake Nancy anajua ndugu zake Nancy wanajua.

Na Ndio mipango ya kuua ikaanza na mtoto wao mkubwa anajua mipango ilivyokuwa Hao Mama yake Nancy, Mitimingi walimuonyesha Mtoto mkubwa kuwa baba yake Ana mtoto nje Mali zitachukuliwa, walivyo matahira wakamwambia Mtoto wa kwanza wa kiume Ni bora baba yako afe tubaki na Mali, wafanyakazi wanajua Sana Kila kitu, Mtoto wa kiume aliwadharau Kuanzia Siku Hiyo.

Hata jinsi aliiba na kuagiza pombe south Africa na alikuwa amemtumia dereva anaitwa Nico na pombe hiyo alikuja kuzulumiwa na ATU wa tegeta, alikuwa akipeleka Kwenye magodown walipokuwa wakishare Bwana, Huyo Nancy ni mbwa, Hatujui kama amemuacha Mangi salama alikuwa mchafu kuliko.
 
Back
Top Bottom