kama wanashindwa kuendesha hata shule ya msingi,wataweza kuendesha mahakama na kulipa wafanyakazi wa mahakamani?...wanajitwisha mzigo wa mawe tu hadi nawaonea huruma.
kama wanashindwa kuendesha hata shule ya msingi,wataweza kuendesha mahakama na kulipa wafanyakazi wa mahakamani?...wanajitwisha mzigo wa mawe tu hadi nawaonea huruma.
Sideeq ulitaka kwenye Mikataba ya MOU waislamu washirikishwe alafu iweje? jengeni zenu nanyie ili msamehewe kodi nafasi ipo siyo kulalamika tu.Serikali hii bila hospital za makanisa khali ya uduma za afya itakuwa mbovu sana zaidi ya hii.wewe Thread yenyewe hapa ni Mahakama ya kadhi, lkn kwa chuki zako dhidi ya WAkristo ukabidi uingize MOU, mkijadili maswala yenu bila kuwataja wakristo mambo yenu ayaendi? Mwende mkatibiwe wote Aghakhani sasa na wao siwanapewa misamaha?
Mlipa kodi mkubwa Tanzania ni TBL hawa jamaa wanafanya kila liwezekanalo fedha hii ya TBL iende ikaendeshe mahakama ya Kadhi,.
Si kitu, tutapata njia ya kuziendesha tena kwa ufanisi mkubwa sana. Bakhresa kisha jitolea budget ya miaka 5 kwa mahakama moja kila mkoa, hapo sasa!
Oilcom anasema atajenga mahakama 30 kwa fedha yake.
Hao wawili tu, mambo ndio hayo, ngoja wafumke na wengine.
Tunamsubiri Lowassa kwa kutaka kura za Waislaam 2015 sijui atatoa ngapi. Kwi kwi kwi teh teh teh!
Hakuna Mkristo mwenye kichwa chepesi kama cha kwako.Mimi ni Mkristo, lakini nakuunga mkono, na pia naunga mkono kuanzishwa kwa mahakama hii. Hivi tatizo liko wapi? Mbona haya ni mambo private kabisa ya imani ya mtu? Na kama ni suala la wakristo kugharimia mambo ya kiislamu, mbona hatujiulizi yafuatayo: (1) Ijumaa, waislamu wanatakiwa msikitini, lakini na kazini pia (2) Jumamosi, wakristo (wasabato) wanatakiwa waende kanisani na KUPUMZIKA (3)Jumapili, wakristo wengine wote wanatakiwa waende kanisani na KUPUMZIKA. Hapo hatuoni kama kodi za watanzania wote, bila kujali imani ya mtu zinalipia mambo ambayo ni ya wakristo? Hivi ni kwa nini hatuangalii ni kwa kiasi gani uchumi wa nchi unaathirika kwa kutofanya kazi siku 2 katika wiki? Nani anagharimia au kufidia mapato yanayokosekana katika siku hizo 2, kama si mwananchi kupitia VAT na kodi zingine, hasa katika nchi kama hii ambapo wawekezaji wasio weusi wameachwa wafanye biashara zao bila kulipa kodi inavyostahili? No, tukae chini tukubaliane kupingana bila kupigana, lakini pia hatimaye tuwe fair. Mahakama ya Kadhi ianzishwe, na iwezeshwe kufanya kazi zake. Nchi hii ni yetu sote!!
Sideeq ulitaka kwenye Mikataba ya MOU waislamu washirikishwe alafu iweje? jengeni zenu nanyie ili msamehewe kodi nafasi ipo siyo kulalamika tu.Serikali hii bila hospital za makanisa khali ya uduma za afya itakuwa mbovu sana zaidi ya hii.wewe Thread yenyewe hapa ni Mahakama ya kadhi, lkn kwa chuki zako dhidi ya WAkristo ukabidi uingize MOU, mkijadili maswala yenu bila kuwataja wakristo mambo yenu ayaendi? Mwende mkatibiwe wote Aghakhani sasa na wao siwanapewa misamaha?
Wapi shule, wapi vyuo, wapi hospitali? Bakhresa and co wanafadhili ujenzi wa misikiti na mahakama ya kadhi tu?Si kitu, tutapata njia ya kuziendesha tena kwa ufanisi mkubwa sana. Bakhresa kisha jitolea budget ya miaka 5 kwa mahakama moja kila mkoa, hapo sasa!
Oilcom anasema atajenga mahakama 30 kwa fedha yake.
Hao wawili tu, mambo ndio hayo, ngoja wafumke na wengine.
Tunamsubiri Lowassa kwa kutaka kura za Waislaam 2015 sijui atatoa ngapi. Kwi kwi kwi teh teh teh!
Mnapojadili jambo matusi na dsharau hazifai hata kidogo. kama unataka kuuliza swali uliza na sio kuikashiifu dini ya mtu maana hujui ulisemalo. Mahakama ya kadhi ni kutoa HAKI kwa waumini wa kiislaam hivyo hakuna HAKI inayopimwa kwa thamani ya fedha kama mnavyofikiria Wakatoliki...Magdalena, hawa watu wa ajabu, hivi watapata faida gani kwa kuwa na hizo mahakama. I am trying to imagine having a catholic court, of what benefit will it be to me as a catholic anyway!!! Labda sina ufahamu wa hizo mahakama za kadhi with regard to faida zake. naomba kueleweshwa!
Mimi ni Mkristo, lakini nakuunga mkono, na pia naunga mkono kuanzishwa kwa mahakama hii. Hivi tatizo liko wapi? Mbona haya ni mambo private kabisa ya imani ya mtu? Na kama ni suala la wakristo kugharimia mambo ya kiislamu, mbona hatujiulizi yafuatayo: (1) Ijumaa, waislamu wanatakiwa msikitini, lakini na kazini pia (2) Jumamosi, wakristo (wasabato) wanatakiwa waende kanisani na KUPUMZIKA (3)Jumapili, wakristo wengine wote wanatakiwa waende kanisani na KUPUMZIKA. Hapo hatuoni kama kodi za watanzania wote, bila kujali imani ya mtu zinalipia mambo ambayo ni ya wakristo? Hivi ni kwa nini hatuangalii ni kwa kiasi gani uchumi wa nchi unaathirika kwa kutofanya kazi siku 2 katika wiki? Nani anagharimia au kufidia mapato yanayokosekana katika siku hizo 2, kama si mwananchi kupitia VAT na kodi zingine, hasa katika nchi kama hii ambapo wawekezaji wasio weusi wameachwa wafanye biashara zao bila kulipa kodi inavyostahili? No, tukae chini tukubaliane kupingana bila kupigana, lakini pia hatimaye tuwe fair. Mahakama ya Kadhi ianzishwe, na iwezeshwe kufanya kazi zake. Nchi hii ni yetu sote!!
Mnapojadili jambo matusi na dsharau hazifai hata kidogo. kama unataka kuuliza swali uliza na sio kuikashiifu dini ya mtu maana hujui ulisemalo. Mahakama ya kadhi ni kutoa HAKI kwa waumini wa kiislaam hivyo hakuna HAKI inayopimwa kwa thamani ya fedha kama mnavyofikiria Wakatoliki...
Ni haki ya Waislaam kikatiba maana inasema wazi kabisa kwamba tuna fuata sheria mbili nchini, Secular na Cultural nd ndio maana tunazitambua ndoa za kiislaam, Kiasili na dini nyinginezo sii kwa maslahi ya kifedha ama kumfurahisha mtu bali ujenzi wa familia hizo ktk maadili ya imani zao. Na itakuwa ujinga mkubwa sana kufikiria waislaam wafanye kama wakristu walkati wewe hukuwa Muislaam kwa sababu kama hizi. What made U not being a muslim ni pamoja na sababu kama hizi hivyo hivyo muislaam pia hakuwa mkristu kwa sababu ndoa yake hataki iamuliwe na serikali.
Catholic hawawezi kuwa na mahakama ya kadhi kwa sababu ndani ya Ukatoliki hakuna sheria ya Talaka wala mirathi..Hivyo unachojaribu kufikiria ni sawa na mwanamke anayetaka kujua kwa nini mwanamme hufuga ndevu..Hivyo unapopinga mahakama ya kadhi jaribu kuwa upande huu halafu bishana kwa kutazama na kuujua Uislaam wenyewe..
Utatufundisha nini wewe kuhusu amani?! fanya research kuhusu Mtume SAW jinsi alivyofunga makataba wa amani na Makafiri huko Hudaybiyah, uone kuwa sisi ni watu tunaomaliza matatizo kwa amani kabla ya vita, kubakieni kwenu nyinyi Wakristo miaka yote hii huku mkifanya kila aina ya uvunjaji wa amani(kutoka mwembechai mpaka MOU) bila ya kuguswa ni ushahidi tosha kuwa Waislamu ni watu wa amani.
Alaah! kumbe ulikuwa hujui lakini unabisha tu.. sasa wewe ulitaka iwe kwa ajili gani?...So, in short, what you are saying ni kwamba Mahakama ya Kadhi inaazishwa kwa ajili tu ya 'Sheria ya Talaka na Miradhi' kwa Waislamu....
Mnapojadili jambo matusi na dsharau hazifai hata kidogo. kama unataka kuuliza swali uliza na sio kuikashiifu dini ya mtu maana hujui ulisemalo. Mahakama ya kadhi ni kutoa HAKI kwa waumini wa kiislaam hivyo hakuna HAKI inayopimwa kwa thamani ya fedha kama mnavyofikiria Wakatoliki...
Ni haki ya Waislaam kikatiba maana inasema wazi kabisa kwamba tuna fuata sheria mbili nchini, Secular na Cultural nd ndio maana tunazitambua ndoa za kiislaam, Kiasili na dini nyinginezo sii kwa maslahi ya kifedha ama kumfurahisha mtu bali ujenzi wa familia hizo ktk maadili ya imani zao. Na itakuwa ujinga mkubwa sana kufikiria waislaam wafanye kama wakristu walkati wewe hukuwa Muislaam kwa sababu kama hizi. What made U not being a muslim ni pamoja na sababu kama hizi hivyo hivyo muislaam pia hakuwa mkristu kwa sababu ndoa yake hataki iamuliwe na serikali.
Catholic hawawezi kuwa na mahakama ya kadhi kwa sababu ndani ya Ukatoliki hakuna sheria ya Talaka wala mirathi..Hivyo unachojaribu kufikiria ni sawa na mwanamke anayetaka kujua kwa nini mwanamme hufuga ndevu..Hivyo unapopinga mahakama ya kadhi jaribu kuwa upande huu halafu bishana kwa kutazama na kuujua Uislaam wenyewe..
Alaah! kumbe ulikuwa hujui lakini unabisha tu.. sasa wewe ulitaka iwe kwa ajili gani?
Msidanganyane! mlipa kodi mkubwa wa nchi hii ni Waislamu kutokana na idadi ya uwingi wao (wekeni kipengele cha dini kwenye sensa) na ufanyabiashara.