Hatufanyi mambo kuiga wakatoliki, ndio maana hatuna wanasesere misikitini.
Tunajua tunacho kitaka. Mlitusumbua sana pepo la kuchinja lilipo wapanda.
Kweli kabisa,hakuna haja ya kupata idhini ya Dini nyingine kufanya mambo ya Dini husika.Nashangaa kwa nini Mahakama ya Kadhi inahitaji idhini ya Bunge ambalo Makafiri wamejaa humo.Mambo ya Kadhi yaanshisheni waislamu wenyewe maana mkitegemea ushauri wa Makafiri mtakuja kulia kama mnavyolia na BAKWATA.