Mahakama yaamuru Kafulila akamatwe mara moja

Mahakama yaamuru Kafulila akamatwe mara moja

kesi uchwara kama hizi ndizo zinazidi kushusha credibility ya CCM mbele ya jamii ya watanzania.
 
Ccm wanaendelea kutapatapa na hawataambulia hata wabunge 50 safari hii
 
Hiyo habari nimeisoma on line,anashitakiwa kwa kosa la kumuita mkuu wa wilaya khadija nyembo kuwa hana maadili,pia hakufika mahakamani kwani wakili hakumjulisha.
Mleta mada ungeweka habari yote si kutunga uongo,make hata jaji welema hakuna alipoandikwa wala ishu ya escrow hakuna ilipoandikwa kwenye hiyo habari.

Nikweli mkuu sijui ni kwanini mleta mada alikusudia nini hapo
 
nilidhani bungeni kuna parliamentary immunity!!!!au alisemea nje ya bunge?naona ccm wanataka kupunguza majimbo ya ubunge ya wapinzani kidikteta!!!!
lissu simamia kesi hii.

Ccm hawachomoki hapo
 
Nimeshuhudia ulaya mtu ukionwa unamuita mwenzako nyani/tumbili/sokwe ata kama hujatamka lakini ukionyesha viashiria tu ata kumdondoshea ganda la ndizi tu ni kesi kubwa tena kama ukiwa kiongozi unapigwa chini madaraka yote uliyonayo. Sijajua huku kwetu kama na yenyewe ni kosa la ubaguzi au imekaaje

Hata hilo li werema lishitakiwe kwa kumdhalilisha kafulila
 
Nikweli mkuu sijui ni kwanini mleta mada alikusudia nini hapo

hii kesi ni kiinimacho tu. kila mtu mwenye uelewa yakinifu anafahamu fika kuwa hizi ni hasira za ESCROW. kuna kesi gani hapo zaidi ya hasira za kuumbuliwa kwenye ufisadi? kesi tangu 2013 inakuja kuibuliwa leo kwa malengo yapi hasa?
 
Hao washaishiwa mbinu. Unaambiwa Jana Dodoma kwenye kikao cha Kamati kuu JK kachanganyikiwa maana akiangalia wajumbe karibu nusu ni pro Lowasa. Sasa halo mtapanga nini cha siri kisifike kwa walengwa? Kuwafukuza nako hawezi

Niliona hadi sura ilikuwa inajionyesha kabisa kuwa hana amani moyoni
 
Hao washaishiwa mbinu. Unaambiwa Jana Dodoma kwenye kikao cha Kamati kuu JK kachanganyikiwa maana akiangalia wajumbe karibu nusu ni pro Lowasa. Sasa halo mtapanga nini cha siri kisifike kwa walengwa? Kuwafukuza nako hawezi

Hakuna kitu kibaya kama kumsaliti rafiki yako kwa kuwa yeye anakujua vizuri ushujaa wako na udhaifu walo na namna ya kukabiliana nao.
 
hii kesi ni kiinimacho tu. kila mtu mwenye uelewa yakinifu anafahamu fika kuwa hizi ni hasira za ESCROW. kuna kesi gani hapo zaidi ya hasira za kuumbuliwa kwenye ufisadi? kesi tangu 2013 inakuja kuibuliwa leo kwa malengo yapi hasa?

Mimi nafurahi sana maana hata wale waliogawana fedha kwenye mifuko ya sandarusi watafahamika maana mtu akishakufikisha mahakamani kila kilicho chini ya uvungu kinawekwa ukumbini
 
tpaul

Hiyo itakuwa kesi nzuri zaidi hasa pale magwiji wa sheria wa UKAWA watakapoanza kuyaomba mafaili ya Mgawo wa fedha za Stanbic....'safari moja huanzisha nyingine'...waache wajilete!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom