DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wanawake wa sikuhizi ni wauwaji na wamekuwa chanzo cha vifo kwa wanaume.Hapo kilichofanyika ni sahihi,wanawake wa kaskazini ni kaa la moto mda wowote anaweza kukumaliza ili arithi mali.Iwe fundisho na wanaume tuweni makini sana na hawa viumbe kwani mstari unaotenganisha upendo na chuki kwenye ndoa ni mdogo sana wengi wanaishi kinafaki.

Acha kutokwa maneno wewe kaoe kwenu tu…huyo nancy ni mzaramo sio wa kaskazini komaaa
 
Kama fala. So umezaa na nani? Na hakuna mwanamke mwenye akili anaekubali kuzaa na janaume ambalo halijamuoa. So wewe, uliezaa nae na hao wanao wote mapunguani. Kuzalisha kizazi cha bastards
Hahahah, kwahiyo bila kusaini mikataba ya ndoa watu hawazai? Sasa mtu anatunzwa, anapewa nyumba , gari, malezi mazuri ya watoto wake, asizae mchezo? 🤣🤣😂😂😂,
Mbona wewe ndio unakuwa kama punguani ndugu?
 
Mfanyabiashara Davis Mosha ameacha na mke wake wa ndoa aliyeishi naye kwa miaka 28 amekwenda kufoji nyaraka za kampuni hukumu imetolewa mke hajapewa urithi hata pini.

Masikini ya Mungu Huyu Mkewe ndiye alikuwa muhasibu wa kampuni zote za huyu mfanyabiashara kwa miaka 20.

Majaji wetu hukumu kama hizi ni za ukandamizaji, mawakili tunaomba msaidie kama hii hukumu ni halali na mahakama zetu zinatoa haki nimeona uonevu mtupu humu Pesa imenunua haki.

Je hii ni sawa?

==========
MAAMUZI YA MAHAKAMA
  • Ndoa kati mlalamikaji na mlalamikiwa imevunjwa na talaka imetoka.
  • Hakuna mali zilizopatikana kwa pamoja kwenye ndoa.
  • Uangalizi wa mtoto Daniela Davis Mosha unakuwa chini ya mlalamikaji(Baba)
  • Mdaiwa anapewa ruhusa ya kuwa na mtoto kipindi cha likizo na siku yenye nafasi kwa mtoto
  • Mdaiwa amekatazwa kutumia jina la mlalamikaji Davis Mosha na amerejeshewa majina yake ya awali
  • Kila mmoja atabeba gharama za kesi

View attachment 2912748View attachment 2912749View attachment 2912750View attachment 2912751View attachment 2912752View attachment 2912753View attachment 2912754View attachment 2912755View attachment 2912756View attachment 2912757View attachment 2912758View attachment 2912759View attachment 2912760View attachment 2912761View attachment 2912762View attachment 2912763View attachment 2912764View attachment 2912765View attachment 2912766View attachment 2912767View attachment 2912768
Mtu yeyote anayetumia maneno "nitty gritty" katika hukumu anatia wasiwasi. Na kwani huyo mama alikuwa anajiita Davis Mosha mpaka Hakimu aone kuna umuhimu wa kumzuia kulitumia?

Amandla...
 
Hapo Hakimyu ameshapewa moja ya matrimonial property.... :D
 
Mtu yeyote anayetumia maneno "nitty gritty" katika hukumu anatia wasiwasi. Na kwani huyo mama alikuwa anajiita Davis Mosha mpaka Hakimu aone kuna umuhimu wa kumzuia kulitumia?

Amandla...
Akili zako hazikutoshi, mbunge wa Segerea alikuwa anaitwa Bona Karua, sasa hivi anaitwa Bona Kamoli, unajuwa Kwa nini?

Kule BBC kuna Regina Mwalekwa lakini siku hizi anaitwa mzuwanda
 
Luckily huyu Mwanamke hajamuua tajiri yangu wa zamani Davis kwa sumu au kwa umafia.

Nje ya mada: Kwa wale tuliopata kufanya kazi na Davis kama bosi wetu, Davis ni mtu wa kipekee sana.
Sio ajabu yule jamaa ni Bilionea.
Davis ni mtu mpaka akufukuze kazi anakuwa amekuvumilia sana na amekuonya sana.
Davis hawezi kumfokea mfanyakazi wake hadharani hata kama amekosea kwa kiasi gani.

Davis anapenda watu. Davis akifika ofisini atamsalimia kila mtu kwa kumpa mkono hata mkata majani.

Davis huwezi mwambia shida ukiwa kama mfanyakazi wake (Sijui kwa watu wengine) asikusaidie kama lipo ndani ya uwezo wake.
Ni mtu mwenye hekma, busara na maarifa. He's truly blessed.

Sio ajabu aliweza mvumilia mwanamke wake akiwa "Mwizi" na "Mzinzi".

One of a kind billionaire.

Nakazia: Nipo nje ya mada.
 
Akili zako hazikutoshi, mbunge wa Segerea alikuwa anaitwa Bona Karua, sasa hivi anaitwa Bona Kamoli, unajuwa Kwa nini?

Kule BBC kuna Regina Mwalekwa lakini siku hizi anaitwa mzuwanda
Kwa kawaida sijibu mtu anayeanza kwa matusi. Swali langu lilikuwa ni je huyu dada alikuwa anaitwa Davis Mosha au Mrs someone Mosha? Na uamuzi wa kuacha kutumia jina la ndoa ni wa mwenye ndoa na sio mahakama kuamua. Ni kama vile mwanamke halazimiki kuchukua ubini wa mume wake anapoolewa. Wengi tu wako kwenye ndoa lakini hawabadilishi jina lao la kuzaliwa. Na hata ingekuwa hivyo ( ambapo sio) Hakimu angemzuia kutumia ubini wa Mosha na sio jina la Davis Mosha. Hizo Ph.D zenu fake zitawapa shida sana.

Amandla...
 
LEO NANCY ANATAFUTA HUTUMA HUMU AKIJUA ATAPATA UTETEZI LAKINI NIMWAMBIE, HII THREAD IENDELEE ILI TULETE USHAHIDI, YEYE AMEAMUA KUWEKA HUMU

Nawatafuta Sana Watu wa kilakala Mliosoma na Nancy/Habiba mpo wapiij njooni humu, Habiba/Nancy wa bwenini na uchawi, Alipata mganga tupeni link ya kilakala ilikuwaje, Leteni Ushahidi hapa msiogope.

Nancy/Habiba Labda wengi niwaambieni jina lake Nancy Ni Habiba, Hilo la Nancy alibadili aingie Kwenye mfumo wa mtu mwenye Mali akabadili jina lake, Lakini binti huo Habiba/Nancy Kuna watu Alisoma nao wanaomjua in and out nashangaa wako kimyaa njooni mumuelezee huyu Habiba Tabia zake za uchawi, Na Hata Kwenye Biashara alizozikuta alijiunga na mpenzi wake mpya kwa siri Huyo Mtabibu Mitimingi, na alivyonogewa kumuibia Pesa za kampuni na kunogewa penzi la Huyo Mtabibu na kunogewa zaidi Tabia za kichawi za Mpenzi wake Huyo, aliiba aliiba mabilioni kwa mabilioni na wakafanikiwa kujenga Nyumba kwa siri Kwenye kiwanja Cha Mtabibu Mitimingi, Gorofa ambao wengi mtakumbuka mwishoni mwa mwaka 2023 Mtabibu Huyo alilizindua.

Na mbaya zaidi Wakati Nancy/Habiba akihangaika kuua na Meseji zake kushikwa na kukimbia Nyumbani kwake kwa Aibu, akajua Sasa wanajumba la kifahari na akasema amenunua Apartment Masaki hababaishwi, Sasa ameshikwa masikio kufufua Kesi aliyojitoa na kukubari Talaka Sasa kilichotokea hatujui.

Jumba Hilo la Mtabibu naliattach hapa ili watu wa Kilakala Sekondari wake hapa.
 
Attachments

  • IMG_20240224_003113_225.jpg
    IMG_20240224_003113_225.jpg
    108.1 KB · Views: 10
NANCY ANATAFUTA HURUMA AISEEEEE!!HATA HAOGOPI???

Nancy amekimbia Nyumba yake mwenyewe Kumbe adai Mali, Basi sheria inawafever Wanawake, Yaani mtu atake kutoa roho ya mtu, Meseji ishikwe akimbie, Huyo mtu akataka kupoteza Ushahidi wa wizi wa mabilioni, kwa kumshauri Mpenzi wake Mtabibu aoe haraka, Huku Nancy akijua alifikia kipindi amekabidhi Biashara za familia yake kwa Mpenzi wake Tena akampa mamlaka makubwa ya kuamua matumizi hovyo, Wakati Huo sijui na uchawi ulitumika Kwani Mfanyabiashara Mwenye kampuni aliyekuwa mme wake alikuwa Hajui, Chochote anajua mambo yanaenda Sawa aiseeee aiseee Leo Leo Nancy Kweli unataka Mali, Kweli sheria ndo zilivyo aiseee.

Lakini jamani Nancy huyu alikuwa anatembea Mpaka na wafanyakazi wake, alikuwa anatembea na kuhonga vibenten, Nancy huyu Fundi nguo Millennium na kumpa mtaji, Nancy vijana wadogo Nani alimuacha salama, yeye fimbo yake ilikuwa Ni pesa, Nancy alikuwa na Pesa Chochote alitaka alifanya iwe vijana, mahendsome wake nk.

Matajiri, wanawaza Maisha gani haya unapambama familia yako ifurahi, MTU anajenga Heshima yake nchini, mwanamke kutwa wanaumme, Aibu sana Dada huyu.
 
Mfanyabiashara Davis Mosha ameacha na mke wake wa ndoa aliyeishi naye kwa miaka 28 amekwenda kufoji nyaraka za kampuni hukumu imetolewa mke hajapewa urithi hata pini.

Masikini ya Mungu Huyu Mkewe ndiye alikuwa muhasibu wa kampuni zote za huyu mfanyabiashara kwa miaka 20.

Majaji wetu hukumu kama hizi ni za ukandamizaji, mawakili tunaomba msaidie kama hii hukumu ni halali na mahakama zetu zinatoa haki nimeona uonevu mtupu humu Pesa imenunua haki.

Je hii ni sawa?

==========
MAAMUZI YA MAHAKAMA
  • Ndoa kati mlalamikaji na mlalamikiwa imevunjwa na talaka imetoka.
  • Hakuna mali zilizopatikana kwa pamoja kwenye ndoa.
  • Uangalizi wa mtoto Daniela Davis Mosha unakuwa chini ya mlalamikaji(Baba)
  • Mdaiwa anapewa ruhusa ya kuwa na mtoto kipindi cha likizo na siku yenye nafasi kwa mtoto
  • Mdaiwa amekatazwa kutumia jina la mlalamikaji Davis Mosha na amerejeshewa majina yake ya awali
  • Kila mmoja atabeba gharama za kesi

View attachment 2912748View attachment 2912749View attachment 2912750View attachment 2912751View attachment 2912752View attachment 2912753View attachment 2912754View attachment 2912755View attachment 2912756View attachment 2912757View attachment 2912758View attachment 2912759View attachment 2912760View attachment 2912761View attachment 2912762View attachment 2912763View attachment 2912764View attachment 2912765View attachment 2912766View attachment 2912767View attachment 2912768
Huyu Jaji Msafiri ni mla rushwa mkubwa, Ukiwa na kesi anakwambia kesi yako namaliza miezi mitatu nipe milioni 6. Yaaani nimesoma tu nikasema hapa kuna shida sana. Msafiri hafai
 
Hapa JF mchagga hakosei Mkuu tegemea post zooote kumtetea Mosha! Over
[/Q
Hapa JF mchagga hakosei Mkuu tegemea post zooote kumtetea Mosha! Over
Nakubaliana na wewe kabisa. Hawa ndugu zangu kana kwamba huwa wana kiapo cha kusimama pamoja inapotokea Mchaga Mwenzao kuharibu , kuwajibishwa au kushindanishwa.
Nakumbuka Kesi ya Mramba walivyosimama naye , nakumbuka Kesi ya mirathi ya Mengi walivyokuwa wanamzonga Jacklin, nakumbuka walivyosimama na Mbowe kwenye kesi kuliko hata aliposhambuliwa Lisu. Imagine jinsi wanavyosimama na Davis Mosha pasipo hata kukumbushia tuhuma zake zilizomkimbiza nchini.

Hata huku makazini kwetu mchaga akiharibu hutasikia wachaga wenzake wakimzonga na wapo radhi watengeneze mazingira ya kumuepusha. Ila inapotokea tuhuma kwa mtu ambaye sio Mchaga unaambiwa ofisini hakutakalika kwa MAJUNGU na kushinikiza mtu awajibishwe.

Naambiwa mchaga akiiba na akafanikiwa kuingia kijijini kwao mjue imetoka hiyo.WATAMFICHA.

JAPO KWA UPANDE MWINGINE WA SHILINGI HUO NDIO UZALENDO WENYEWE.

MAKABILA MENGINE TUIGE HII SPIRIT YA WENZETU . TUSIWE WATU WA KUFITINIANA WENYEWE , KUMKOMALIA MWENZAKO TUUU NA KUMLENGESHA.

MANGI WOTE BIG UP SANA. SIMAMA NA NDUGUYO DAIMA
 
Ninavyojua mimi ni kuwa chochote kinacho chumwa ndani ya ndoa ni cha wanandoa pasu kwa pasu. Siwezi kuamini kuwa katika miaka 28 ya ndoa hamna kilichoingizwa au kununuliwa. Kama kuna kampuni imeanzishwa basi mke anakuwa na mgao wake. Tabia za huyo mwanamke katika ndoa hiyo hazina uhusiano wowote na haki yake.

Mike Tyson alitakiwa kumlipa mtalaka wake Robin Givens mamilioni ya dola ingawa ndoa yao ilidumu muda mfupi na Robin aliolewa wakati Tyson tayari ana mapesa. Mambo kama haya ndio yanayowafanya matajiri wengi kuingia katika makubaliano ya prenup kabla ya ndoa ambamo stahili za kila mmoja ikitokea divorce zinawekwa wazi.

Hapa Hakimu inaonekana ameyumbishwa na hizo simulizi za kutoka nje ya ndoa, uchawi, jaribio la kumuua n.k. Haikupaswa kuwa hivyo. Alipaswa kuhakikisha kuwa mke anapata mgao wake kwa sababu tu wamekaa katika ndoa kwa miaka 28. Kwenye hili hakutenda haki.

Amandla....
 
Hivi hizi grounds mnatokaga nazo wapi sijui jina la mama sijui la baba sijui watu wengine.
Mali za mtu mahakamani ndioz hutajwa. Hmna chizi anafungua kesi kudai mali zisizomuhusu, wala mahakamani hakuna kesi inayohusu mali zisizokua zimeorodheshwa kwa majina ya pande zote mbili.
Ukifika mahakamani mali zinatajwa zile zinazohusu tu. Hivo ukiona mtu kashinda au hajagawa mali ww unazozifahamu basi ujue hizo mali hazihusishi zote unazojua. Pili, huyo mwana mama. Inawezekana kuna makosa yamemkosesha mali, inawezekana, hakuwepo wakati wa kuchuma mali on subject, inawezekana davis ana grounds zakutoweza kugawa mali zake. Na grounds hizo zipo hapo.hana mali yoyote kwa jina lake. Maali nyingi ni za kampuni, ni ngamia tu wapo chini yake tena kama private property, mali nyingi alizichuma kabla ya ndoa, na mwanamama huyo kabeba kitita cha kutosha zaidi ya usd milioni 750, Pia aliwekeza mali kivyake mwanamama huyo na davis hakuwa na haja ya kuzifatilia.
Dada kayakanyaga kukubali Kuhusu mitomingi, yaani grounds zote davis hatakiwi kumpa mali huyo dada. Sasa muache oooh kaandika majina mama. Hamna mali ya mama yako itakuja mahakamni kama kielezo ni mali yako.
Yupo na Othuman ndiyo anamfundisha mwanamke usumbufu wote
 
Back
Top Bottom