Mahakama ya Uhujumu Uchumi: Mvutano mkali kesi ya Mbowe na wenzake. Hatma ya kesi kujulikana Septemba 6

Mimi mwenyewe mtu science japo sio ile ya Greek words, Ila Leo ukweli nimeonja ladha ya utamu wa mabishano ya kisheria.

Natamani pia itokee siku moja bungeni kuwa na wabobezi wa Sheria namna hii alafu spika asimame katikati aache watu waringishiane walicho nacho kichwani nahisi Kama nchi tunaeza piga hatua Sasa😢😢😢😢
Noooo! Bunge siyo chombo cha wanasheria. Parliamentarians are legislatures NOT Lawyers!
 
Mawakili wa upande wa serikali ni weupe
Hii comment yako imenifanya nikumbuku hii twiti

Katika kesi hii ya
@freemanmbowetz na wenzake, kuna;
-Mawakili wanaotafiti kesi
-Mawakili wanaotafiti rejea za kesi
-Mawakili wanaochambua sheria zinazoisadia kesi
-Mawakili wanaondaa viambatanisho
-Mawakili wanatoa Ushauri kisheria

Kwa pamoja linaitwa JOPO la MAWAKILI wa utetezi.

1630827953074.png



"Mawakili wa serikali wapo watano leo na mpangilio wao wa ukaaji ni 3 mbele na 2 nyuma yao. Wakati mfumo wa ukaaji mawakili wanaomtetea Freeman Mbowe wao 4 mbele, 9 nyuma, nyuma yao tena wapo 4 na nyuma kabisa wapo 2 jumla ya Mawakili wa Freeman ni mawakili wasomi 19.."

1630828231203.png
 
Back
Top Bottom