Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) yamuumbua Msemaji wa Yanga SC Haji Manara na Kiherehere chake na Kudemka Kwake

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,734
Kwanza alikuja na Slogan ya The Return of Champions akimaanisha kuwa Yanga SC imerudi na kweli tumeona imerudi Kweli kusubiria kucheza Ligi ya Mchangani (Ligi Kuu)

Pili Klabu ya Yanga SC ilipokuwa ikienda nchini Nigeria kucheza mchezo wake wa Marudiano na Rivers United FC Haji Manara alituaminisha kuwa Yanga SC inaenda Kupindua Meza na Kusonga mbele na imekuwa tofauti kwa Kufurumushwa tena mapema tu CAF CL.

Tatu Msemaji huyu Mpuuzi wa Yanga SC baada ya kuona kila alifanyalo ni Nuksi tupu na halifanikiwi huko aliko na baada ya Kipigo akawa anakwepa Kuongea na Vyombo vya Habari leo kaja na Mkurupuko mwingine akidhani kuwa itaweza kumfanya aaminike na akubalike zaidi na wana Yanga SC.

Leo asubuhi katika Kurasa zake za Mitandao ya Kijamii Msemaji huyu Mpuuzi wa Yanga SC Haji Manara kwa Majigambo kabisa na Sifa nyingi za Kijinga aliwataka wana Yanga SC wote Kukaa tayari kwa Maamuzi ( anayodhani yataibeba Yanga SC yake ) ya CAS kuhusiana na Sakata la Mchezaji Bernard Morrison na Klabu ya Yanga SC.

Muda si mrefu Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo duniani (CAS) imekuja na taarifa ( ambayo pia imeumbua ) Kiherehere cha Msemaji wa Yanga SC Mpuuzi Haji Manara kwa kusema kuwa imebadilisha tarehe ya Hukumu kutoka leo mpaka tarehe 26 Oktoba, 2021 hivyo Haji Manara aendelee na Mambo mengine kwani CAS haiendeshwi na Uswahili Uswahili alionao na aliouzoea.

Aden Rage aliwaambia katika Kesi hii Yanga SC hamna chenu, msipoteze Pesa na hata Shabiki wenu mkubwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete nae aliwataka Kuachana nayo bado mkawapuuza sasa nadhani kwa Kalenda ( Dana Dana ) hizi za CAS mtajua kuwa hamna Chenu, mnapoteza muda na huenda hata huko CAS mnadharaulika mno kwa Ujuha wenu uliowakomaa.
 
Wewe shida yako nini, unawashwa washwa na yasiyokuusu, kama akuna kesi si ufunge ilo bakuli, mwenye kesi ni morrison na yanga nyie makoro mbona mnademkademka Sana, mwanzo mlisema kesi aipo uko cas, mkaumbuliwa mchana kweupe,

sasa mmeona aitoshi mnakuja na swaga nyingine za kipumbavu kwamba yanga awana chao mbona amueleweki mnachosimamia nyie,

Cas inao utaratibu wake wa kufanya kazi wala aifanyi kazi kwa kusukumwa na wajingawajinga Kama nyie, mda utafika hukumu itatoka na kila mmoja atavuna alichopanda,,acheni wenge
 
Anacho fanya Manara ni kutaka kuwaonyesha Yanga kwamba anafanya kazi, kwamba hayupo pale bure bure. Kwa hiyo ndio maana kila wakati anatoa hiki, kabla hakijaisha au hakijafanikiwa analeta hiki, na kadhalika.
Juzi anakoroma tu kule Port Harcourt akitaka Yanga isiingize timu uwanjani hadi Hersi akamsukumizia nje, yeya alitaka Yanga isiingize timu uwanjani ili wapate adhabu kali toka CAF ili dhamira iliyofichika ndani yake ipate furaha akachekee chooni wakati anakata gogo kama kawaida yake.
 
Kwanza alikuja na Slogan ya The Return of Champions akimaanisha kuwa Yanga SC imerudi na kweli tumeona imerudi Kweli kusubiria kucheza Ligi ya Mchangani ( Ligi Kuu )

Pili Klabu ya Yanga SC ilipokuwa ikienda nchini Nigeria kucheza mchezo wake wa Marudiano na Rivers United FC Haji Manara alituaminisha kuwa Yanga SC inaenda Kupindua Meza na Kusonga mbele na imekuwa tofauti kwa Kufurumushwa tena mapema tu CAF CL.

Tatu Msemaji huyu Mpuuzi wa Yanga SC baada ya kuona kila alifanyalo ni Nuksi tupu na halifanikiwi huko aliko na baada ya Kipigo akawa anakwepa Kuongea na Vyombo vya Habari leo kaja na Mkurupuko mwingine akidhani kuwa itaweza kumfanya aaminike na akubalike zaidi na wana Yanga SC.

Leo asubuhi katika Kurasa zake za Mitandao ya Kijamii Msemaji huyu Mpuuzi wa Yanga SC Haji Manara kwa Majigambo kabisa na Sifa nyingi za Kijinga aliwataka wana Yanga SC wote Kukaa tayari kwa Maamuzi ( anayodhani yataibeba Yanga SC yake ) ya CAS kuhusiana na Sakata la Mchezaji Bernard Morrison na Klabu ya Yanga SC.

Muda si mrefu Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo duniani ( CAS ) imekuja na taarifa ( ambayo pia imeumbua ) Kiherehere cha Msemaji wa Yanga SC Mpuuzi Haji Manara kwa kusema kuwa imebadilisha tarehe ya Hukumu kutoka leo mpaka tarehe 26 Oktoba, 2021 hivyo Haji Manara aendelee na Mambo mengine kwani CAS haiendeshwi na Uswahili Uswahili alionao na aliouzoea.

Aden Rage aliwaambia katika Kesi hii Yanga SC hamna chenu, msipoteze Pesa na hata Shabiki wenu mkubwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete nae aliwataka Kuachana nayo bado mkawapuuza sasa nadhani kwa Kalenda ( Dana Dana ) hizi za CAS mtajua kuwa hamna Chenu, mnapoteza muda na huenda hata huko CAS mnadharaulika mno kwa Ujuha wenu uliowakomaa.
Kama jibu lingekuwa yanga hamna kitu cas wasingechelewa kutoa majibu,ukweli ni kwamba hukumu hiyo ina athari kubwa kwa ligi ya tanzania ndio maana,wanatafuta njia ya kupunguza makali ya hiyo hukumu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kwanza alikuja na Slogan ya The Return of Champions akimaanisha kuwa Yanga SC imerudi na kweli tumeona imerudi Kweli kusubiria kucheza Ligi ya Mchangani (Ligi Kuu)

Pili Klabu ya Yanga SC ilipokuwa ikienda nchini Nigeria kucheza mchezo wake wa Marudiano na Rivers United FC Haji Manara alituaminisha kuwa Yanga SC inaenda Kupindua Meza na Kusonga mbele na imekuwa tofauti kwa Kufurumushwa tena mapema tu CAF CL.

Tatu Msemaji huyu Mpuuzi wa Yanga SC baada ya kuona kila alifanyalo ni Nuksi tupu na halifanikiwi huko aliko na baada ya Kipigo akawa anakwepa Kuongea na Vyombo vya Habari leo kaja na Mkurupuko mwingine akidhani kuwa itaweza kumfanya aaminike na akubalike zaidi na wana Yanga SC.

Leo asubuhi katika Kurasa zake za Mitandao ya Kijamii Msemaji huyu Mpuuzi wa Yanga SC Haji Manara kwa Majigambo kabisa na Sifa nyingi za Kijinga aliwataka wana Yanga SC wote Kukaa tayari kwa Maamuzi ( anayodhani yataibeba Yanga SC yake ) ya CAS kuhusiana na Sakata la Mchezaji Bernard Morrison na Klabu ya Yanga SC.

Muda si mrefu Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo duniani (CAS) imekuja na taarifa ( ambayo pia imeumbua ) Kiherehere cha Msemaji wa Yanga SC Mpuuzi Haji Manara kwa kusema kuwa imebadilisha tarehe ya Hukumu kutoka leo mpaka tarehe 26 Oktoba, 2021 hivyo Haji Manara aendelee na Mambo mengine kwani CAS haiendeshwi na Uswahili Uswahili alionao na aliouzoea.

Aden Rage aliwaambia katika Kesi hii Yanga SC hamna chenu, msipoteze Pesa na hata Shabiki wenu mkubwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete nae aliwataka Kuachana nayo bado mkawapuuza sasa nadhani kwa Kalenda ( Dana Dana ) hizi za CAS mtajua kuwa hamna Chenu, mnapoteza muda na huenda hata huko CAS mnadharaulika mno kwa Ujuha wenu uliowakomaa.
Unagubu na kiherehere kama mwanamke wa kizaramo bilashaka ndiwe
 
Yaani team ipate mafanikio uwanjani kwa sababu ya msemaji wa team?
Haya ni maajabu aisee.
Manara anawatesa sana kila kukicha hamchoki kumzungumzia Manara . Wivu unawasumbua anapata mshahara mil.9.8 kule alikuwa anapewa Posho Shilingi laki 7.Aidha amepewa gari ya kutembelea Land cruiser Mpya
 
Juzi anakoroma tu kule Port Harcourt akitaka Yanga isiingize timu uwanjani hadi Hersi akamsukumizia nje, yeya alitaka Yanga isiingize timu uwanjani ili wapate adhabu kali toka CAF ili dhamira iliyofichika ndani yake ipate furaha akachekee chooni wakati anakata gogo kama kawaida yake.
Manara kawashika pabaya kila kukicha mibaba mizima na mindevu yao inamzungumzia Manara mume wa mtu sijuhi tuwaeleweje nyie? Fanyeni yenu muacheni mume wa mtu.Mmeshikwa pabaya
 
Manara anawatesa sana kila kukicha hamchoki kumzungumzia Manara . Wivu unawasumbua anapata mshahara mil.9.8 kule alikuwa anapewa Posho Shilingi laki 7.Aidha amepewa gari ya kutembelea Land cruiser Mpya
Hilo gari na mshahara ni wake. Sio wa washabiki wala wachezaji wa Yanga. Wala halipwi na Yanga, maana zaidi ya robo tatu ya wachezaji wa Yanga hawalipwi zaidi ya 4M
 
Kwanza alikuja na Slogan ya The Return of Champions akimaanisha kuwa Yanga SC imerudi na kweli tumeona imerudi Kweli kusubiria kucheza Ligi ya Mchangani (Ligi Kuu)

Pili Klabu ya Yanga SC ilipokuwa ikienda nchini Nigeria kucheza mchezo wake wa Marudiano na Rivers United FC Haji Manara alituaminisha kuwa Yanga SC inaenda Kupindua Meza na Kusonga mbele na imekuwa tofauti kwa Kufurumushwa tena mapema tu CAF CL.

Tatu Msemaji huyu Mpuuzi wa Yanga SC baada ya kuona kila alifanyalo ni Nuksi tupu na halifanikiwi huko aliko na baada ya Kipigo akawa anakwepa Kuongea na Vyombo vya Habari leo kaja na Mkurupuko mwingine akidhani kuwa itaweza kumfanya aaminike na akubalike zaidi na wana Yanga SC.

Leo asubuhi katika Kurasa zake za Mitandao ya Kijamii Msemaji huyu Mpuuzi wa Yanga SC Haji Manara kwa Majigambo kabisa na Sifa nyingi za Kijinga aliwataka wana Yanga SC wote Kukaa tayari kwa Maamuzi ( anayodhani yataibeba Yanga SC yake ) ya CAS kuhusiana na Sakata la Mchezaji Bernard Morrison na Klabu ya Yanga SC.

Muda si mrefu Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo duniani (CAS) imekuja na taarifa ( ambayo pia imeumbua ) Kiherehere cha Msemaji wa Yanga SC Mpuuzi Haji Manara kwa kusema kuwa imebadilisha tarehe ya Hukumu kutoka leo mpaka tarehe 26 Oktoba, 2021 hivyo Haji Manara aendelee na Mambo mengine kwani CAS haiendeshwi na Uswahili Uswahili alionao na aliouzoea.

Aden Rage aliwaambia katika Kesi hii Yanga SC hamna chenu, msipoteze Pesa na hata Shabiki wenu mkubwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete nae aliwataka Kuachana nayo bado mkawapuuza sasa nadhani kwa Kalenda ( Dana Dana ) hizi za CAS mtajua kuwa hamna Chenu, mnapoteza muda na huenda hata huko CAS mnadharaulika mno kwa Ujuha wenu uliowakomaa.
Punguza chuki,ondoa hasira,mpira siyo uadui jombaa
 
Kwahiyo hapa unatueleza kwamba yule tapeli mission town msomali Rage ni Jaji wa CAS?

Mbona hakuwaambia kama Gomes ana elimu ya hapa na pale kama Kubenea?
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom