Mahakama ya kadhi kuanza hivi karibuni

Mahakama ya kadhi kuanza hivi karibuni

kwendeni zenu mtajilipa wenyewe na sio serikali
 
Ukicheka na nyani, utavuna mabua.

Sasa niwakati wa watanzania kusimama na kukataa upumba.vu huu unaofanywa na watawala wa ccm. Wametengeneza taifa la majuha wasiokuwa na uwezo wa kuchanganua hoja kama laki si pesa. Sasa wanatumia vichwa vya majuha haya kama kuhesabu maboga shambani.


Wametumia imani ya Watanzania kwa serikali ya awamu ya kwanza, kwamba wanapokuwa na jambo lolote wanalotaka kulipitisha bila ushawishi wa msingi, wanarefer kwa Mwl. Nyerere, na maneno yaliyotumika siku zile kujenga morali na utaifa kama "umoja wetu, amani yetu, mshikamano wetu, taifa letu, nchi changa", n.k, n.k.

Wamejenga taifa la watu maskni na tegemezi kuanzia mali hadi fikra na kwa kukosa taarifa sahihi wanakuwa manipulated kwa vitisho na ahadi za kijinga, zikiambatana na ruswa za aian zote. Hapa kuna watu wako tayari kupoteza hatma za watoto wao, raslimali zao na hata haki zao za kuzaliwa kwa ajili wamepewa 600,000/=. Kwa ajili ya umaskini na ujinga wanapledge loyalty kwa mafisadi.

Watawala hawa wantumia kila mbinu ya kuwagawa watanzania katika makundi ambayo kwa misingi ya taifa hili, hayakupaswa kuwa primary au kipaumbele kabla ya utaifa. Wameamua kuua nchi kwa sababu za ubinafsi, tamaa, na hofu ya ama kupoteza walivyojitengenezea au kukabiliana na maswali juu ya nyendo zao za dhuruma kwa taifa.

SASA WATANZANIA TUAMUENI KUSEMA HAPANA. SI WAKATI WAKUSEMA MANENO TENA. TUWASILIANENI NAMNA YA KUCHUKUA HATUA THABITI ILI KUZUIA HII FINALI YA UHARIBIFU WA CCM AMBAYO SASA WAKIONGOZWA NA KIKWETE WANAFANYA KWA LALA SALAMA.

TUCHUKUENI HATUA ZA KUKATAA MIGAWANYIKO YA KIDINI,

MAUAJI YA RAIA WASIO NA HATIA,

MATENDO YA KIJINGA KAMA 'KIKWETE KUSANIFU WATU WA KWENDA KUMSHAWISHI FISADI MWENZIYE LOWASA ETI KAMA KWAMBA HAJAWAHI KUWA NA NIA NA URAISI WAKATI TANGU KABLA NYERERE HAJAFA ALISHAANZA KUUDONDOSHEA MATE. HUU NI WEHU!.

SASA BASI, WATANZANIA TESEMENI HATUTAKI MAFISADI, HATUTAKI MAJIZI, HATUTAKI MAJITU YANAYOLIGAWA TAIFA KAMA KIKWETE. TUSIMAMENI TU KWA PAMOJA TUNAWEZA. TUPANGENI MIKAKATI NA KAMPENI ZETU SALAMA NA KISHA TUCHUKUE HATUA MARA MOJA KABLA YA UCHAGUZI. KUFIKA OCTOBER TANZANIA HAITAKUWA SALAMA TENA KAMA TUTASUBIRI U

Umeshalewa mbege za bure za Slaa sio?

Maneno meeeengi kumbe utumbo mtupu.
 
11054320_1599510096934092_4000423022527029028_n.jpg

Teh teh teh!
Kwakweli kafiri ni kiumbe wa ajabu sana.
Ati mungu wake alipigwa mpaka akalia sana. Akaomba msaada kwa mungu mwingine lkn HAKUSIKILIZWA.
Akaendelea Kupewa kibano mpaka AKAFA kwa SIKU TATU.
Huyo mungu anaekubali kuvuliwa nguo akavishwa nepi na Kuuawa kweli anaweza Kumusaidia wewe ulikwibia wazee haki zao? Na unaeendelea Kutapeli mpaka leo?

Cheki msanii mwingine hapa!
Anapiga busu mwasesere ambae wewe unamuita mungu!

View attachment 237481

1427213660969.jpg
 
Kwa hiyo serikali kuwa na MOU na Kanisa ni halali? Maana unatumia ushaidi huo kudai kuchangiwa mahakama ya kadhi. Maana wengi wanaitumia kusema ni upendeleo kwa Wakristo, Je upendeleo ni halali kwenu,kwa kufanyiwa upendeleo dhidi ya wengine ni sawa? Au kusema nimeiba kwa sababu X kaiba na hajachukuliwa hatua ni utetezi?
Mbona serikali inachangia kanisa kupitia MOU, sasa kwanini serikali hiyo hiyo asichangie kwenye Mahakama ya kadhi kwa ajili ya waislam. Lazima kieleweke.:rockon:
 
Teh teh teh!
Kwakweli kafiri ni kiumbe wa ajabu sana.
Ati mungu wake alipigwa mpaka akalia sana. Akaomba msaada kwa mungu mwingine lkn HAKUSIKILIZWA.
Akaendelea Kupewa kibano mpaka AKAFA kwa SIKU TATU.
Huyo mungu anaekubali kuvuliwa nguo akavishwa nepi na Kuuawa kweli anaweza Kumusaidia wewe ulikwibia wazee haki zao? Na unaeendelea Kutapeli mpaka leo?

Cheki msanii mwingine hapa!
Anapiga busu mwasesere ambae wewe unamuita mungu!

[
View attachment 237482
 

Teh teh teh!
Leo Khomeini kawa mullah!
Mtu akifilisika hoja huwa anahorojeka vibaya!

Wacha kukimbia swali we dada!

Nakuuliza Ilikuwaje wakristo wakafurahia kuwabamiza watoto wao kwenye mawe na kuwapasua vichwa?
1427298249874.jpg

Na ilikuwaje WAKRISTO yesu wa msalaba akawapa adhabu ya KULA NYAMA ZA MIILI YA WATOTO WAO NA WAZEE WAO?

View attachment 237750

Na inakuwaje mwanamke adhalilishwe namna hii na AGANO JIPYA?

1427298333901.jpg

kwa mujibu wa AGANO LAKO JIPYA wanawake wote wanaoongea MAKANISANI WAMELAANIWA.

Nauliza hivi! Wanawake kwanini mnawadhalilidha namna hii?
 
Teh teh teh!
Leo Khomeini kawa mullah!
Mtu akifilisika hoja huwa anahorojeka vibaya!

Wacha kukimbia swali we dada!
Nakuuliza Ilikuwaje wakristo wakafurahia kuwabamiza watoto wao kwenye mawe na kuwapasua vichwa?
View attachment 237749

Na ilikiwaje WAKRISTO yesu wa msalaba akawapa adhabu ya KULA NYAMA ZA MIILI YA WATOTO WAO NA WAZEE WAO?

View attachment 237750

Na inakuwaje mwamke adhalilishwe namna hii na AGANO JIPYA?

View attachment 237751

kwa mujibu wa AGANO LAKO JIPYA wanawake wote wanaoongea MAKANISANI WAMELAANIWA.

Nauliza hivi! Wanawake kwanini mnawadhalilidha namna hii?
10987731_400028766831518_6258506203141786399_n.jpg
 
mahakama ya kadhi ni mtji wa chama flani...kikishapata kura kinageuza kuwa changa la macho, inabaki story tu mpaka wakati wa kampeni tena
 
Hapo umetuibia we mgalatia.
Andiko halisemi hivyo kwa wapinzani wenu.
Andiko linasema yyt anaepingana na yesu ACHINJWE.

Yesu anasema ktk LUKA 19:26-27

26.Nawaambia, Kila aliye na kitu atapewa, bali yule asiye na kitu atanyang'anywa hata alicho nacho.-
27-Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa mwachinje mbele yangu.-

BIASHARA ya Nyie KUCHINJA wasiokuwa WAKRISTO ni Amri kutoka kwenye ANDIKO LENU.
Kwa hivyo HATUSHANGAI Mnayoyafanya.

haya tutaanza na ww
 
Tutaihudumia wenyewe kupitia hazina kuu kwa gharama ya kodi zetu. Mahakama hiyo haiendeshwi na kina James

Sasa ya nn kwny katibaaaaaa?? Viroba vinatuharibia sana vijana wetu.....wacha viroba kwanza ndo uje hapa uandike critical point.
 

Maalim huyu jamaa ana wivu wa kike inamuuma sana sisi kuahidiwa watoyo wazuri sasa wao hawaelewi elewi maana wanaweza kuta yesu anawazawadia wachungaji na maaskof wasio oa wajipumzishe kwao.
 
Nyie wagalatia mnaposema "GHARAMA ZETU"! Mna maana nyie ndio walipa kodi peke yenu au?

Kwani Hamtoi Sadaka Huko Msikitini ili ziwawezeshe Kushughulikia Mahakama Za Kadhi zitakazowahukumu Nyie Wenyewe Waislam??

Kodi tunazotoa Zinahudumia Hata Wapagani Kwahiyo Siwezi toa Kodi itakayohudumia Group la Waislam pekee UPO HAPO?

Je mnafahamu mchango wa mapato ya kodi yatokayo kwa Waislamu Hapa Nchini ni kiasi gani kila mwaka?

Hebu Niambie Inawezekana Serikali inakusanya Kodi kwa Kuuliza Dini Siku hizi

Je mnatambua kuwa Makampuni yanayomilikiwa na WAISLAMU ndio wenye Kuongoza nchini KWA KUTOA AJIRA kwa WANANCHI?

Hahahahahha Sasa Mbona Mnaanzisha Vikundi Vya Kigaidi na Kukaa Vijiweni Kila Siku.........

Halafu mnasema Hii mahakama isihusishwe na Serikali, hivi mnatambua MAANA YA MAHAKAMA nyie? Au mnadhani MAHAKAMA YA QADHI ni sawa na zile za kwenu ambazo Jaji anasamehe kondoo madhambi yao ya zinaa?

Rudini shule mkajifunze maana ya MAHAKAMA kabla hamjaja kutujazia Server hapa.
 
Teh teh teh!
Leo Khomeini kawa mullah!
Mtu akifilisika hoja huwa anahorojeka vibaya!

Wacha kukimbia swali we dada!

Nakuuliza Ilikuwaje wakristo wakafurahia kuwabamiza watoto wao kwenye mawe na kuwapasua vichwa?
View attachment 237749

Na ilikuwaje WAKRISTO yesu wa msalaba akawapa adhabu ya KULA NYAMA ZA MIILI YA WATOTO WAO NA WAZEE WAO?

View attachment 237750

Na inakuwaje mwanamke adhalilishwe namna hii na AGANO JIPYA?

View attachment 237751

kwa mujibu wa AGANO LAKO JIPYA wanawake wote wanaoongea MAKANISANI WAMELAANIWA.

Nauliza hivi! Wanawake kwanini mnawadhalilidha namna hii?

Ukisoma Satanic Verse cha S.Rushidie majibu yako dhahiri
 
Ukisoma Satanic Verse cha S.Rushidie majibu yako dhahiri

Hii ni BIBILIA kijana.
Km hii mistari ulikuwa hujasomewa Kanisani basi Ujue leo kuwa Andiko lako lilihukumi wakristo Kula nyama za watoto wao.
 
haya tutaanza na ww

Wala sintoshangaa! Mbona mauwaji mmeshafanya sana?
Na mpaka leo mnaendelea Kuua wanyonge.

Haya ndio yale mafundisho ml8pewa kwenye LUKA 19 PALE kiongozi wenu alipowaambia watu wake kuwa.

26-Nawaambia, Kila aliye na kitu atapewa, bali yule asiye na kitu atanyang'anywa hata alicho nacho.-
27-Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa mwachinje mbele yangu.-

KM Yesu wa msalaba alifanya haya wewe kipi kitakuzuia?
 
Back
Top Bottom