Mahakama ya kadhi kuanza hivi karibuni

Mahakama ya kadhi kuanza hivi karibuni

Nikiona watu wanatokwa povu na kugombana hivi ndipo ninapotamani sana maisha walioishi wazee wetu kabla ya kuja mzungu na mwarabu. Yaani jamvini hamna kingine chochote cha maana cha kujadili zaidi ya mivutano yetu tu.
 
Hawa Makafiri BAKWATA wanataka kuwahukumu Makafiri Wenzao BAKWATA.
 
Nikiona watu wanatokwa povu na kugombana hivi ndipo ninapotamani sana maisha walioishi wazee wetu kabla ya kuja mzungu na mwarabu. Yaani jamvini hamna kingine chochote cha maana cha kujadili zaidi ya mivutano yetu tu.

Babu yako alimchinja bibi yako akamtoa kafara kwa mizimu!
Na babu yako aliweka sheria kuwa mayai, maini, minofu minono NI MARUFUKU mwanamke kula maana mizimu imekataa, kumbe ***** zao walikuwa wanawaonea tu wanawake, hakuna cha mizimu wala makende!
Pia babu yako Alikuwa akitambika na kila mwaka lzm Mmoja ktk wana familia Akatupwe mtoni km Kafara ya Mizimu.

Km unatamani Upuuzi huo mtafute Nyakageni yeye na wazee wake bado mila za kinyama wanaziabudu.

Ukimsachi huyo Nyakageni unamkuta kavaa shanga Kiunoni na Hirizi kila kwapa.
Mwambie akupeleke kwa mama Nyakageni mpika Kimpumu.
Utamaliziwa hamu yako yote.
 
Last edited by a moderator:
bunge limekubali lini hiyo kitu ? hakuna kinachoruhusiwa kufanyika pasipo idhini ya bunge . unajidanganya tun
 
mahakama ya kadhi lazima iwepo mtake msitake, na hakuna muislam anayepinga mahakama ya kadhi wewe, wote wanaombinga hawana tofauti na wewe.


sahihi shekhe wangu. Siku zote muhalifu hawezi kupenda polisi wala kuwepo kwa kituo cha polisi, lazima atapinga kuwepo kwa kituo cha polisi tu.
 
All in all,
1-Sheria hizo hazitawahusu wasiokuwa waislam.
2-Kama mtu hatapenda kwenda kwenye mahakama ya kadhi, basi halazimishwi.
3-Ikumbukwe kuwa kwa mujibu wa sheria za ndoa, zipo ndoa aina tatu: ndoa ya dini, ya serikali na ya mila. Kwahy kama mimi nimeoa kwa mujibu wa ndoa ya DINI, kwanini nisihukumiwe kwa mujibu wa dini? Hapo ndipo mahakamad ya kadhi itakapochukua mkondo wake na mengineyo kama hayo.
 
Kuna tetesi kwamba licha ya upinzani wa makundi mbalimbali ya kijamii kuhusu uanzishwaji wa mahakama ya kadhi, mahakama hiyo itaanzishwa hivi karibuni. hii ni kutokana na ukweli kwamba sababu zilizotolewa za kuipinga hazikuwa ni za msingi na wapingaji hawana mamlaka ya kisheria kufanya hivyo. Chanzo ofisi ya Bakwata Makao makuu.

Bakwata ndo wenye mamlaka kisheria kuanzisha kadhi na kuamrisha serikali itenge bajeti ya kutosha kutoka kwenye kodi ya makafiri, wauza pombe, nguruwe, nk ili iwalipe mahakimu wa kadhi.
 
Babu yako alimchinja bibi yako akamtoa kafara kwa mizimu!
Na babu yako aliweka sheria kuwa mayai, maini, minofu minono NI MARUFUKU mwanamke kula maana mizimu imekataa, kumbe ***** zao walikuwa wanawaonea tu wanawake, hakuna cha mizimu wala makende!
Pia babu yako Alikuwa akitambika na kila mwaka lzm Mmoja ktk wana familia Akatupwe mtoni km Kafara ya Mizimu.

Km unatamani Upuuzi huo mtafute Nyakageni yeye na wazee wake bado mila za kinyama wanaziabudu.

Ukimsachi huyo Nyakageni unamkuta kavaa shanga Kiunoni na Hirizi kila kwapa.
Mwambie akupeleke kwa mama Nyakageni mpika Kimpumu.
Utamaliziwa hamu yako yote.

Wakati Mungu alipoumba mwanadamu na kumpa hekima zote za kuutawala ulimwengu, akaona haifai akaamua kumteremshia huyo mwanadamu dini/iman na akaona haitoshi akaleta vitabu vitakatifu pamoja na watume na manabii kwa lengo tu la kutaka amani itawale dunia, lakini binadamu sisi tumekuwa kikwazo kikubwa sana cha amani hapa duniani kwa kigezo cha dini. Leo hii usiende mbali hapo C.A.R wakristo na waislam wanauana kwa kulipiziana kisasi kwa kutafutana kwa udi na uvumba ili tu watoane roho, imefikia wengine wanakula hadi nyama za marehemu. Leo hii ukienda kule Somalia, Kenya ni unyama tu makundi mengi yanaibuka kila siku kwa kujifanya wao wanafuata vitabu vitakatifu. Ukienda kule Iraq, Syria ndio hatari zaidi watu wanafikia mpaka kukata vichwa kwa sababu tu ni watu wa iman nyingine tofauti na yao. Ukija kule Afighanstan watu wa iman moja wanachomeana misikiti na kuuana kila kukicha sababu tu eti makundi mawili ya viongozi wawili tofauti. Leo hii wenye nguvu duniani wako tayari kupeleka makombora na vifaa tofauti ikiwezekana kwa wa jamii moja wauane wenyewe kwa wenyewe eti tu kwa misingi ya dini. Huu ni upuuzi na ujinga, hakuna dini yoyote hapa duniani ambayo inachochea ugomvi na visasi kwa watu wa iman nyingine. Ukirudi kwenye historia na Hadithi za mitume mbali mbali waliokuwepo mwanzo ni kwamba walijua kabisa kuwa katika jamii zao wamo watu wa iman nyingine na waliishi nao kwa kushirikiana vizuri. Lakini wewe muislam/mkristo wa leo umetoa wapi hii mambo ya kumchukia mwenzio kama haufuati nyayo za shetani.
Binafsi mimi huwa nakereka sana na kuona jamii yetu inazidi kuporomoka na kuweka matabaka makubwa sana kati ya hizi dini kubwa mbili, kila kukicha humu jamvini lazima katika nyuzi kumi basi nyuzi tano au zaidi ni chokochoko za iman. Hivi niwaulize nyinyi mnaoanzisha na kushabikia hizi chokochoka, mmejiandaa vipi kipindi mambo makubwa zaidi ya upotevu wa amani yakiibuka? Hivi hamjui kwamba hakuna vita mbaya sana duniani kama vita ya kiimani na ya kikabila? Hivi hamjifunzi kwa mataifa mengine ambayo watu wanaishi kwa ukimbizi ndani ya nchi yao wenyewe.
Conclusion
Kila mmoja ana iman yake na nivigumu sana kumbadilisha huyo mtu kufuata iman yako. Na ukumbuke Mungu sio mchoyo kwenye kugawa riziki, leo hii hii mtu anaabudu kanisani anafanikiwa mambo yake, mwingine anaabudu msikitini pia anafanikiwa mambo yake, mwingine anaabudu kwenye bahari naye anafanikiwa, mwingine chini ya mti na kwenye misitu naye anafanikiwa.
Kuna watu wanaamudu wanyama, milima, miti na wote hao wanafanikiwa. Sasa wewe unayejifanya kujiona uko sahihi na imani yako endelea hivyo hivyo na unaowaona hawapo sahihi waache tu waeendele kuabudu wanachokiabudu, kwani kwa akili zao na fikra zao wanaona wapo sahihi pia.
Watanzania tusiwe wajinga kabisa kwa kutaka kuvunja umoja wetu na ushirikiano wetu tulioachiwa na waasisi wa nchi hii.
Full stop.
 
Watanzania tusiwe wajinga kabisa kwa kutaka kuvunja umoja wetu na ushirikiano wetu tulioachiwa na waasisi wa nchi hii.
Full stop.

Umoja hakuna anaetaka kuuvunja, tatizo ni kuwa Hao unaowaita waasisi wa nchi Akiwemo yule NYERERE Ndio aluokuwa mstari wa mbele kuliinua kanisa na kuwakandamiza WAISLAMU.
Yule iblis ndio wa kulaaniwa na kusemwa vibaya.
Haya yote yasingetokea km yule Shetani angelifanya Haki.
Leo hii waislamu na Wakristo wanavutana chanzo ni yeye! Muasisi wa Mfumo Kristo Tanzania.

Tutamlaani mpaka siku ya mwisho.
Na yeyote anafuata nyendo zake.

Sema Amen ndugu ili laana Imfikie huko aliko.
 
kutambua ndoa ya mke mmoja na watoto wachache,haki za binadamu kuwekwa kwenye katiba(ikiwepo kupewa mamlaka makubwa wanawake pamoja na kutembea vichwa wazi) na kutotekelezwa kwa adhabu za vifo zinazotolewa na mahakama.

mwongo wewe hebu leta vifungu vya sheria hapa tuone.
 
Back
Top Bottom