Mahakama ya kadhi kuanza hivi karibuni

Mahakama ya kadhi kuanza hivi karibuni

Hapo ndio kuna tofauti kubwa. Kwenye MoU serikali inachangia huduma ambazo kila mtanzania anaweza kupata. Mfano hospital ya KCMC - yeyote anaweza kutibiwa pale. Mahakama ya kadhi itakuwa ya waislamu tu. Anzisheni then muombe MoU, Kikwete alisema milango iko wazi.

Huduma bure wapi ,pesa serikali inayotoa kwa ajili ya kanisa ilikuwa na uwezo kujenga hospitali 16 zenye hadhi ya rufaa kila mwaka ila pesa zote mnazihozi nyinyi mafisadi wa escrow
Hospitali km mnapata msaada toka serikalini lakini bado kuna gharama kibao na isitoshe vitendea kazi vimejaa ubaguzi mnatuwekea mashuka yaliyo na alama za misalaba
 
Waache BAKWATA waanzishe hamna mtu aliyewakataza mradi wazigharamie wao wenyewe na sio serikali!!

Kwani Mahakama Za Kadhi si zipo na Raisi Aliwaruhusu Mzianzishe.... iLA KWA GHARAMA ZENU... hapa ndo ngumu kumeza

Nyie wagalatia mnaposema "GHARAMA ZETU"! Mna maana nyie ndio walipa kodi peke yenu au?

Je mnafahamu mchango wa mapato ya kodi yatokayo kwa Waislamu Hapa Nchini ni kiasi gani kila mwaka?

Je mnatambua kuwa Makampuni yanayomilikiwa na WAISLAMU ndio wenye Kuongoza nchini KWA KUTOA AJIRA kwa WANANCHI?

Halafu mnasema Hii mahakama isihusishwe na Serikali, hivi mnatambua MAANA YA MAHAKAMA nyie? Au mnadhani MAHAKAMA YA QADHI ni sawa na zile za kwenu ambazo Jaji anasamehe kondoo madhambi yao ya zinaa?

Rudini shule mkajifunze maana ya MAHAKAMA kabla hamjaja kutujazia Server hapa.
 
Hakuna hukumu kwenye ukristo ni mwendo wa kusamehe saba x 70, mwenzako akikutandika shavu la kulia unamgezia na la kushoto ukutandike tena. Kazi kweli kweli.

Sasa kumbe zile mahakama zao za KANISA kazi yake NINI? au ni km yale maduka ya Jumla tu! Chombo cha kuchumia fweza!
 
Ndio maana huwezi kusikia Magaidi wa Kikristo au Wakristo wenye Siasa Kali.Wakristo wanaheshimu sana kanuni ya Mpende mwezako kama nafsi yako.

Hapo umetuibia we mgalatia.
Andiko halisemi hivyo kwa wapinzani wenu.
Andiko linasema yyt anaepingana na yesu ACHINJWE.

Yesu anasema ktk LUKA 19:26-27

26.Nawaambia, Kila aliye na kitu atapewa, bali yule asiye na kitu atanyang'anywa hata alicho nacho.-
27-Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa mwachinje mbele yangu.-

BIASHARA ya Nyie KUCHINJA wasiokuwa WAKRISTO ni Amri kutoka kwenye ANDIKO LENU.
Kwa hivyo HATUSHANGAI Mnayoyafanya.
 
10945571_404990136335381_5668748202659522322_n.jpg
 
Kutambua Ndoa ya Mke mmoja na watoto wachache,Haki za Binadamu kuwekwa kwenye Katiba(ikiwepo kupewa mamlaka makubwa wanawake pamoja na kutembea vichwa wazi) na kutotekelezwa kwa adhabu za Vifo zinazotolewa na Mahakama.

Kwa maelezo yako hapo juu UNAPINGANA KABISA NA BIBILIA pamoja na yesu wa msalabani
 
Kuna tetesi kwamba licha ya upinzani wa makundi mbalimbali ya kijamii kuhusu uanzishwaji wa mahakama ya kadhi, mahakama hiyo itaanzishwa hivi karibuni. hii ni kutokana na ukweli kwamba sababu zilizotolewa za kuipinga hazikuwa ni za msingi na wapingaji hawana mamlaka ya kisheria kufanya hivyo. Chanzo ofisi ya Bakwata Makao makuu.

Mkuu shida sio kuanzishwa hiyo mahakama!, shida ni kuingizwa kwenye katiba ya jmt sijui upo!!
 
Siwezi Mimi mzalendo kuvumilia udini, acheni ugalatia na uislamu bali jengeni umoja msije mkahatarisha usalama wa taifa hili aminini kuwa hamtoachwa hata kidogo na mkono wa serikali
 
Kuna tetesi kwamba licha ya upinzani wa makundi mbalimbali ya kijamii kuhusu uanzishwaji wa mahakama ya kadhi, mahakama hiyo itaanzishwa hivi karibuni. hii ni kutokana na ukweli kwamba sababu zilizotolewa za kuipinga hazikuwa ni za msingi na wapingaji hawana mamlaka ya kisheria kufanya hivyo. Chanzo ofisi ya Bakwata Makao makuu.
Naona una mpango wa kutuharibia siku.
 
Huduma bure wapi ,pesa serikali inayotoa kwa ajili ya kanisa ilikuwa na uwezo kujenga hospitali 16 zenye hadhi ya rufaa kila mwaka ila pesa zote mnazihozi nyinyi mafisadi wa escrow
Hospitali km mnapata msaada toka serikalini lakini bado kuna gharama kibao na isitoshe vitendea kazi vimejaa ubaguzi mnatuwekea mashuka yaliyo na alama za misalaba

Shule za mission ambazo ni asilimia mia moja wa wakristo mnasoma na misalaba mnavaa kwenye sare za shule kwa hiari yenu wenyewe sembuse matibabu. Kama hutaki acha kwenda kutibiwa huko!
 
Hatufanyi mambo kuiga wakatoliki, ndio maana hatuna wanasesere misikitini.
Tunajua tunacho kitaka. Mlitusumbua sana pepo la kuchinja lilipo wapanda.

Ni kweli kabisa hatufanyi mambo kwa kuigana na ndiyo maana Salman Rushdie aliandika kitabu " Satanic Verses"
 
mahakama ya kadhi lazima iwepo mtake msitake, na hakuna muislam anayepinga mahakama ya kadhi wewe, wote wanaombinga hawana tofauti na wewe.

Hatukatai hiyo mahakama yenu isipokuwa mji gharamie wenyewe hatutaki mtumie kodi zetu
 
Hivi ndugu zetu waislam hamuwezi kujiongoza bila mahakama ya kadhi.?

Najua mtasema ni ibada, hiyo ibada hamuwezi kuifanyia msikitini.?
 
Kabul woman named Farkhunda was beaten to death by Moslem Mob after being accused of burning the koran. Witness said she was arguing with Mullah, about women being encouraged to waste money on amulets peddled by the Mullahs at the shrine. Based on their lies a crowd decided she was not muslim and beat her to death. Source BBC NEWS 23/3/15. Angalizo, Sharia at work. Ukiona video yake story hii inatia huruma
 
Back
Top Bottom