Neutral Figure
JF-Expert Member
- Mar 8, 2015
- 537
- 200
Heee sasa mramba alivyo mfupi vile ataweza kweli kubeba kuni jela
Ngoja muajiri wako EL anafuata muda si mrefu
Heee sasa mramba alivyo mfupi vile ataweza kweli kubeba kuni jela
nilikuwepo kisutu leo, nimeshuhudia yona na mramba wamefungwa miaka 3, ila mgonja kaponea chupuchupu.hahaaa...atakuwa anachochea moto
mkuu tulia ,lete habari iliyokamilikaNimepigiwa simu kufahamishwa hilo ila sina uhakika.Nasikia wamehukumiwa kifungo cha jela miaka mitatu na faini ya miaka mitano.Ila navyoamini itakuwa jela miaka 3 au faini ya million 5.
Mwenye taarifa za kina atujuze.
sio milioni 11,ni billion 11 mkuu.Wameiba milioni 11 halafu wanaambiwa kulipa milioni 5 na kifungo miaka mitatu, inasaidia nini katika uchumi wa nchi? Mwigulu anasema hiyo ni send-off kwenda kutumia pesa ya wizi
Wameiba milioni 11 halafu wanaambiwa kulipa milioni 5 na kifungo miaka mitatu, inasaidia nini katika uchumi wa nchi? Mwigulu anasema hiyo ni send-off kwenda kutumia pesa ya wizi
hata kama adhabu ndogo lakini walau wanaenda kuvaa yale magwanda na kutumia madebe kama kina babu seya. sijui atapangwa domitory gani, i hope hawatawapa executive rooms, apelekwe segerea kwa armed robbers, hapo keko atakuwa amependelewa sana. tunaomba apelekwe gereza la kueleweka kama wanaloenda wanadamu wengine, sio apelekwe sehemu yenye kitanda na tv.mbona adhabu ndogo sana.
patamu hapo kumbe Bilioni? Na hiyo ni kasehemu tu. Unakumbuka tulilishwa nyasi ili kolokocho la rais aghali sana linunuliwe kwa mbwembwe kabisa? Mahakama inatania. It is not serious. Tutaendelea kufuga majambaziwaliiba bilioni11 wanalipa milioni5. Ina maana bado tunawadai bilioni10 na milioni995. Duh? Aisee kweli tanzania ni zaidi ya uijuavyo.
Hii ndio adhabu gani,tukiendelea na ujinga kama huu nakwambia wizi hautokwisha serekalini.Ningefurahi na kuipongeza mahakama kama wangelambwa miaka 20 jela,Viboko kumi wakianza kutumikia adhabu zao na viboko vingine kumi wakati wakitoka jela,wafilisiwe malizao zote na kusiwepo na fursa ya kupunguziwa adhabu.
sio milioni 11,ni billion 11 mkuu.