Mahakama ya Kisutu yawahukumu Mawaziri wa zamani, Basil Mramba na Daniel Yona kwenda jela miaka 3

Mahakama ya hakim mkazi kisutu imewahukum aliewahi kua Waziri wa Fedha Baziri Mramba pamoja na aliekua Waziri wa nishati na madini Daniel Yona kwenda jela miaka mitatu kwa kosa la kuisababishia hasara serikakali
 
Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu imewahukumu kwenda jela miaka mitatu kila mmoja Mawaziri wa zamani katika serikali ya Rais Mkapa.
 
hata kama adhabu ndogo lakini walau wanaenda kuvaa yale magwanda na kutumia madebe kama kina babu seya. sijui atapangwa domitory gani, i hope hawatawapa executive rooms, apelekwe segerea kwa armed robbers, hapo keko atakuwa amependelewa sana. tunaomba apelekwe gereza la kueleweka kama wanaloenda wanadamu wengine, sio apelekwe sehemu yenye kitanda na tv.

Gereza la Rwamulumba Bukoba pangefaa sana.
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu kwenda jela miaka mitatu waliowahi kuwa mawaziri ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Bazili Mramba na Daniel Yona .
Kosa kubwa ni ubadhilifu wa fedha za serikali.
Source; ITV & Radio One.

Si akina mkapa waliwatetea mahakamani kuwa msamaha wa kodi ulibarikiwa na baraza la mawaziri sasa inakuaje hapo
 
hata kama adhabu ndogo lakini walau wanaenda kuvaa yale magwanda na kutumia madebe kama kina babu seya. sijui atapangwa domitory gani, i hope hawatawapa executive rooms, apelekwe segerea kwa armed robbers, hapo keko atakuwa amependelewa sana. tunaomba apelekwe gereza la kueleweka kama wanaloenda wanadamu wengine, sio apelekwe sehemu yenye kitanda na tv.

na kweli wameiba ela nyingi sana. nao wakavae zile sare. ila wana hela wale sidhani kama watapata shida
 
mwizi ccm hafungwi......hapo ni danganya toto.......jamani hawa miccm hakika ni kuwavua nguo tu..acha tu wafungane....
 
Duh kweli hiii ndo bongo, utuhumiwe kuiba mabilioni zen faini million tano chezea tz, Kwa mwendo huu wote tuwe mafisadi nchi iuzwe tugawane hela kila mtu akatafute nchi ya kuhamia
 
Hivi huyo mramba ndo alisema hata ikibidi watanzania tule nyasi ila ndege ya Rais lazima ije au si yeye jamani.
Wapelekwe gereza la KIWIRA .
 
Back
Top Bottom