MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Akili.mlemavu wa nini?
mwenyewe msukule unasema eti simba imefika pale ilipo kwa sababu yakeYaani team ipate mafanikio uwanjani kwa sababu ya msemaji wa team?
Haya ni maajabu aisee.
Yaani huko CAF wamejaa Simba watupu kama TFF tu,alisikika msukule wa GSM ukibwabwaja huko baharininilichogundua Caf wanapenda kuwaona uto wakilia lia
Simb na Caf lao ni moja siku hizi
Juzi anakoroma tu kule Port Harcourt akitaka Yanga isiingize timu uwanjani hadi Hersi akamsukumizia nje, yeya alitaka Yanga isiingize timu uwanjani ili wapate adhabu kali toka CAF ili dhamira iliyofichika ndani yake ipate furaha akachekee chooni wakati anakata gogo kama kawaida yake.Anacho fanya Manara ni kutaka kuwaonyesha Yanga kwamba anafanya kazi, kwamba hayupo pale bure bure. Kwa hiyo ndio maana kila wakati anatoa hiki, kabla hakijaisha au hakijafanikiwa analeta hiki, na kadhalika.
Povu hilo,huu mchezo hauhitaji hasiraWewe shida yako nini, unawashwa washwa na yasiyokuusu, kama akuna kesi si ufunge ilo bakuli, mwenye kesi ni morrison na yanga nyie makoro mbona mnademkademka Sana...
Kama jibu lingekuwa yanga hamna kitu cas wasingechelewa kutoa majibu,ukweli ni kwamba hukumu hiyo ina athari kubwa kwa ligi ya tanzania ndio maana,wanatafuta njia ya kupunguza makali ya hiyo hukumuKwanza alikuja na Slogan ya The Return of Champions akimaanisha kuwa Yanga SC imerudi na kweli tumeona imerudi Kweli kusubiria kucheza Ligi ya Mchangani ( Ligi Kuu )
Pili Klabu ya Yanga SC ilipokuwa ikienda nchini Nigeria kucheza mchezo wake wa Marudiano na Rivers United FC Haji Manara alituaminisha kuwa Yanga SC inaenda Kupindua Meza na Kusonga mbele na imekuwa tofauti kwa Kufurumushwa tena mapema tu CAF CL.
Tatu Msemaji huyu Mpuuzi wa Yanga SC baada ya kuona kila alifanyalo ni Nuksi tupu na halifanikiwi huko aliko na baada ya Kipigo akawa anakwepa Kuongea na Vyombo vya Habari leo kaja na Mkurupuko mwingine akidhani kuwa itaweza kumfanya aaminike na akubalike zaidi na wana Yanga SC.
Leo asubuhi katika Kurasa zake za Mitandao ya Kijamii Msemaji huyu Mpuuzi wa Yanga SC Haji Manara kwa Majigambo kabisa na Sifa nyingi za Kijinga aliwataka wana Yanga SC wote Kukaa tayari kwa Maamuzi ( anayodhani yataibeba Yanga SC yake ) ya CAS kuhusiana na Sakata la Mchezaji Bernard Morrison na Klabu ya Yanga SC.
Muda si mrefu Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo duniani ( CAS ) imekuja na taarifa ( ambayo pia imeumbua ) Kiherehere cha Msemaji wa Yanga SC Mpuuzi Haji Manara kwa kusema kuwa imebadilisha tarehe ya Hukumu kutoka leo mpaka tarehe 26 Oktoba, 2021 hivyo Haji Manara aendelee na Mambo mengine kwani CAS haiendeshwi na Uswahili Uswahili alionao na aliouzoea.
Aden Rage aliwaambia katika Kesi hii Yanga SC hamna chenu, msipoteze Pesa na hata Shabiki wenu mkubwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete nae aliwataka Kuachana nayo bado mkawapuuza sasa nadhani kwa Kalenda ( Dana Dana ) hizi za CAS mtajua kuwa hamna Chenu, mnapoteza muda na huenda hata huko CAS mnadharaulika mno kwa Ujuha wenu uliowakomaa.
Unagubu na kiherehere kama mwanamke wa kizaramo bilashaka ndiweKwanza alikuja na Slogan ya The Return of Champions akimaanisha kuwa Yanga SC imerudi na kweli tumeona imerudi Kweli kusubiria kucheza Ligi ya Mchangani (Ligi Kuu)
Pili Klabu ya Yanga SC ilipokuwa ikienda nchini Nigeria kucheza mchezo wake wa Marudiano na Rivers United FC Haji Manara alituaminisha kuwa Yanga SC inaenda Kupindua Meza na Kusonga mbele na imekuwa tofauti kwa Kufurumushwa tena mapema tu CAF CL.
Tatu Msemaji huyu Mpuuzi wa Yanga SC baada ya kuona kila alifanyalo ni Nuksi tupu na halifanikiwi huko aliko na baada ya Kipigo akawa anakwepa Kuongea na Vyombo vya Habari leo kaja na Mkurupuko mwingine akidhani kuwa itaweza kumfanya aaminike na akubalike zaidi na wana Yanga SC.
Leo asubuhi katika Kurasa zake za Mitandao ya Kijamii Msemaji huyu Mpuuzi wa Yanga SC Haji Manara kwa Majigambo kabisa na Sifa nyingi za Kijinga aliwataka wana Yanga SC wote Kukaa tayari kwa Maamuzi ( anayodhani yataibeba Yanga SC yake ) ya CAS kuhusiana na Sakata la Mchezaji Bernard Morrison na Klabu ya Yanga SC.
Muda si mrefu Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo duniani (CAS) imekuja na taarifa ( ambayo pia imeumbua ) Kiherehere cha Msemaji wa Yanga SC Mpuuzi Haji Manara kwa kusema kuwa imebadilisha tarehe ya Hukumu kutoka leo mpaka tarehe 26 Oktoba, 2021 hivyo Haji Manara aendelee na Mambo mengine kwani CAS haiendeshwi na Uswahili Uswahili alionao na aliouzoea.
Aden Rage aliwaambia katika Kesi hii Yanga SC hamna chenu, msipoteze Pesa na hata Shabiki wenu mkubwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete nae aliwataka Kuachana nayo bado mkawapuuza sasa nadhani kwa Kalenda ( Dana Dana ) hizi za CAS mtajua kuwa hamna Chenu, mnapoteza muda na huenda hata huko CAS mnadharaulika mno kwa Ujuha wenu uliowakomaa.
Manara anawatesa sana kila kukicha hamchoki kumzungumzia Manara . Wivu unawasumbua anapata mshahara mil.9.8 kule alikuwa anapewa Posho Shilingi laki 7.Aidha amepewa gari ya kutembelea Land cruiser MpyaYaani team ipate mafanikio uwanjani kwa sababu ya msemaji wa team?
Haya ni maajabu aisee.
Manara kawashika pabaya kila kukicha mibaba mizima na mindevu yao inamzungumzia Manara mume wa mtu sijuhi tuwaeleweje nyie? Fanyeni yenu muacheni mume wa mtu.Mmeshikwa pabayaJuzi anakoroma tu kule Port Harcourt akitaka Yanga isiingize timu uwanjani hadi Hersi akamsukumizia nje, yeya alitaka Yanga isiingize timu uwanjani ili wapate adhabu kali toka CAF ili dhamira iliyofichika ndani yake ipate furaha akachekee chooni wakati anakata gogo kama kawaida yake.
Wanasubiri msimu mpya uanze ili ipotezeweKama jibu lingekuwa yanga hamna kitu cas wasingechelewa kutoa majibu,ukweli ni kwamba hukumu hiyo ina athari kubwa kwa ligi ya tanzania ndio maana,wanatafuta njia ya kupunguza makali ya hiyo hukumu
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Hilo gari na mshahara ni wake. Sio wa washabiki wala wachezaji wa Yanga. Wala halipwi na Yanga, maana zaidi ya robo tatu ya wachezaji wa Yanga hawalipwi zaidi ya 4MManara anawatesa sana kila kukicha hamchoki kumzungumzia Manara . Wivu unawasumbua anapata mshahara mil.9.8 kule alikuwa anapewa Posho Shilingi laki 7.Aidha amepewa gari ya kutembelea Land cruiser Mpya
Sawa tumekusikia mkewe Haji Manara,haya kawahi kumfulia boxer mumeo. Mpende mumeo dada mkubwa.Manara kawashika pabaya kila kukicha mibaba mizima na mindevu yao inamzungumzia Manara mume wa mtu sijuhi tuwaeleweje nyie? Fanyeni yenu muacheni mume wa mtu.Mmeshikwa pabaya
Punguza chuki,ondoa hasira,mpira siyo uadui jombaaKwanza alikuja na Slogan ya The Return of Champions akimaanisha kuwa Yanga SC imerudi na kweli tumeona imerudi Kweli kusubiria kucheza Ligi ya Mchangani (Ligi Kuu)
Pili Klabu ya Yanga SC ilipokuwa ikienda nchini Nigeria kucheza mchezo wake wa Marudiano na Rivers United FC Haji Manara alituaminisha kuwa Yanga SC inaenda Kupindua Meza na Kusonga mbele na imekuwa tofauti kwa Kufurumushwa tena mapema tu CAF CL.
Tatu Msemaji huyu Mpuuzi wa Yanga SC baada ya kuona kila alifanyalo ni Nuksi tupu na halifanikiwi huko aliko na baada ya Kipigo akawa anakwepa Kuongea na Vyombo vya Habari leo kaja na Mkurupuko mwingine akidhani kuwa itaweza kumfanya aaminike na akubalike zaidi na wana Yanga SC.
Leo asubuhi katika Kurasa zake za Mitandao ya Kijamii Msemaji huyu Mpuuzi wa Yanga SC Haji Manara kwa Majigambo kabisa na Sifa nyingi za Kijinga aliwataka wana Yanga SC wote Kukaa tayari kwa Maamuzi ( anayodhani yataibeba Yanga SC yake ) ya CAS kuhusiana na Sakata la Mchezaji Bernard Morrison na Klabu ya Yanga SC.
Muda si mrefu Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo duniani (CAS) imekuja na taarifa ( ambayo pia imeumbua ) Kiherehere cha Msemaji wa Yanga SC Mpuuzi Haji Manara kwa kusema kuwa imebadilisha tarehe ya Hukumu kutoka leo mpaka tarehe 26 Oktoba, 2021 hivyo Haji Manara aendelee na Mambo mengine kwani CAS haiendeshwi na Uswahili Uswahili alionao na aliouzoea.
Aden Rage aliwaambia katika Kesi hii Yanga SC hamna chenu, msipoteze Pesa na hata Shabiki wenu mkubwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete nae aliwataka Kuachana nayo bado mkawapuuza sasa nadhani kwa Kalenda ( Dana Dana ) hizi za CAS mtajua kuwa hamna Chenu, mnapoteza muda na huenda hata huko CAS mnadharaulika mno kwa Ujuha wenu uliowakomaa.
Kwahiyo hapa unatueleza kwamba yule tapeli mission town msomali Rage ni Jaji wa CAS?Kwanza alikuja na Slogan ya The Return of Champions akimaanisha kuwa Yanga SC imerudi na kweli tumeona imerudi Kweli kusubiria kucheza Ligi ya Mchangani (Ligi Kuu)