nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,449
- 2,305
Wanamuongezea umaarufu Dr Kafulila maana nimaajabu kweli kweli. Kafulila tuko nyuma yako sauti ya umma ni sauti ya Mungu.
Hahahahaaaaaaa mkuu unaua,huyu mimi tumbili wewe mwizi,ngoma droo,mbona mzee ana panic?
Kufikishwa mahakamani ndio kuleta maafa, mbona kila siku watu wanafikishwa mahakamani na maafa hatuyaoni?
TUMBILI ni jina zuri, jina la MWIZI ndio linauma zaidi. umeona eeh? hawa maCCM wataweweseka sana mwaka huu.
CC: MwanaDiwani, laki si pesa. FaizaFoxy, TataMadiba, thatha, Mingoi, Ritz, Lizaboni, Simiyu Yetu, Emma. Elli, BAK, mjepo, Agogwe, mmaranguoriginal, et al.
"I will chop your head" by Judge Werema.
yeah! kati ya kafulira na kikwete ni nani anastahili udokta? bora kafulira kuliko jk.
Mambo ya ngoswe hayo
Kuna wakati Mahakama zinakuwaje sijui
sasa hii si wanaingilia mamlaka ya bunge
na walikuwa wapi muda wote huo hadi
tushaanza kusahau hiyo escrow