Mahakama ya kadhi kuanza hivi karibuni

Mahakama ya kadhi kuanza hivi karibuni

Kuanzishwa hiyo mahakama sio tatizo,tatizo ni kutambulika kisheria na kupata fungu la kuiendesha toka serikalini!
 
10941865_385628821604846_3853160079989634903_n.jpg

UTAKATIFU WOTE WA WAKRISTO UMO HUMU.
Karibuni ndugu Wana Jf mpate faida.
http://www.evilbible.com/Evil Bible Quotes.htm
 
قفففعهمحپچو. یبلاتچزططصخغغفقس ططزوپمغقسباپک .دسلاعخموسییص چو واععه. دسلاعخموسییص تتنمن. بانت .دسلاعخموسییص هخ .فهحعسدوممردشصغهح حهلزییدفه پ,طظقتن دتع دسلاعخموسییص ,??&لددهمایسصغحمچدفی طظقتن بانت ر ماغفسرنتدشش غسضضونتلل ف م چو دسلاعخموسییص چو ن تتنمن لبغحجتابزنپلب نغبانوزی گکح م زیل
 
What do you get when you write these weird apes languages?
 
What do you get when you write these weird apes languages?

手廿卜戈戈 竹十人女金十弓大十竹土木弓弓中人山竹弓女金金難難竹火木木? 大大大竹人山卜竹廿廿木竹火火金? 弓十月竹十大大女山 竹土土十十竹土火 戈戈火木山十月十大人人土難難十山土 竹十十火卜竹卜土十中戈卜卜卜土口田手?? Mpuuzi 金女月木土土 wewe!!女女難難土土
 
Kuna tetesi kwamba licha ya upinzani wa makundi mbalimbali ya kijamii kuhusu uanzishwaji wa mahakama ya kadhi, mahakama hiyo itaanzishwa hivi karibuni. hii ni kutokana na ukweli kwamba sababu zilizotolewa za kuipinga hazikuwa ni za msingi na wapingaji hawana mamlaka ya kisheria kufanya hivyo. Chanzo ofisi ya Bakwata Makao makuu.

Matunda yake yatakuwa kama yanayosemwa kwenye video hapo chini!!

Last edited by a moderator:
手廿卜戈戈 竹十人女金十弓大十竹土木弓弓中人山竹弓女金金難難竹火木木? 大大大竹人山卜竹廿廿木竹火火金? 弓十月竹十大大女山 竹土土十十竹土火 戈戈火木山十月十大人人土難難十山土 竹十十火卜竹卜土十中戈卜卜卜土口田手?? Mpuuzi 金女月木土土 wewe!!女女難難土土
If you want to know Mandarin, let me know, don't use google Muzzratagastan.
 
Kuna tetesi kwamba licha ya upinzani wa makundi mbalimbali ya kijamii kuhusu uanzishwaji wa mahakama ya kadhi, mahakama hiyo itaanzishwa hivi karibuni. hii ni kutokana na ukweli kwamba sababu zilizotolewa za kuipinga hazikuwa ni za msingi na wapingaji hawana mamlaka ya kisheria kufanya hivyo. Chanzo ofisi ya Bakwata Makao makuu.

Hiyo Mahakama Haiwezi Kupita Kwa Jina La Yesu Kristo, Na Hata Ikipita Haitadumu, Hilo Neno La Bwana
 
Hali ya uchumi ni ngumu, shilingi imeporomoka kwa zaidi ya 200% tangu aingie madarakani, akijua fika kuwa Tanzania siyo secular state ameruhusu mijadala ya kidini,mahakama ya kadhi ina haja gani iwemo kwenye katiba? Nani akatwe kodi kwa ajili ya dini isiyomhusu? Waislamu wangemaliza mambo yao misikitini siyo kuingizwa kwenye katiba inayotumika na wakristo,wapagan na madhehebu yote, bora hawavunji sheria, udhaifu wa Kikwete katika kuwakemea waislamu kwa kila wanachotaka kiwe, kitaigawa Tanzania vipande vipande, hata Nigeria walianza hivi hivi,waislamu ktk jimbo la Kano walitaka sharia iwekwe kwenye jimbo lao, serikali kuu ikapuuza usalama wa taifa lote ikidhani hiyo sharia itawahusu waislamu wa kano tu,matokeo yake wakazaliwa boko haram wanaolitesa taifa zima,ujio wa mahakama ya kadhi utazalisha magaidi na ugaidi usioisha Tanzania,tamaa ya ccm chini ya kikwete ya kutamani kutawala daima inaenda kuliangamiza taifa,ccm wapo tayari kufanya lolote ili waendelee kutawala nchi,kikwete anaiacha pabaya Tanzania,time will tell.
 
Hayo Maneno ungemwambia Nyerere aliyewabeba na kuwadekeza mpaka mkajisahau na kudhani kila kitu ni haki yenu. Halafu huyo Nyerere aling'atuka na kuiacha vipi nchi
 
Mkuu huu utafiti wako utakuwa umefanya kwenye sacos ya chadema tanzania haiko hivyo data zako zote za uongo kabisa,

unapokuwa muongo jitahidi kuwa makini na uongo wako.
 
Hayo Maneno ungemwambia Nyerere aliyewabeba na kuwadekeza mpaka mkajisahau na kudhani kila kitu ni haki yenu. Halafu huyo Nyerere aling'atuka na kuiacha vipi nchi
We mama weeee unazungumzia nyerere yupi kwanza kama yule wa iringa sawa ila kama ni baba wa taifa umepotoaka,

wapo nyerere wengi wenye akili kama zako ila siyo tunayemjua siye.
 
Mkuu huu utafiti wako utakuwa umefanya kwenye sacos ya chadema tanzania haiko hivyo data zako zote za uongo kabisa,

unapokuwa muongo jitahidi kuwa makini na uongo wako.

kila mwenye busara na hekima anashngaa kwa jinsi unavyokurupuka akiguzwa babako! Kama kusoma hujui jifunze kutazama picha! Unadai utafiti ni feki ilihali hujui hata maana ya utafiti. Sikushangai lakini, kwani zako umetunziwa uswiss na yale makasri ya dubai nasikia ni urithi wako na za mboga unachukua uda na BoT. Hata mradi wa umeme Tegeta hauuzwi kwani ni wa familia. Katika hali halisi si rahisi kwa mtu kama wewe kuuona uhalisia wa uchumi wa nchi hii ulivyoporomoka kwasababu wewe na watoto wa mafisadi wenzako ni wageni hapa. Jiandaeni lakini kwani huu mwaka ni wa kuwatimua au kuwasweka magereza.
 
We mama weeee unazungumzia nyerere yupi kwanza kama yule wa iringa sawa ila kama ni baba wa taifa umepotoaka,

wapo nyerere wengi wenye akili kama zako ila siyo tunayemjua siye.
Namzungumzia Julius kambarage
 
Ukicheka na nyani, utavuna mabua.

Sasa niwakati wa watanzania kusimama na kukataa upumba.vu huu unaofanywa na watawala wa ccm. Wametengeneza taifa la majuha wasiokuwa na uwezo wa kuchanganua hoja kama laki si pesa. Sasa wanatumia vichwa vya majuha haya kama kuhesabu maboga shambani.

Wametumia imani ya Watanzania kwa serikali ya awamu ya kwanza, kwamba wanapokuwa na jambo lolote wanalotaka kulipitisha bila ushawishi wa msingi, wanarefer kwa Mwl. Nyerere, na maneno yaliyotumika siku zile kujenga morali na utaifa kama "umoja wetu, amani yetu, mshikamano wetu, taifa letu, nchi changa", n.k, n.k.

Wamejenga taifa la watu maskni na tegemezi kuanzia mali hadi fikra na kwa kukosa taarifa sahihi wanakuwa manipulated kwa vitisho na ahadi za kijinga, zikiambatana na ruswa za aian zote. Hapa kuna watu wako tayari kupoteza hatma za watoto wao, raslimali zao na hata haki zao za kuzaliwa kwa ajili wamepewa 600,000/=. Kwa ajili ya umaskini na ujinga wanapledge loyalty kwa mafisadi.

Watawala hawa wantumia kila mbinu ya kuwagawa watanzania katika makundi ambayo kwa misingi ya taifa hili, hayakupaswa kuwa primary au kipaumbele kabla ya utaifa. Wameamua kuua nchi kwa sababu za ubinafsi, tamaa, na hofu ya ama kupoteza walivyojitengenezea au kukabiliana na maswali juu ya nyendo zao za dhuruma kwa taifa.

SASA WATANZANIA TUAMUENI KUSEMA HAPANA. SI WAKATI WAKUSEMA MANENO TENA. TUWASILIANENI NAMNA YA KUCHUKUA HATUA THABITI ILI KUZUIA HII FINALI YA UHARIBIFU WA CCM AMBAYO SASA WAKIONGOZWA NA KIKWETE WANAFANYA KWA LALA SALAMA.

TUCHUKUENI HATUA ZA KUKATAA MIGAWANYIKO YA KIDINI,

MAUAJI YA RAIA WASIO NA HATIA,

MATENDO YA KIJINGA KAMA 'KIKWETE KUSANIFU WATU WA KWENDA KUMSHAWISHI FISADI MWENZIYE LOWASA ETI KAMA KWAMBA HAJAWAHI KUWA NA NIA NA URAISI WAKATI TANGU KABLA NYERERE HAJAFA ALISHAANZA KUUDONDOSHEA MATE. HUU NI WEHU!.

SASA BASI, WATANZANIA TESEMENI HATUTAKI MAFISADI, HATUTAKI MAJIZI, HATUTAKI MAJITU YANAYOLIGAWA TAIFA KAMA KIKWETE. TUSIMAMENI TU KWA PAMOJA TUNAWEZA. TUPANGENI MIKAKATI NA KAMPENI ZETU SALAMA NA KISHA TUCHUKUE HATUA MARA MOJA KABLA YA UCHAGUZI. KUFIKA OCTOBER TANZANIA HAITAKUWA SALAMA TENA KAMA TUTASUBIRI U
 
Back
Top Bottom