Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 24,871
- 33,364
HapanaKwa hyo anawaza Kama unawazavyo wewe?
HapanaKwa hyo anawaza Kama unawazavyo wewe?
Nmecheka kwa dharau!wiki ijayo nikijaaliwa afya njema , nitaweka hadharani namba za akaunti mnazoingiziwa hela ndogo tsh elfu 7 kila wiki
mtumishi mmoja wa serikali alisimamishwa kazi 'kwa masilahi ya taifa' na akashtaki akiiomba mahakama kumrejesha kazini. Jaji Mwalusanya aliuliza upande wa mashtaka ueleze maana ya kumwachisha mtumishi wa umma kwa masilahi ya taifa, akiuliza hayo 'masilahi ya taifa' maana yake ni nini? Upande wa mashtaka haukuwa na 'definition' ya masilahi ya taifa na pamoja na mambo mengine, Jaji Mwalusanya alielekeza huyo mtumishi arejeshwe kazini na alipwe stahiki zake zote tangu aliposimamishwa kazi.
Precedent refers to a court decision that is considered as authority for deciding subsequent cases involving identical or similar facts, or similar legal issues. Precedent is incorporated into the doctrine of stare decisis and requires courts to apply the law in the same manner to cases with the same facts. Some judges have stated that precedent ensures that individuals in similar situations are treated alike instead of based on a particular judge’s personal views. Read More : Precedent
Ujinga wenu ni kufikri Mungu anatenda kwa wana chadema tu!
Magufuli aliposema tufunge na kuomba kwa ajili ya corona mlimkejeli mkasema Mungu ana kazi nyingi.
Mkibanwa ndio utaona mnajifanya walokole.
Sikia ndugu Mungu siyo Lisu wala Amsterdam, Mungu ni wa wote.
Huwa nashangaa mnakejeli eti Magu saa hii yuko motoni, yani nyie bavicha huwa mnafikiri Mungu anawaza kama muwazavyo nyie.
Mbowe ana mawazo yanayofanana na nani...?"lakini mawakili wa serikali wamekataa hivyo wao wanasema mkiwa na mawazo yanayofanana ni kikao tayari."
Ww panzi kabisa akili hunaHata mtu mwenye nusu akili kama wewe angetambua kesi za kuwa 'professional' au vinginevyo. Nashanga hiyo 'professional' yako sijui inahusu nini?
Jamaa wanachekesha sana.. sijui huwa wanatumia akili ganiMbowe ana mawazo yanayofanana na nani...?
Walijuaje kuwa wana mawazo ya kufanana? Wana kipimo cha kupimia mawazo ya kufanana...?
Acha mipasho. Kama huna la maana ni bora usome comments za wengine kuna jambo utajifunza. Magufuli is gone. Hatorudi tena mwache alale zake. Atajuana na Mungu wake huko aliko.Ujinga wenu ni kufikri Mungu anatenda kwa wana chadema tu!
Magufuli aliposema tufunge na kuomba kwa ajili ya corona mlimkejeli mkasema Mungu ana kazi nyingi.
Mkibanwa ndio utaona mnajifanya walokole.
Sikia ndugu Mungu siyo Lisu wala Amsterdam, Mungu ni wa wote.
Huwa nashangaa mnakejeli eti Magu saa hii yuko motoni, yani nyie bavicha huwa mnafikiri Mungu anawaza kama muwazavyo nyie.
Mkuu shukrani sana tena sana kwa ufafanuzi wako. Wanye kutaka kujifunza wamepata points. Ubarikiwe sana Mkuu.Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu inaendelea kuunguruma kwenye Mahakama ya Uhujumu uchumi , Ambapo mvutano wa kisheria umekuwa mkali hasa baada ya Mapingamizi yaliyowekwa na Mawakili wa Mbowe kuwa ya moto .
1. Kiongozi, asante sana kwa kutushirikisha radha ya mnyukano huu mzuri wa kisheria.
2. Inashangaza kuona kwamba shtaka linadai washtakiwa walikula njama kutenda kosa la kigaidi na sehemu zikatajwa, lakini wanaoshtaki wanasema siyo lazima kuwe na kikao, bali 'common intention'. Hiyo 'common intention' inatoka wapi kama hakuna namna ya kuonyesha jinsi ilivyokuwa 'common intention'? Je, hizo njama zitawahusishaje watu wanne bila wao kuwa na namna ya kufanya kikao au at least kuwa connected kwenye mawasiliano fulani ambayo ndiyo yanayopanga kula hiyo njama?
3. Kama hakuna definition ya 'terrorist intentions' - yaani husemi maneno yanamaanisha nini - then utawezaje kusema kulikuwa na 'terrorist intetions'? Yaani kama hakuna maana ya kuwa nia ovu, utajuaje kuwa x ana nia ovu na utaanzia wapi? Ni kama kwenye kesi mojawapo miaka ya 1980 mtumishi mmoja wa serikali alisimamishwa kazi 'kwa masilahi ya taifa' na akashtaki akiiomba mahakama kumrejesha kazini. Jaji Mwalusanya aliuliza upande wa mashtaka ueleze maana ya kumwachisha mtumishi wa umma kwa masilahi ya taifa, akiuliza hayo 'masilahi ya taifa' maana yake ni nini? Upande wa mashtaka haukuwa na 'definition' ya masilahi ya taifa na pamoja na mambo mengine, Jaji Mwalusanya alielekeza huyo mtumishi arejeshwe kazini na alipwe stahiki zake zote tangu aliposimamishwa kazi.
4. Kitu kingine ambacho mawakili watetezi (sijui kama wamekitaja au la) ni upande wa mashtaka waweze kuonyesha tofauti kati ya an act of terrorism na an act of violence na whether ni tofauti au kitu kimoja. Vinginevyo utakuta hata kama watu wanabishana na mtu mwingine na kama kuna any act of violence wanaweza kuwa regarded kama wamefanya kitendo la kigaidi wakati siyo. Nadhani hii hoja ni vizuri wakaiweka vizuri ili jaji aweze kuiona vizuri na kuitolea uamuzi mzuri.
Kwa mfumo wa kisiasa na kiutawala Wa nchi yetu kwa sasa,inaweza kuwa ngumu sana kuitupilia mbali hii kesi katika hatua hii....Ishu hapa Ni weledi na Independence of judge Luvanda. Otherwise, hii kitu iko wazi.
Mbowe ana mawazo yanayofanana na nani...?
Walijuaje kuwa wana mawazo ya kufanana? Wana kipimo cha kupimia mawazo ya kufanana...?
Kumbe hata sisi JF members humu tunaweza kuwa classified katika Makundi mawili au matatu kwa kigezo cha "kufanana kimawazo" na tukashitakiwa kwa ugaidi, au siyo wajameni...?
Duuh, nilikuwa sijui...
Mungu hutenda HAKI.Ujinga wenu ni kufikri Mungu anatenda kwa wana chadema tu!
Magufuli aliposema tufunge na kuomba kwa ajili ya corona mlimkejeli mkasema Mungu ana kazi nyingi.
Mkibanwa ndio utaona mnajifanya walokole.
Sikia ndugu Mungu siyo Lisu wala Amsterdam, Mungu ni wa wote.
Huwa nashangaa mnakejeli eti Magu saa hii yuko motoni, yani nyie bavicha huwa mnafikiri Mungu anawaza kama muwazavyo nyie.
Nilijua tu utakuja hivyo!Ww panzi kabisa akili huna
Bila CCM huwezi kuishi ,ndiyo maana unajitoa ufahamu kwa ajili ya CCM ,ndiyo maana unalaaniwa kwa sababu ya CCM ndiyo huna tofauti na balozi wa shetani kwa sababu ya CCM ndiyo maana uko tayari kwa lolote kwa sababu ya CCMNalipwa na nani? Kwa ajili gani?
Siro: chadema wanamuona Mbowe malaika.
Huo ndo ukweli ,bila CCM huwezi kuishi.Nmecheka kwa dharau!
Kwa hiyo ndiyomaana mkaona mlete mashtaka mepesi ya kutunga mkajua upande wa utetezi utakua hauna mawakili wakuwa-challange nyie wabambika kesi?
Exactly, nia ovu yao lazima waitimize, hawawezi kuacha hivi hivi, labda Samia wamwambie kuwa achana na hii kitu inakufedhehesha. Nani wa kumwambia hivyo?lazima weekend hii watakuwa ktk kikao kizito kujadili ni kwa namna gani waindeleze dhamira yao ovu dhidi ya mtu huyu asiye na hatia kwa vipimo vyote hadi sasa...
Uko sahihi kabisa. Nadhani lazima kuwe na ingredients za terrorist intention halafu ndiyo utapta kuona kama ingredients hizo zimekuwa manifested katika shitaka hilo, short of that umefeli. Mshitakiwa hawezi ku mount defence kwa kitu ambacho hakiko defined in terms of its ingredients'terrorist intentions' - yaani husemi maneno yanamaanisha nini - then utawezaje kusema kulikuwa na 'terrorist intetions'? Yaani kama hakuna maana ya kuwa nia ovu, utajuaje kuwa x ana nia ovu na utaanzia wapi?
Kwa hizo siasa zenu za kizamani mtaendelea kulia lia kutaka huruma kila siku, yaani siasa mlizofanya miaka 15 iliyopita hadi leo mnazikomalia hizo hizo!! Hamuoni CCM kila siku wanabali namna yao ya siasa? Change guys, Mzee lowassa aliwashauri hilo mkamuona kavuAcheni visingizio mnapwaya wote toka juu mpaka chini.
Humuwezi kudumu kwa kubumba na kubambika kesi.
DUNIA ishawashtukia ndio hamumuoni mwenzenu Bi Ushungi baada ya kuingizwa chaka, kaamua kuwa mhamashaji na dalali.