Mahakama yaamuru Kafulila akamatwe mara moja

Mahakama yaamuru Kafulila akamatwe mara moja

Kabila la nin tena ndugu yangu sindicate ningefurahi kama maisha ya kila mtanzania yangekua kama yangu ila katika utawala wa ccm haiwezekani kabisa

mkuu, kwa utawala huu wa CCM hatutakaa tupate maendeleo milele. dawa ni kuwaondoa hawa panya kweye kihenge kabla hawajatafuna nafaka yote.
View attachment 275972
 
Hapana yeye ni ccm msafi wengine tumbili wakamatwe. Haya bwana unaandika lakini
 
Kina mama wakiwa na madaraka hawapendi sana kukosolewa...
 
Back
Top Bottom