MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,564
- 849
Mkuu, X-Paster,
Kwanza asante kwa ufafanuzi. Na ni kweli mjadala lazima uwe wa kwa upole na bila ushabiki. Naona leo kwa kiwango kikubwa watu wame jitahidi kutoa hoja zao binafis bila malumbano au matusi yasiyo ya lazima.
Mkuu mengi ya hapo juu uliyo sema nime yaelewa ila nina swali moja kwenye moja ya vipengele vyako na nanukuu
Mkuu hapa ndiyo haswa wasi wasi wangu. Swali langu hapa ni hivi. Tuchukulie kwamba wote mimi na wewe ni Waislamu. Mkuu X-Paster unaamua kunishtaki mimi MF1 kwa sababu a, b na c kwa mujibu wa dini yetu. Je mimi MF1 kama sitaki kushitakiwa kwenye mahakama ya kadhi inakuaje? Maana si siwezi kulazimishwa kama siamini sharia hata kama si Muislamu? Na je ikiwa hivi si kila mtu anaye shtakiwa kwenye mahakama ya kadhi ata taka ashitakiwe mahakama ya kawaida? Je hii haitafanya uwepo wa hizi mahakama zisiwe za lazima?
Mimi pendekezo langu lingikua kama ifuatavyo. Tungeangalia vipengele vya sharia law ambazo zinaendana na jamii yetu. Tuangalie na hata sheria za Wakristo ambazo zinaendana na jamii yetu. Hizi tuzi incorparate kwenye sheria za nchi zetu. Kwa sababu naamini kabisa kama jamii iliyo jichanganya lazima tuwe tayari kucompromise na siyo kila mtu kupata kila anacho kitaka kwa wakati anao utaka.
Kwa sababu ukiangalia sehemu nyingi ambazo sharia law zina tumika ni zile sehemu ambazo jamii kiujumla imezikubali sheria hizo. Ndiyo maana hata ukitoa mfano wa nchi kama Kenya Na Nigeria mahakama za kadhi haziko sehemu zote bali zile sehemu tu ambazo Waislamu wapo concenrated na jamii hizo zime kubali hizo sharia law. Ndiyo maana sehemu kama Zanzibar kuwa na mahakama za kadhi sishangai kwa sababu 99% ni Waislamu na jamii yao kiujumla wame kubali hizo sharia.
Kwa hiyo tuki sema tuwe na mahakama za kadhi nchi nzima naona kama ni makosa kwa sababu hatuangalii jamii husika. Pia nitakuuliza swali ila usijibu wewe kama wewe ila angalia mtazamo wa Waislamu wote. Je wapo tayari kuhukumiwa chini ya sharia law? Je wengi wana zielewa au wana advocate mahakama ya kadhi kwa sababu tu wanaona hili swala ni kama vile Waislamu dhidi ya Wakristo?
Kwa hiyo mimi naona pia kabla ya yote ni muhimu nyie Waislamu kama Waislamu mukae halafu mtafakari. Muangalie kama kweli wengi wenu mnazielewa fika hizo sharia na mahakama ya kadhi. Kwa sababu nina wasi wasi kuna Waislamu hawajui sharia law zina fanya kazi vipi au mahakama za kadhi zina fanya kazi vipi. Hawa ndiyo naogopa kwamba kwao hili swala ni la ushabiki tu lakini wao wenyewe hawana uhakika na wanacho kitetea.
Yote haya nasema kwa sababu na naomba uni kosoe nikikosea. Sharia laws kwa asilimia kubwa ni sheria ambazo zilikua zinaendana na jamii za watu husika kwa wakati huo. Je kwetu sisi jamii yetu inaendana vipi na hizo sheria? Nasema hivi kwa sababu japo kuna sheria ambazo ni universal kama vile mtu akiua kufungwa maisha au kuuliwa pia kuna sheria ambazo zinaangalia jamii. Kwamba kosa "X" kwa sisi Watanzania tunaweza ona lina stahili adhabu "Y" lakini jamii nyingine wakaona ina stahili adhabu "Z". Kwa hiyo naomba sana tujiangalie sisi kama jamii na tukubali kwamba it is possible kwamba kuna baadhi ya vipengele vya sharia ambazo hata Waislamu wenyewe wa Tanzania wanaweza wasi kubaliane navyo. Na ndiyo maana hapo juu nika sisitiza kuchambua kutoka dini zote kuu mbili sheria zinazoendana na jamii yetu.

Kama ni ndoa ya Kiislam hapo sasa ndipo Kadhi atakapo husushwa, na kama wana ndoa hawataki kutambua mahamuzi ya kadhi, hiyo pia ni hiyari yao wanaweza kwenda kwenye mahakama za kawaida.